Monday, 23 June 2014

Re: [wanabidii] RAIS WA CHUO KIKUU CHA CUHAS BUGANDO AMEOKOTWA USIKU HUU AKIWA HAJITAMBUI

Hii sasa ni hatari sana .Mungu amjalie apone

Sent from my iPhone

On 22 Jun 2014, at 13:02, "'jbifabusha' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Mrema, hayo unayosema ni sawa lakini taarifa haikueleza huyo president akutwa wapi. Pia inaweza kuwa sababu za kijamii au kiuchumi badala ya kufikiria sababu za kisiasa peke yake. Tumuombee apone labda tunaweza kujua kilicho mpata

Jovin

Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] RAIS WA CHUO KIKUU CHA CUHAS BUGANDO AMEOKOTWA USIKU HUU AKIWA HAJITAMBUI

Hwenda hali ikawa mbaya zaidi kwani huko tuendako kutakuwa na siasa za ushindani uliokufuru na utatokana na ushindani ulioko ndani ya chama tawala.  Ushindani mkubwa kwenye vyama vya upinzani na kukosa baba (Julius Kambarage Nyerere) wa kukemea madudu
na kusikilizwa.

Matumizi ya hela yatakuwa makubwa sana kwa hiyo ni kupigana kufa na kupona yaani kuna watu wakataotolewa kafara na kuuwawa. Huyu Mheshimiwa Raisi lazima atakuwa tishio kwa kundi fulani na ndio maana kafanyiziwa ili wengine wabishi wajifunze na washike adabu.

La muhimu ni kuomba Mungu, kuwa mwangalifu kwani kupambana ni lazima kuwepo ikiwa kwa walioko kwenye madarka kuendelea kushikilia madaraka na kwa wale wenzetu ambao nao wanayataka madaraka ndani ya chama tawala na kukataa kutii amri ya waliowazidi kete au kwa wale walioko upinzani ambao nao wana uchu wa kuonja hiyo ladha ya madaraka.

Shughuli ndio kwanza inaanza na bado ndio kwanza mbichi na pevu.

Herment A. Mrema

> Date: Sun, 22 Jun 2014 15:58:45 +0300
> Subject: Re: [wanabidii] RAIS WA CHUO KIKUU CHA CUHAS BUGANDO AMEOKOTWA USIKU HUU AKIWA HAJITAMBUI
> From: tmagobe@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Duh! Nchi ya amani inageuka kuwa nchi ya wasiwasi!
>
> On 6/22/14, John George <georgejn2000@gmail.com> wrote:
> > Hosea,
> >
> > Mtu wa System ndo nini?
> >
> >
> > 2014-06-22 14:26 GMT+03:00 <hosea.ndaki@gmail.com>:
> >
> >> Hawa wadogo na ushamba umo, utaitwaje na mtu halafu uende peke yako!
> >> Alijua dili limeiva kumbe anaingia mkenge. Wewe kama sio mtu wa system
> >> kaa
> >> darasani tulia, ukijifanya mtu wa mishemishe haya ndo matokeo yake.
> >>
> >> ----------
> >> Sent from my Nokia phone
> >>
> >> ------Original message------
> >> From: 'Charles Misango' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> >> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> >> Date: Saturday, June 21, 2014 11:19:25 PM GMT-0700
> >> Subject: Re: [wanabidii] RAIS WA CHUO KIKUU CHA CUHAS BUGANDO AMEOKOTWA
> >> USIKU HUU AKIWA HAJITAMBUI
> >>
> >> Siasa za kijinga na kipumbavu kabisa.
> >>
> >>
> >>
> >> On Sunday, June 22, 2014 1:09 AM, 'lesian mollel' via Wanabidii <
> >> wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> >>
> >>
> >>
> >> jamani
> >> Wanamuulimboka na huyu, kawafanya nini sasa
> >>
> >>
> >> On Sunday, June 22, 2014 12:39 AM, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
> >>
> >>
> >>
> >> Rais wa chuo kikuu cha CUHAS (Bugando) na Mwenyekiti wa Shirikisho la
> >> wanafunzi vyuo vikuu nchini (TAHLISO), Bw.Mussa Leonard Mdede ameokotwa
> >> usiku huu akiwa amepoteza fahamu (hajitambui) na amekimbizwa katika
> >> hospitali ya rufaa Bugando kwaajili ya vipimo na kupatiwa matibabu.
> >> Bw.Mdede alitoweka ghafla diku ya jumatano tar.18 mwezi huu, saa kumi
> >> jioni,na haikuweza kufahamika mara moja yupo wapi, mpaka usiku huu
> >> taarifa
> >> za kupatikana kwake zilipotolewa.Taarifa hizi zimedhibitishwa na Waziri
> >> Mkuu wa serikali
> >> ya wanafunzi chuoni hapo, Bw.Benjamin Thomas. Taarifa zaidi juu ya hali
> >> ya
> >> Bw.Mdede zitazidi kutolewa kwa kadri zinavyopatikana.
> >> --
> >>
> >>
> >> Yona Fares Maro
> >>
> >>
> >> Institut d'études de sécurité - SA
> >>
> >>
> >>
> >> --
> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
> >>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal
> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> >> be
> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >> ---
> >> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> >> "Wanabidii" group.
> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

> > --
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
> >
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment