Monday, 4 August 2014

Re: [wanabidii] Re: MDAHALO KUJADILI UMUHIMU WA KUZINGATIA MAMBO YA MSINGI KATIKA MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA, JUMATATU TAREHE 4 AGOSTI 2014

Leo pale Ubungo Plaza kulikuwa na kundi la vijana ambao walisikiliza mjadala  wa  Rasimu ya Katiba Mpya uliaoandaliwa  na  Taasisi ya Mwalimu Nyerere.  Vijana hao baada ya kusikiliza  yale yaliyowasilishwa na wazungumzaji wakuu wakiwa ni pamoja na  Mwenyekiti wa Bunge la  Katiba, Jaji Joseph Sinde  Warioba,  dada Mwatumu Malale,  Mzee Joseph Butiku, kijana Hamphrey Polepole, Awadh na  nguli wa sharia nchini Prof Palamagamba Kabudi  walipokuwa wanatoka nje baada ya mjadala kufungwa niliwasikia wakiambizana  ''siku nyingine tusikubali kupandishwa kwenye mabasi ya Uda  kwenda kushangilia upumbavu kama tulivyofanya jana kule mlimani jana''.  Mimi nilishtuka na nikakumbuka  ahaaaaaaaaaaaaa  kumbe ndiyo sababu kulikuwa na mjumbe mmoja alikuwa anashangiliwa kila baada ya kusema sentensi  hata pale alipozungumza pumba katika ule mdahalo ulioandaliwa na Star TV jana jumapili Chuo Kikuu UDSM! Mmmm....kuna kazi kubwa mbele!
 
On Monday, August 4, 2014 6:20 PM, misangocharles via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Kitila jaribu kuelewa kuwa walichofanya hawa ni kufunua kile ambacho wamekuwa wakitukanwa, kubezwa, kudharauliwa, na kuvunjiwa heshima hata kuitwa wasaliti na watu waliowalea na kuwapa nafasi za uongozi. Pia waliwekewa mizengwe wasiwe na nafasi ya kueleza hayo bungeni. Kumbe hawastahili kulaumiwa bali kupongezwa sana. Mapenzi ya chama yasiondoe ufahamu wetu
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 4 Aug 2014 09:48:49 -0700
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: MDAHALO KUJADILI UMUHIMU WA KUZINGATIA MAMBO YA MSINGI KATIKA MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA, JUMATATU TAREHE 4 AGOSTI 2014

Kwa tulioushuhudia tumeona maana yake maana lengo hasa halikuwa kujua kati ya nyama ya mbwa na mbuzi ipi ni tamu bali ilikuwa kuwaelimisha wananchi mchakato ulivyoenda na nadhani wananchi walioushuhudia tumeelimika ya kutosha

On Monday, August 4, 2014 10:35 AM, Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com> wrote:

Tatizo la mdahalo huu wazungumzaji wakuu wote wana mlengo unaofanana. Hapo hapawezi kuwa na debate. Ili mdahalo uwe mdahalo kunahitajika kuwe na watoa mada wenye hoja kinzani. 

2014-08-03 18:18 GMT+03:00 EDGAR Atubonekisye <mwandemanieddie@yahoo.com>:
MDAHALO    MDAHALO   MDAHALO   MDAHALO
JUMATATU TAREHE 4 AGOSTI 2014, Blue Peal Hotel, Ubungo Plaza
kuanzia saa 9.00 mchana hadi 12.00 jioni

Taasisi ya Mwalimu Nyerere imeandaa mdahalo kujadili umuhimu  wa kuzingatia mambo ya msingi katika mchakato wa kupata Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wazungumzaji katika mdahalo huu ni pamoja na waliokuwa Makamishna wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba: Jaji Joseph S. Warioba, Mwenyekiti wa Tume, Dr. Salim Ahmed Salim, Mzee Joseph W. Butiku, Bi Mwantumu Malale, Prof. Palamagamba Kabudi, Ndugu Awadh Ali  Saidi, na Ndugu Humphrey Polepole. 

Wananchi wa kawaida na viongozi kutoka taasisi na asasi mbalimbali. zinazowakilisha jamii ya Watanzania ambazo ni pamoja na asasi za kiraia (NGOs), vyama vya siasa, madhehebu ya dini, wasomi, vyombo vya habari, taasisi za kitaaluma, vyama vya ushirika vya wakulima na wafugaji, vyama vya wafanyakazi,  n.k nyote mnakaribishwa.

                                 Muda na Mahali: JUMATATU TAREHE 4 AGOSTI 2014, kuanzia saa 8.30 mchana hadi 12.00 jioni,                         
                                              Blue Peal Hotel, Ubungo Plaza.    
                                            
Mdahalo utarushwa moja kwa moja na television ya ITV.

NYOTE MNAKARIBISHWA.

Edgar Atubonekisye
Assistant Programmes Officer, The Mwalimu Nyerere Foundation
+255 754 988 946

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment