Nilikuwepo maeneo haya
Nawapongeza sana wanajeshi wetu wa kambi ya chi brigade na Lugalo wamesaidia sana kuokoa majeruhi
Kwa kweli tatizo ni speed kali ya dereva wa dala dala lililokua likienda Ubungo likitokea mtongani, nadhani gari lilikata labda break na kupoteza mwelekeo na kuhamia upande wa magar yaliokua yakielekea Tegeta na kulifyeka hiyo coaster....kiukweli maafa ni makubwa na yalikua ya kutisha hata sikuweza kutoa simu kupoga picha nilijikuta nabubujikwa na machozi......Madereva wasioa na busara au wavuta bangi wasipewe kuendesha abiria jamani
Kwa haraka niliona maiti zaidi ya kumi though nasikia imetangaza 6 mmmmmh
Hali ilikua inatisha jamaniiiiii, acheni
On Saturday, June 21, 2014 4:22 PM, Oksana Spice <worldngojobs@gmail.com> wrote:
On Saturday, June 21, 2014 4:19:08 PM UTC+3, Oksana Spice wrote:
--Ajali mbaya ya gari imetokea mchana huu, katika maeneo ya Lugalo jijini Dar es Salaam. Katika ajali hiyo, inakadiriwa zaidi ya watu saba wamefariki dunia.Mashuhuda wanasema, ajali hiyo imesababishwa na gari aina ya dalala iliyokuwa ikitokea maeneo ya Tegeta kuja Mwenge. Gari hiyo ililigonga dalala nyingine kabla ya kulivamia roli na baadaye gari nyingine aina ya Toyota Discover.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


No comments:
Post a Comment