Yote haya hayatoki ndani ya chama chenyewe bali yanatoka kwenye chama kingine kinachofikiri kwamba kitakubalika kwa kuviua vingine badala ya kuleta maisha bora kwa wapiga kura. Chama siyo issue hata vikifa vyote lakini ubabaishaji ukaendelea basi tujue na hicho kimoja kitakachobaki hakina maisha marefu
2014-06-24 8:23 GMT+03:00 'frank chalamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
siasa za nchi hii hasa za vyama pinzani bado zinahitaji maombi maana uchanga wa fikra, uchu wa madaraka na kukosa mwelekeo ndio nguzo kuu yaoOn Saturday, June 21, 2014 11:09 AM, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:
RIP CHADEMA
On Saturday, June 21, 2014 5:11:37 PM UTC+3, MABADILIKO CHADEMA wrote:--TAARIFA KWA UMMACHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA WILAYA YA IRAMBA..INATANGAZA KUWAVUA UANACHAMA WANACHAMA WAFUATAO...ndg SWALEHE MAGANGA {ALIWAI KUWA MWENYEKITI KATA YA NDAGO} na ndg. SIFAEL ENOCK, WATU HAWA WAMEVULIWA UANACHAMA JANA TER.20/06/2014,. MAKOSA YALIYOWAVUA UANACHAMA NI PAMOJA NA KUHUJUMU CHADEMA, KUUZA KADI ZA ACT ILIHALI NI WANACHAMA WA CHADEMA NA KURUBUNI WANACHAMA NA VIONGOZI WA CHADEMA WAJIUNGE NA ACT,. PIA KUMBUKUMBU ZINAONYESHA KUWA SWALEHE MAGANGA AMEWAHI KUSIMAMISHA UONGOZI WA KATA NA WILAYA KWA MAKOSA MBALIMBALI YA KUHUJUMU CHAMA NA KUZUA MIGOGORO..HATA HVYO WATU HAO WAMEKIRI KUWA WAO SIO WANACHAMA WA CHADEMA BALI NI WANACHAMA WA KITILA.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:
Post a Comment