Friday, 20 June 2014

Re: [wanabidii] Naomba Msaa wa Kupata dawa ya Kutibu Kifafa

Asanteni sana wote mlionipa maoni na mawazo yenu kuhusu tatizo la kijana wangu aliyepata tatizo la kifafa ukubwani. Kaka Mayalla Paschal, ni kweli niliamini kuwa penye wengi haliharibiki neno. Ni kweli inahitajika ujasiri wa kueleza tatizo kwenye jukwaa kama hili maana wazo la mwanzo ni kuogopa kujianika lakini naamini humu ni mkusanyiko wa watu wengi. Unaweza kupata majibu kutoka kwa baadhi yao kama nilivyopata mawazo mengi humu. 

Nina mifano ya ndugu zangu kadhaa walipata ajali mbaya sana, mmoja alipata ajali ya pikipiki alivunjika mguu sehemu ya goti akaponea kwa Dkt Bake Kibaha. Lakini kuna mmoja aliponea kwa mganga mmoja huko morogoro ambaye hakuwahi kwenda darasa hata moja la udaktari lakini anatibu kwa dawa za asili. Kuna mwingine nasikia yuko yuko Manyara naye anatibu kwa dawa za asili kwa wale walioshindikana kabisa kupona hospitali na wanapona. 

Nimejifunza kuwa sisi waafrika tuna tabia ya kudharau vya kwetu. Mie naamini zipo dawa za asili zinazoweza kutibu magonjwa yetu hata kama umeshindwa hospitali. Si kila cha asili ni uchawi au ushirikina. 
 
Mr. Faraja Kristomus
Department of Foreign Languages and Linguistics
University of Dar es Salaam
P.O.Box 35040, Dar es Salaam
Tanzania
Mobile: +255 787 52 53 96 / +255 717 086 135

"All human beings are equal except our beliefs, tribes and thinking, which are always accidents and never the essences of our humanity. We acquire them after getting out of the wombs of our mothers".

On Friday, 20 June 2014, 13:50, 'malosha zephania edward' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Pole sana ndugu yangu kwa tatizo hilo.
Kwanza: Inategemea na imani yako inavyosema, kama unaweza kumpeleka katika makanisa nadhani anaweza kuombewa na akapoma maana tumeona watu wengi wakipata huduma kama hiyo kupitia makanisa ila imani lazima iwe kubwa juu yako hasa wewe unaempeleka mgonjwa. Maana imani ya baba, mama, kaka nk ndiyo humfanya mtoto mdogo abatizwe kwa baadhi ya makanisa.
Pili. Kama unaamini katika Dawa za Hospitali aendelee kunywa hizo dawa na kuwasiliana na daktari wengine ili kuona ni namna gani anaweza kupata nafuu na hatimaye kupona kabisa maana wa mhibili umesema wao wamefikia mwisho
Tatu: waganga wa kienyeji wapo wanaofanya huduma hizo nako wanahudumia na anapona maana naamini huendi kutafuta sababu bali unaenda kutafuta uzima wa mdogo wako.
Endapo moja kati ya hayo tajwa hapo juu utaona kuna haja tuwasiliane kwa namba ya 0784887475

On Friday, 20 June 2014, 12:31, 'mwakibibi lelansi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Mtaka msaada,
Kama una amini uponyaji kwa jina la Yesu , hilo tatizo linakwisha kabisa. Tafuta penye imani sahihi na inafundishwa kwa usahihi siyo kwa masilahi ya kutafuta utajiri na utaombewa bure kabisa (Mathayo 10:8).
Nipigie kwa ufafanuzi zaidi - 0715896289

From: pascomayalla via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com; wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, 20 June 2014, 11:22
Subject: Re: [wanabidii] Naomba Msaa wa Kupata dawa ya Kutibu Kifafa

Faraja,

Kwanza nakushukuru sana kulileta hili tatiza to an open forum. Majibu ya tatizo lako ni msaada mkubwa kwa wengi wetu ambao nasi tunaishi na matatizo yaliyoshindikanika hospitalini na tumekuwa wazito kuijaribu tiba mbadala for a wrong notion kuwa tiba mbadala ni sawa na kwa sangoma. Watu humu wamenifungua macho na mimi nitawatembelea, tangu baada ya ile ajali, nilipatwa na brachial plexus injury, South Africa wamesndindwa, India wemeshindwa and as days go by the pain becomes unbearable and intolerable 
Sent from my BlackBerry 10 smartphone.
Pasco

From: 'faraja kristomus' via Wanabidii
Sent: Friday, 20 June 2014 10:29
To: wanabidii@googlegroups.com
Reply To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Naomba Msaa wa Kupata dawa ya Kutibu Kifafa

Asante sana Dkt Mama Kiwasilia na kamaradi Baha Bernard kwa ushauri wenu. Mmenipa mawazo mjarabu kabisa nitaenda kuyafanyia kazi maana huyu kijana tunamwonea huruma sana anakunywa Phenobarbital kila siku ya Mungu na kama kuna siku akisahau basi kesho yake anadondoka mahali popote atakapokuwa. Na kwa bahati mbaya akienda shule atawakosesha amani wenzake. Nitafuatilia hilo.
 
Mr. Faraja Kristomus
Department of Foreign Languages and Linguistics
University of Dar es Salaam
P.O.Box 35040, Dar es Salaam
Tanzania
Mobile: +255 787 52 53 96 / +255 717 086 135

"All human beings are equal except our beliefs, tribes and thinking, which are always accidents and never the essences of our humanity. We acquire them after getting out of the wombs of our mothers".

On Friday, 20 June 2014, 1:39, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Association of Traditional and Alternative Medicine (ATME-Kingunge ndio Mlezi wao na mwakilishi bunge la katiba) ambao wanaduka kubwa lenye madawa asilia yanayopimwa ubora wake na chemical levels Muhimbili Institute of Research in Trad. Medicine Muhimbili kwa akina Dr Mbwambo watakupa dawa na maelekezo. Kuna madaktari waliosomea dawa za kisayansi na hizi asilia wapo humo wakishirikiana na waganga wa Jadi (sio wachawi wa tunguri). Duka lipo kituo ha Kagera kulia ukitokea magomeni baada tu ya kupita kituo cha mafuta kwenye barabara inayoelekea Sinza uzuri. Ni kituo kabla ya kufika kiuo cha Argentina cha kuelekea soko la Tandalekushoto kwa duka hilo upo msikiti. Ukiuliza hapo kituo cha kagera dula la dawa asilia utaonyeshwa. Kifafa kinapanda sana hasa rural areas kutokana na kula nyama ya ngurue vilabuni bila kupika ikaiva. Kinyesi cha wanyama hao na minyoo ya tepe (tapeworm) inayosababisha matezi ktk ubongo yanayobana mishipa ya fahamu (nerves). In towns and cities pia milo ya nyama vilabuni, bar, mama ntilie ya nyama ya nguruwe isiyoiva ni tatizo pia. Kinaongezeka kwa watu wazima unakuta zahanati au kito cha afya ina cases za above 18 years 100 mpaka 200 new cases per year za epilepsy ni hatari sana sana nguvu kazi ya nchi inaathirika. Kwa umri kama huu kuwa na kifafa inaonyesha ni life style au occupational diseases kwa wale wa fumigation, wapaka rangi mbao na magari wasiovaa protective gear wanaobwia gas/hewa za madawa wapigayo na wale walao kiti moto isiyoiva. Yote yakishindikana mpeleke maombi.

On Thursday, 19 June 2014, 23:33, 'bahabp2003' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Kamaradi,wasiliana na Dokta Lusigwa wa Sure Herbal Clinics tena hupita sana hapo Udsm ni mtaalamu wa tiba mbadala na anaendelea na utafiti wake na masomo zaidi katika fani hiyo Muhimbili,kama si majibu ya tatizo atakupa ushauri zaidi au wapi uelekee

Sent from Samsung tablet

-------- Original message --------
From 'faraja kristomus' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date: 19/06/2014 15:07 (GMT+03:00)
To wanabidii@googlegroups.com
Subject Re: [wanabidii] Naomba Msaa wa Kupata dawa ya Kutibu Kifafa

Asante sana Ndugu Mnzava. Nitakutafuta unipe maelekezo zaidi. 
 
Mr. Faraja Kristomus
Department of Foreign Languages and Linguistics
University of Dar es Salaam
P.O.Box 35040, Dar es Salaam
Tanzania
Mobile: +255 787 52 53 96 / +255 717 086 135

"All human beings are equal except our beliefs, tribes and thinking, which are always accidents and never the essences of our humanity. We acquire them after getting out of the wombs of our mothers".

On Thursday, 19 June 2014, 11:59, 'mohamed mnzava' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Mr. Faraja,
Hali yako.
Nenda Hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha madawa asilia..
Hapo utapata dawa.
Aidha ni muda mrefu tangu niwe huko Muhimbili.

Zaidi ya hapo nenda chuo kikuu mlimani Dar, idara ya mimea (Department of Botany). Hapo wakuoyeshe mmea uitwao Hyptis Suaveolins. Tafuta ktk google, utauona huo mmea.

Mafuta ya huo mmea ni tiba nzuri, aidha ikipondaponda majani yake, weka ktk chupa ndogo, tumia kwa kuvuta harufu yake mara kwa mara na hiyo ni kinga na tiba

Pole.

M.MNZAVA
0713370555

On Thursday, June 19, 2014 11:40 AM, 'faraja kristomus' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Wapendwa Watanzania wenzangu, 

Nina ndugu yangu ana kijana wake amepata kifafa ukubwani akiwa na miaka 20. Ameugua toka mwaka 2011 na mpaka sasa hajapata matibabu ya kumponya. Alipata vipimo Muhimbili ikaonekana kuwa tatizo lake halitibiki ila aendelee tu kunywa dawa kila siku anapoenda kulala. Amekuwa akinywa hizo dawa na mara kadhaa amejaribu dawa za kienyeji na kuonyesha kupata nafuu lakini bado tatizo hujirudia. 

Kibaya zaidi anategemea kujiunga na vyuo mwaka huu. Akiendelea kuwa na hali itakuwa vigumu sana kwa wenzake vyuoni. Najua ndani ya jukwaa hili haliharibiki neno. Naombeni msaada wenu kwa wale wanaoweza kujua wapi anaweza kupata dawa za kuweza kumtibu huyu wa ndugu yangu. Naomba tuwasiliane kwa 0787525396 kama kuna sehemu ungependa tujaribu.

Asanteni sana.
 
Mr. Faraja Kristomus
Department of Foreign Languages and Linguistics
University of Dar es Salaam
P.O.Box 35040, Dar es Salaam
Tanzania
Mobile: +255 787 52 53 96 / +255 717 086 135

"All human beings are equal except our beliefs, tribes and thinking, which are always accidents and never the essences of our humanity. We acquire them after getting out of the wombs of our mothers".
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment