Friday, 27 June 2014

RE: [wanabidii] TOFAUTI YA MAKAO MAKUU YA CCM NA MAKAO MAKUU YA CHADEMA

Mwenye masiko na asikie.

Field Marshal

On Jun 27, 2014 12:03 AM, "Azaveli Lwaitama" <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> wrote:
Hile ofisi inayofanana na 'nyumba ya kuishi' inafafanana pia ya nyumba iliyokuwa makao makuu ya chama   cha TANU kilichowaleteaWatanganyika   ukombozi awamu ya kwanza  yaliyokuwa pale mtaa wa Lumumba Dar es salaam.  Kwa chama  kama Chadema kinachotamani  kuwakomboa Watanganyika  awamu ya pili  labda ndio maana  nacho kinajaribu kuiga  TANU  kwa kuweka makao makuu yake  kwenye jengo  linalofanana na 'nyumba ya kuishi'. Ni rahisi kuwangamua watetezi wa balaa la Watanganyika  kuendelea kuwa watumwa kwa kejeli wanoyoonesha dhidi ya chama chenye makao makuu yao kwenye nyumba kama ile iliyokuwa makao makuu ya TANU!!! Washabiki hawa wa  CCM wanazubaishwa na ukubwa  wa jengo  si ukunwa wa akili  na maono ya wakazi wa nyumba hiyo ndogo ya  ya kuishi  na wamesahau  kuwa  Gavana wa kikoloni aliyekuwa anakaa kwenye  liakalu kubwa lilobaadaye kuja kuitwa Ikulu pale Magogoni alibwagwa  na kuondolewa madarakani na kachama kalikokuwa na makao makuu kwenye nyumba ya kuishi  ka TANU ambao viongozi wao wengi walikuwa wa elimu ya akina Songambele na Bibi Titi Mohamed lakini wenye uzalendo mkubwa, wenye kuona mbali,  na kutokuwa waoga wa kufungwa au hata kufa kwa ajili ya ukombozi wa Watanganyika! Si shangai Mwalimu Nyeree alijijengea kanyumba ka kuishi pale Msasani  na akakataa kuishi kwenye liekalu  la Ikulu  la Magagoni.
Mwl. Lwaitama

> Date: Mon, 23 Jun 2014 18:42:52 +0300
> Subject: Re: [wanabidii] TOFAUTI YA MAKAO MAKUU YA CCM NA MAKAO MAKUU YA CHADEMA
> From: josephludovick@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Moja ni ofisi wakati ingine ni nyumba ya kuishi
>
> On 6/23/14, 'jabir yunus' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> > Ni kweli jengo la juu limejengwa na UMMA, zama za CCM chama cha kila
> > mwananchi.
> > Jengo la chini, limekodiwa au linamilikiwa kwa nguvu za wanachama wa chama
> > hicho.
> >
> > Na tofauti hii ndiyo inakitofautisha CCM na vyama vingine kwa kila kitu.
> > Mali nyingi za CCM zimetokana na nguvu ya wananchi. Tatizo liliopo ni CCM
> > kutamba kuwa ni mali zake halali. Hizi ni mali za wananchi.
> >
> > Jabir+
> > --------------------------------------------
> > On Mon, 6/23/14, 'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> > wrote:
> >
> > Subject: Re: [wanabidii] TOFAUTI YA MAKAO MAKUU YA CCM NA MAKAO MAKUU YA
> > CHADEMA
> > To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> > Date: Monday, June 23, 2014, 4:22 AM
> >
> > Picha ya juu
> > inaonyesha mgawanyo ulio sawa na wa haki. Picha ya chini
> > yawezekana watu wachache walijitolea kutoa pesa zao
> > kuwezesha ofisi kujengwa.Cha
> > mhimu kuliko vyote uthamani wa hayo majengo siyo ule
> > unaopimwa kwa macho. uni ya hayo majengo mawili ni kipi
> > kinafanyika kuhusiana na mstakabali wa
> > Watanzania?Jengo
> > la makao makuu ya chama linaweza kuwa refu kufika
> > hadi mbinguni, lakini je, vision itokayo dani ya jingo hilo
> > inaurefu huo huo kama jengo lenyewe?
> >
> >
> > On Monday, 23 June
> > 2014, 11:42, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
> > <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> >
> >
> >
> > Kati ya makao makuu haya ni yapi
> > yanaonyesha hali halisi ya uchumi wa Taifa. Yaani uchumi
> > unaogawanywa kwa haki bila ubadhilifu?
> >
> >
> > On Monday, June 23,
> > 2014 11:34 AM, "rsmiruko@gmail.com"
> > <rsmiruko@gmail.com> wrote:
> >
> >
> >
> > Hiyo nyingine ni mali ya umma.
> > Tuliijenga wote kwa fedha za mali ya umma.
> >
> > Emma Kaaya
> > <emmakaaya@gmail.com> wrote:
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > --
> >
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> > kudhibitisha ukishatuma
> >
> >
> >
> > Disclaimer:
> >
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> > for any legal consequences of his or her postings, and hence
> > statements and facts must be presented responsibly. Your
> > continued membership signifies that you agree to this
> > disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> > Guidelines.
> >
> > ---
> >
> > You received this message because you are subscribed to the
> > Google Groups "Wanabidii" group.
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> > from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >
> > For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
> >
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment