Ndugu yangu, Tata Mtatiro (correctly Motatiro) nchi hii ya Tanzania inatumia kete ya umbumbumbu wa watanzania kufanya madudu yote haya. Pindi wananchi wakiamka kutoka usingizi wa pono waliolala, ujinga kama huu unaofanywa na serikali ya kifisadi ya CCM utakuwa hauna nafasi tena. Hata hivyo,naanza kuona mwanga mwaishoni mwa handaki (light at the end of the tunnel) na naiona serikali ya CCM ikielekea kukata roho rasmi mwaka 2015.
On Friday, June 20, 2014 9:36 PM, 'Julius Mtatiro' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Tufuatilie. Mjadala huu.
Moja ambalo nimeli-note kutoka kwa Prof. Lipumba, anasema "masuala yenye uzito wa kisiasa ndiyo yanaangaliwa na kupiganiwa na serikali, kwa mfano rais akipanga ziara nje ya nchi hata kama ni ziara isiyo ya lazima na hata kama bajeti yake imekwisha, serikali itapambana na kupata bajeti hiyo popote na rais atakwenda ziara. Lakini sekta ya maji au elimu au nyingine muhimu kwa jamii hazipelekewi bajeti kwa wakati, na zikipelekwa huwa kiduchu na zile ambazo zimepungua serikali haizitafuti".
Prof. Lipumba anasisitiza kuwa "hayo yote yanafanywa kwa sababu ziara za Rais zina uzito wa kisiasa lakini sekta ya maji haina uzito wa kisiasa".
TAFSIRI YANGU;
Serikali ya CCM inashupalia masuala ya kisiasa tu na kuyapa uzito na kusahau masuala muhimu ya jamii nzima, hii inanikumbusha ile kauli ya Waziri wa CCM Mhe. Mramba "hata kama wananchi watakula nyasi, ndege ya Rais lazima inunuliwe".
-----------------------------------------------------
Julius Sunday Mtatiro,
Deputy Secretary General,
The Civic United Front (CUF),
Deputy Secretary General,
The Civic United Front (CUF),
Tanzania Mainland,
P.O Box 10979,
Dar Es Salaam - Tanzania.
P.O Box 10979,
Dar Es Salaam - Tanzania.
Office Tel; +255222862506,
Phone; +255717536759,
Email; juliusmtatiro@yahoo.com
Twitter; https://twitter.com/Julius_Mtatiro
Face book; https://www.facebook.com/julius.mtatiro
Website; https://www.cuf.or.tz
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment