Nadhani swali la kwanza lafaa lijibiwe kama 'finding' baada ya kufanya analysis ya data. 1. Unaweza kuuliza mtu akujibu kama amewahi kushuhudia vurugu; 2. Wapi aiishuhudia ikitokea; 3. Iliwahusisha watu gani n.k. Ukipata majibu ya maswali haya, then wewe utajumuisha update wengi wameripoti wapi. Kwa mujibu wa data zako salsa utasema ni wapi panaonekana kuwa vinara kwa vurugu Asante. |
From: Neatness Msemo <nmuzeh@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Re: mwenye data za vurugu za uchaguzi
Sent: Wed, Jun 25, 2014 7:04:30 PM
Emma mbona umekuwa mkali hivi.Japo jibu lako ni kweli ni mahali pa kupata data zote.Lakini akienda jeshi la polisi hatapata data kamili kwani vurugu nyingi zilianzishwa na Polisi wenyewe wakitetea mrengo chama kimoja mmoja.Kwani kama wangetenda haki ndipo ungejua kuwa ni nani hasa wana vurugu .Labda kwa kukusaidia.Vurugu hutokea pale mahali ambapo watu wanataka haki etendeke na haitendeki inawapasa walazimishe na wakilazimisha ndipo vurugu hutokea.Kwani kama kuna amani hakuna vurugu.Hata mume na mke kama kuna amani huoni vurugu lakini kama mmoja hatendewi haki anaanza kutafuta kwa lazima na hapo ndipo vurugu hutokea.sasa inategemea unataka data za vurugu za kisiasa au zote kwani kuna za nyumbani,sokoni,kwenye bar,Kwenye daladala,vyuoni n.k Mahali haki haitendeki kuwa wazi.zingine vurugu huamuliwa majumbani zingine kwa wachungaji na masheh na zimngine polisi n.k be specific. 2014-06-23 11:27 GMT+03:00 Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>:
-- "In accepting the trusteeship of our wildlife we solemnly declare that we will do everything in our power to make sure that our children's grand-children will be able to enjoy this rich and precious inheritance."- Dr. Julius K. Nyerere Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment