Sunday, 22 June 2014

[wanabidii] Re: AJALI YAUA 7 LUGALO , DAR ES SALAAM

Mutembei, wazo la kupanua barabara tumeshachelewa kidogo kwani itahusisha ubomoaji wa mali za watu na hakuna aliye tayari kutoka barabarani watakimbilia mahakamani na mradi utakwama.

Kuhusu kutumia mabasi mapya na makubwa hili ni wazo zuri, tuwaombe hunday na youtong wajenge assembly plant za mabasi makubwa na mapya, ili mabasi yale yapatikane kwa bei nafuu. Pia miradi mikubwa ya ujenzi ielekezwe nje ya mji.

Tuhamishe baadhi ya maofisi, mfano wizara ya mambo ya ndani, wizara ya elimu na wizara ya nishati na madini zihamie mbweni jkt, na majengo yale wapewe ifm yawe madarasa na mabweni.

Tuangalie uwezekano wa kuanzisha ''corporate street'' yaani tutenge eneo maalumu la uwekezaji wa majengo kwa ajili ya maofisi mahili, eneo hili litakuwa na majengo kuanzia gorofa ishirini lakini yenye nafasi ya kutosha maegesho yakutosha, miundombinu ya uhakika.
----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: John George <georgejn2000@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, June 22, 2014 3:48:25 PM GMT+0300
Subject: Re: [wanabidii] Re: AJALI YAUA 7 LUGALO , DAR ES SALAAM

Poleni sana mliopotelewa na ndugu na waliojeruhiwa. Tunahitaji kuwabana
zaidi wanaotoa leseni za udereva. Ziwe za halali. Pili tutumie magari
mapya. Daladala nyingi ni mbovu sana. na ni chakavu hazistahili kubeba
abiria kabisa. Anyway najihangaisha. Wacha tufe tu hakuna jinsi.

2014-06-22 14:49 GMT+03:00 'Aldin Mutembei' via Wanabidii <
wanabidii@googlegroups.com>:

> Poleni jamani.
>
> Nayaunga mkono mawazo ya Hildegarda.
>
> Tofauti na kwetu, huku Ulaya na Marekani barabara zao ni PANA. Ni Pana
> hasa!!!! Zikiruhusu nafasi kwa watembea kwa miguu, na baiskeli. Mliokaa
> nchi za Scandinavia mnajua kuwa nafasi za baiskeli huwa na rangi za kibluu
> pembeni, na ni tofauti na njia ya watembea kwa miguu. Hapa Berlin nafasi za
> baisikeli zina rangi ya damu ya mzee. Kwa hiyo utakuta barabara ya kawaida
> (sio zile kuu Highway) ina ruhusu magari manne au 6 na kwenda na kurudi, na
> bado kuna barabara ya baisikeli na nyingine ya watembea kwa miguu. BAADA YA
> HAPO kuna nafasi kabla hujafikia nyumba. Yawe ni maduka au nyumba za
> makazi.
> Kwa hiyo, wale wanaopanga meza pembeni na kukaa kunywa au kula (kama sasa
> wakati wa Summer), wala hawana wasiwasi wa gari kuwakaribia.
> Nenda Sinza, gari likikosa mwelekeo tu, wanywaji pombe zitawatoka
> vichwani, ikiwa watawahi kutoka hai.
> Upanuzi wa barabara ya Ali Hassan Mwinyi bado ni MDOGO. Upanuzi wa
> barabara ya Morogoro ndio kabisaa!!! Usiniambie barabara nyingine ndogo
> ndogo za ndani ya jiji.
>
> Miji inayojengwa miaka hii (kama ilivyojengwa sasa Dodoma) ingekuwa na
> sura hii, maana ni kupanga miaka 50 au 100 ijayo.
>
> Kwa kifupi, sisi watu wa fasihi, habari hii ya ufinyu wa barabara
> inatukumbusha hadithi ya Shabaan Robert KUSADIKIKA.
> Mjumbe aliyeleta habari kuwa nchi aliyotembelea, watu wake wana barabara
> pana na vyombo vinapita humo, aliambiwa: "mwongo na mzushi. unyayo wa
> binadamu hauzidi sintimeta XX sasa barabara pana ni za nini.
> Mawazo ya kusadikika na kufikirika, kumbe kwetu ni ya kutendeka na
> kujionea.
>
>
> Aldin
>
>
> Aldin K. Mutembei (PhD) Aldin K. Mutembei (PhD)
> Taasisi ya Taaluma za Kiswahili Institute of Kiswahili
> Studies
> Kampasi ya Mwalimu J.K. Nyerere Mwalimu J.K. Nyerere Campus
> Chuo Kikuu cha Dar es Salaam University of Dar es
> Salaam, TANZANIA
> +255 715 426 162 [Kiganjani] +255 715 426 162 (Cell)
>
> b-pepe: kaimutembei@gmail.com Alternative e-mail: <
> kaimutembei@gmail.com>
>
>
> On Sunday, 22 June 2014, 3:30, 'lesian mollel' via Wanabidii <
> wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
>
> Nilikuwepo maeneo haya
> Nawapongeza sana wanajeshi wetu wa kambi ya chi brigade na Lugalo
> wamesaidia sana kuokoa majeruhi
> Kwa kweli tatizo ni speed kali ya dereva wa dala dala lililokua likienda
> Ubungo likitokea mtongani, nadhani gari lilikata labda break na kupoteza
> mwelekeo na kuhamia upande wa magar yaliokua yakielekea Tegeta na kulifyeka
> hiyo coaster....kiukweli maafa ni makubwa na yalikua ya kutisha hata
> sikuweza kutoa simu kupoga picha nilijikuta nabubujikwa na
> machozi......Madereva wasioa na busara au wavuta bangi wasipewe kuendesha
> abiria jamani
> Kwa haraka niliona maiti zaidi ya kumi though nasikia imetangaza 6 mmmmmh
> Hali ilikua inatisha jamaniiiiii, acheni
>
>
> On Saturday, June 21, 2014 4:22 PM, Oksana Spice <worldngojobs@gmail.com>
> wrote:
>
>
>
>
>
> On Saturday, June 21, 2014 4:19:08 PM UTC+3, Oksana Spice wrote:
>
> Ajali mbaya ya gari imetokea mchana huu, katika maeneo ya Lugalo jijini
> Dar es Salaam. Katika ajali hiyo, inakadiriwa zaidi ya watu saba wamefariki
> dunia.
> Mashuhuda wanasema, ajali hiyo imesababishwa na gari aina ya dalala
> iliyokuwa ikitokea maeneo ya Tegeta kuja Mwenge. Gari hiyo ililigonga
> dalala nyingine kabla ya kulivamia roli na baadaye gari nyingine aina ya
> Toyota Discover.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment