CDM kaka waliokimbizwa ndio walioanzisha ACT that means wale wafuasi wao watawafuata.....Ni kweli watavuna hata toka vyama vingine lakini rahisi sana ni CDM kwa sababu 2 kubwa
moja hawa kina mkumbo ndio walioijenga CDM na wanawajua hata na wanachama na wana wafuasi wao pale so wengi watawafuata
Pili CDM inapoteza mwelekeo wengi wanakimbia
Hili halina ubishi jaman kila mweney jicho anaona na mweney sikio anasikia daily wanachama wanahama na waliopoa wanalalamika tu
On Sunday, June 22, 2014 1:50 PM, "'marcuskabwella@yahoo.com' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Tunataka wanachama wa chama na sio wa mtu. Kuwa na wanachama wa mtu ni hero kutokuwa na wanachama! |
From: 'Jovin Bifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
To: 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Re: VIGOGO WA CHADEMA WILAYA YA IRAMBA WAVULIWA UANACHAMA
Sent: Sun, Jun 22, 2014 9:15:08 AM

| Mollel, Kwahiyo Act imeanzishwa ili kuvuna wanachama kutoka CHADEMA? Acha hiyo propaganda. Kuna vyama vya siasa zaidi ya 20 ikiwemo Act iliyoanzishwa kama Plan B baada ya Plan A kushitukiwa na kukwama. 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote: |
Kuvuliwa uanachama si issue, nahisi watafuatwa na wengi maana chadema kinakimbia kwa kasi sana shimoni ilhali viongoz wa juu wakiota urais tu bila kujali wafuasi kupungua kwa kasi na kubaki na wafuata upepo wachache na wale loyalist.........
Ni kweli kama wamegawa kadi cha ACT na ni haki yao, si lazima wabakie CDM.....ACT nasikia kinakua na kinavuna wanachama wa chadema, wasipoangalia watawabeba wote
On Saturday, June 21, 2014 9:44 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Sasa utawavuaje uanachama watu wasio wa chama? Wamesema wao ni wanachama wa Kitila. It goes without saying.
em
2014-06-21 14:09 GMT-04:00 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>:
RIP CHADEMA
On Saturday, June 21, 2014 5:11:37 PM UTC+3, MABADILIKO CHADEMA wrote:--TAARIFA KWA UMMACHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA WILAYA YA IRAMBA..INATANGAZA KUWAVUA UANACHAMA WANACHAMA WAFUATAO...ndg SWALEHE MAGANGA {ALIWAI KUWA MWENYEKITI KATA YA NDAGO} na ndg. SIFAEL ENOCK, WATU HAWA WAMEVULIWA UANACHAMA JANA TER.20/06/2014,. MAKOSA YALIYOWAVUA UANACHAMA NI PAMOJA NA KUHUJUMU CHADEMA, KUUZA KADI ZA ACT ILIHALI NI WANACHAMA WA CHADEMA NA KURUBUNI WANACHAMA NA VIONGOZI WA CHADEMA WAJIUNGE NA ACT,. PIA KUMBUKUMBU ZINAONYESHA KUWA SWALEHE MAGANGA AMEWAHI KUSIMAMISHA UONGOZI WA KATA NA WILAYA KWA MAKOSA MBALIMBALI YA KUHUJUMU CHAMA NA KUZUA MIGOGORO..HATA HVYO WATU HAO WAMEKIRI KUWA WAO SIO WANACHAMA WA CHADEMA BALI NI WANACHAMA WA KITILA.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--

0 comments:
Post a Comment