Friday, 27 June 2014

Re: [wanabidii] Tanzanian lawmaker questions use of Mt Kilimanjaro as KQ symbol

Polepole watakuja na ma-book kujustify kuwa mlima huu uko ndani ya ardhi yao! Si mnakumbuka ma-book ya Banda!! Hemu tujaribu nasi kuclaim Mombasa kuwa yetu tuone reaction ya wakenya!!

On Friday, 20 June 2014, 8:13, 'ezekiel kunyaranyara' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Mimi ninavyofikiri naona hoja hii imekaa sana kama mkakati wa kibiashara zaidi kwa Kenya. Jambo hili siyo baya katika medani za ushindani wa kibiashara.

Ni vizuri kushughulika nalo kwa mtizamo na mwelekeo wa kibiashara zaidi kuliko kulipeleka kisiasa ambapo linaweza kuzaa mengine ambayo kama wananchi hatupendi yatokee.
 
K.E.M.S.

On Friday, 20 June 2014, 7:11, Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com> wrote:

Kazi kweli kweli.
Pale Tarime niliona duka limeandikwa , "JACOB ZUMA SHOP".
Sijui wananchi wa Africa kusini wanajua uwekezaji huu wa Rais wao.
Hata hivyo, itategemea Kenya wanautumia mlima kilimanjaro kwa nia gani. Kama wanautangaza kuwa ni mlima wao hizo ni chokochoko na pia ni kuvunja amri za Mungu "usitamani mali ya mtu mwingine".
Na kama wanautumia kwa lengo la kuiprpmote Kilimanjaro na Africa bila hila hakuna tatizo.
Lakini pia kama Mlima Kenya ni bora kuliko Kilinanjaro au ni kivutio kizuri kwa watalii kuliko Kilimanjaro kwanini msitumie mlima Kenya?

Field Marshal
On Jun 19, 2014 12:36 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ukweli huu wa mwanasheria ni vizuri ukaangaliwa kwa makini.
Ni kweli kuwa nchini kuna hoteli na nyumba nyingi za biashara zinaitwa califonia, washington, nairobi nakadhalika. majina haya hayamilikiwi na mataifa husika. Isipokuwa pamoja na ukweli huu Kenya imekuwa  ikihujumu utalii wa tanzania kwa kutumia jina la mlima huu. Niliwqahi kuona postcard moja nchini Kenya ina picha ya mlima Kilimanjaro inasema unakutwa Afrika Mashariki. Post card nyingine zimendikwa zimetengenezwa au kitu hicho kinakutwa Kenya.
Wakati hatuwezi kuizuia kenya kutumia  jina na picha za mlima Kiliomanjaro upo umuhimu wa kuwafuatilia kwa karibu washindani hawa na kuona kama tunaweza kuwasumbua au kama tunaweza kutoa matangazo yenye nguvu zaidi ambayo yakiambatana na ukweli wa mambo tutafaidi.
Tumkumbuke Mwalimu Nyerere ambaye aliwahi kuzuia magari kutokea Kenya kutembelea Mlima huo. Wakati huo jirani zetu walikuwa wanawavusha watalii mpaka bila kujua na wanasema bado mpo Kenya. wanatembelea mlima kwa garama kidogo na kulala Hoteli za huko.
Anna Kilango usiridhike na jibu.
Elisa

On Thursday, June 19, 2014 4:07 AM, Sam Muigai <samwangwe@gmail.com> wrote:

A Tanzanian MP has demanded that her government issue a statement over an advertisement by a Kenyan airline, which according to her, misleads tourists that Mt Kilimanjaro is in Kenya.
During a Parliament session on Tuesday, Same East MP Anne Kilango-Malecela said she wanted to know why a Kenya Airways advertisement includes a picture of the mountain.
"Honourable Speaker, I have seen a Kenya Airways plane bearing Mount Kilimanjaro as a symbol and yet the (Tanzania) government is silent...the mountain is in Tanzania and is a leading tourist attraction," she said.
The country's Attorney General Frederick Werema however said it is not wrong for the airline or any other party to use Mount Kilimanjaro as a business symbol "because Tanzania has not taken out a patent for the mountain".
To read the full story CLICK HERE
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment