Thursday, 19 June 2014

Re: [wanabidii] Naomba Msaa wa Kupata dawa ya Kutibu Kifafa

Kamaradi,wasiliana na Dokta Lusigwa wa Sure Herbal Clinics tena hupita sana hapo Udsm ni mtaalamu wa tiba mbadala na anaendelea na utafiti wake na masomo zaidi katika fani hiyo Muhimbili,kama si majibu ya tatizo atakupa ushauri zaidi au wapi uelekee

Sent from Samsung tablet

-------- Original message --------
From 'faraja kristomus' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date: 19/06/2014 15:07 (GMT+03:00)
To wanabidii@googlegroups.com
Subject Re: [wanabidii] Naomba Msaa wa Kupata dawa ya Kutibu Kifafa

Asante sana Ndugu Mnzava. Nitakutafuta unipe maelekezo zaidi. 
 
Mr. Faraja Kristomus
Department of Foreign Languages and Linguistics
University of Dar es Salaam
P.O.Box 35040, Dar es Salaam
Tanzania
Mobile: +255 787 52 53 96 / +255 717 086 135

"All human beings are equal except our beliefs, tribes and thinking, which are always accidents and never the essences of our humanity. We acquire them after getting out of the wombs of our mothers".

On Thursday, 19 June 2014, 11:59, 'mohamed mnzava' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Mr. Faraja,
Hali yako.
Nenda Hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha madawa asilia..
Hapo utapata dawa.
Aidha ni muda mrefu tangu niwe huko Muhimbili.

Zaidi ya hapo nenda chuo kikuu mlimani Dar, idara ya mimea (Department of Botany). Hapo wakuoyeshe mmea uitwao Hyptis Suaveolins. Tafuta ktk google, utauona huo mmea.

Mafuta ya huo mmea ni tiba nzuri, aidha ikipondaponda majani yake, weka ktk chupa ndogo, tumia kwa kuvuta harufu yake mara kwa mara na hiyo ni kinga na tiba

Pole.

M.MNZAVA
0713370555

On Thursday, June 19, 2014 11:40 AM, 'faraja kristomus' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Wapendwa Watanzania wenzangu, 

Nina ndugu yangu ana kijana wake amepata kifafa ukubwani akiwa na miaka 20. Ameugua toka mwaka 2011 na mpaka sasa hajapata matibabu ya kumponya. Alipata vipimo Muhimbili ikaonekana kuwa tatizo lake halitibiki ila aendelee tu kunywa dawa kila siku anapoenda kulala. Amekuwa akinywa hizo dawa na mara kadhaa amejaribu dawa za kienyeji na kuonyesha kupata nafuu lakini bado tatizo hujirudia. 

Kibaya zaidi anategemea kujiunga na vyuo mwaka huu. Akiendelea kuwa na hali itakuwa vigumu sana kwa wenzake vyuoni. Najua ndani ya jukwaa hili haliharibiki neno. Naombeni msaada wenu kwa wale wanaoweza kujua wapi anaweza kupata dawa za kuweza kumtibu huyu wa ndugu yangu. Naomba tuwasiliane kwa 0787525396 kama kuna sehemu ungependa tujaribu.

Asanteni sana.
 
Mr. Faraja Kristomus
Department of Foreign Languages and Linguistics
University of Dar es Salaam
P.O.Box 35040, Dar es Salaam
Tanzania
Mobile: +255 787 52 53 96 / +255 717 086 135

"All human beings are equal except our beliefs, tribes and thinking, which are always accidents and never the essences of our humanity. We acquire them after getting out of the wombs of our mothers".
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment