Kasema JK, Rais wa Tz na Mwenyekiti wa CCM. Lakini hawawezi tena CCM.
Si tunaona, wamepigana marufuku kufanya kampeni za kutafuta URAIS kabla ya muda, lakini wale wanaoutamani, wametulia kweli? Kwamba hawana mchecheto, kwamba hawahangaiki ktk mipango yao?
Ukiona chama kinaamua kitu fulani, halafu wanachama wake hawatekelezi, hawakitii, ujuwe kimekwisha hicho. Hapa ndipo CCM kilipo.
Jabir+
--------------------------------------------
On Fri, 6/20/14, maduhu93@gmail.com <maduhu93@gmail.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Re: CCM YAANZA KUJIVUA MAGAMBA YAKE:
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, June 20, 2014, 11:58 PM
On Sunday, 10 April 2011 00:34:20
UTC+3, Suleinho Assis wrote:
> ''CCM HAINA BUDI IJIVUE MAGAMBA YAKE NA KUJIUNDA
> UPYA ILI KURUDISHA IMANI NA HADHI YAKE.'' JAKAYA
KIKWETE, FEB 5 2011, DODOMA.
>
>
> Pia
> JK Nyerere aliwahi kusema '' Jengeni kwanza utukufu
wa chama, mengine
> yatafuata.'' 1987. Hatimaye ahadi imetimia na JK
amevunja sekretarieti na
> kamati kuu yake, ni mwanzo mzuri na ameonesha dhamira
ya dhati ya kukihuisha
> chama. Kwa wana-CCM tumpe support ya kutosha na tuwe ni
sehemu ya uhuishaji
> huu. HAKIKA KIONGOZI BORA NI YULE MWENYE KUCHUKUA
MAAMUZI MAGUMU NA KUSIMAMIA
> UTEKELEZAJI WA AHADI NA MAAMUZI HAYO.
>
>
> KIDUMU
> CHAMA CHA MAPINDUZI!..
>
>
>
>
>
> --
> Suleiman Serera,
> Dip.in International Relations & Diplomacy,
> LL.B.
> 0713587577.
> '' Volenti non fit injuria.''
> Tanzania Ni Yetu Sote Kila Mmoja Ana Wajibu!
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment