Wajumbe wa iliyokuwaTume wanachofanya ni kujaribu kuliunganisha bunge lililopasuka na akakosekana mwingine xa kufanya kazi hiyo. Pia wanajaribu kuwasaidia wajumbe wa bunge hilo kuelewa kilicho ndani ya rasimu maana licha ya sheria kubadilishwa ili wasiingie bungeni wajumbe wa bunge wameendelea kuwa mbumbumbu kuhusu rasimu. Prof. Kabudi amefafanua khs makundi ya wapumbavu na wajinga. Nadhani bunge la katiba linapoanza kesho tutawaona wapumbavu hao na wajinga.
----------
Sent from my Nokia Phone
------Original message------
From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, August 4, 2014 10:32:15 AM GMT-0700
Subject: [wanabidii] KUNA SIRI GANI IMEFICHWA NA WAANDAAJI WA RASIMU YA KATIBA ?
Hivi jamani naomba mnisadie jambo moja. Kuna siri gani ambayo imefichwa na
hawa waandaaji wa rasimu ya katiba maana naona wanatumia nguvu kubwa
kuwaambia wabunge wa bunge maalumu wasimamie rasimu waliyopewa? Wanaogopa
nini wabunge kuchambua vifungu vya katiba? Maana hili bunge liliundwa kwa
misingi ya kujadili na kupitisha kisha ipelekwe kwa wananchi. Bila bunge
kujadili na kupitisha katu haiwezi kufika kwa wananchi kwa ajili ya
kupigiwa kura. Hivyo tume walishamaliza kazi yao na ilishavunjwa kwa mujibu
wa sheria hivyo wakae kimya waache bunge maalumu lifanye kazi yake!
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment