Bidhaa inapojiweka sokoni husubiri wateja....haya sasa....
Office Tel; +255222862506,
Phone; +255717536759,
Email; juliusmtatiro@yahoo.com
Twitter; https://twitter.com/Julius_Mtatiro
Face book; https://www.facebook.com/julius.mtatiro
Website; https://www.cuf.or.tz
-----------------------------------------------------
Julius Sunday Mtatiro,
Deputy Secretary General,
The Civic United Front (CUF),
Deputy Secretary General,
The Civic United Front (CUF),
Tanzania Mainland,
P.O Box 10979,
Dar Es Salaam - Tanzania.
P.O Box 10979,
Dar Es Salaam - Tanzania.
Office Tel; +255222862506,
Phone; +255717536759,
Email; juliusmtatiro@yahoo.com
Twitter; https://twitter.com/Julius_Mtatiro
Face book; https://www.facebook.com/julius.mtatiro
Website; https://www.cuf.or.tz
--Ipo siku mtu ataita waandishi wa habari kuwaambia leo sili chakula.On Tuesday, June 17, 2014 5:09 PM, Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com> wrote:
--TAMKO LA KUJIVUA UANACHAMA WA CHAMA CHANCCR – MAGEUZI 17 Juni 2014.1 :0 UTANGULIZINdugu wana habari na ndugu Watanzania, kwa kutambua mchango wangumkubwa ambao nimkuwa nikiufanya katika ujenzi wa vyama vya siasa hasaUpinzani hapa nchini, ni dhahiri nimekuwa mjenzi wa vyama kulikomafanikio ya wananchi. Nimegundua mengi sana na kujifunza mengi sanajuu ya hivyo vyama vyetu vya Siasa, tunapotafuta demokrasia katikanchi yetu sio tu kuwa huru kwa kila jambo bali kuwa na UTU kwa watutunaowatafutia Demokrasia ya kweli, hatuwezi kusema nchi hainademokrasia kama hatujatenda haki kwa wanachama au wananchi wetu.SABABU ZA KUJIUDHURU UANACHAMA NA NYADIFA ZOTE ZA UONGOZI.2 :0 AJALI YA GARIMwaka jana June 2013 kulikuwa na uchaguzi mdogo wa Udiwani Wilayanisengerema Kata ya Nyampulukano na mimi nikiwa msimamizi wa Uchaguzihuo mdogo wa marudio, jumamosi ya kuamkia uchaguzi tulipata ajali yagari tukitoka kukagua vituo vya kupigia kura na mimi nilikuwa kiti chambele cha gari na nikapata maumivu makali sana, japo nilipewa hudumaya kwanza lakini baada ya hapo sikupata matibabu stahiki kitu ambachompaka sasa, nisingeweza kulaumu kama hawajui lakini wanajua fikaviongozi wenzangu, na ukizingatia wakati ule nilikuwa Katibu waMahusiano na Uenezi Taifa kitengo cha Vijana.Kutokana na hali kuwa si nzuri na kufikia kuona nalalamika ujue kabisahali si nzuri ki afya, jambo la msingi kwa wenzangu hata kama wanahisina makosa lakini jambo la Busara ni UTU kwanza wakumponya aliyemgonjwa ndipo busara zingine zinafanyika, kiukweli nasikitika sana naninaumia sana kwa tukio hili maana ile ilikuwa ni kazi ya chama nasiya mtu, ina maana hata Elfu kumi tu nayo ni ngumu ? kweli hapatujiulize sasa, na ndio maana naumia sana kwa hilo, kwa hili miminaona kama wamenitelekeza na kuniachia familia yangu mzigo.Nashauri tu kuwa vijana wenzangu wa Kitanzania tunapo jiunga na vyamavya Siasa tuchunguze UTU kwanza kabla hatujafikia maamuzi na tusiwewashabiki wasiasa bila kujua hatima yetu kimaisha, nashauri kamavijana tuwe tunasapotiana kwenye matatizo maana leo limemkuta Kisandukesho linakuja kwako. Nimejaribu hatakuomba msaada kwa baadhi yaviongozi rafiki msaada wa aina yoyote bila mafanikio.USHAURI WANGU kwa chama changu NCCR – Mageuzi naomba kama hililimetokea kwangu basi lisijirudie kwa mwingine kwani hata Munguhapendi kuona hali kama hizo.Kutokana na hili la matibabu ndugu na familia yangu wamenishauriniachane na Siasa za vyama ili waweze kuona wananisaidia vipi,kimsingi naungana na ndugu zangu na kukubali ombi lao kuliko kuumianamna hii. Naomba msamaha kwa viongozi wenzangu pale tulipo kwazanana mimi na wasamehe pale walipo nikosea japo nabaki na maumivu yakiafya.3 :0 KATIBA MPYAKwa upande wa swala la KATIBA MPYA, huu mchakato si wa mtu mmoja auwatu kadhaa bali ni mchakato wa Watanzania wote. Swala la Muundo waMuungano si swala la CCM wala UKAWA bali ni letu sote, hapaningeshauri tu kuepuka mvutano baina ya serikali mbili au Serikalitatu, wakakaa pamoja na kufikia maridhiano yenye Busara ili tupateKatiba mpya inayoendana na mazingira ya Kitanzania. Pia lazimawawakilishi wetu Bunge la Katiba watambue kuwa maoni ya Serikai mbilini ya Wananchi na Maoni ya Serikali tatu nayo pia ni ya Wananchi hivyoBusara ndio itumike kurejesha Umoja wetu wenye katiba ya pamoja.4 :0 KUHUSU BAJETI YA SERIKALI MWAKA HUUViongozi wetu watambue kuwa Bajeti hii ni ya Watanzania wote hivyobadala ya kukosoa tunapaswa kuboresha na tusikosoe bila kuiboreshamaana kama tutakosoa tu mwisho wa siku tutakuwa hatuja tibu chochotebali serikali ikosolewe kwa kupewa solution.5:0 UKAWAHakuna dhambi mbaya kama dhambi ya ubaguzi, Baba au Mama akibaguabaadhi ya watoto tena wadamu ni dhambi kali sana ya ubaguziinayohitaji kukemewa. Ndugu zangu wanao jiita UKAWA hawa jamaa siwazalendo kabisa wametawaliwa na dhambi ya ubaguzi wa vyama. Vyamavya Siasa vipo 23, vyama 22 vikawa ni vyama vya Upinzani, iweje leowote ni wapinzani eti UKAWA iwe ya vyama vitatu vya upinzani fikiriakama ni uchaguzi Mkuu, vyama vitatu kugombea uchaguzi haisaidii maanahata robo haijafika. Ubaguzi uliofanywa na hawa jamaa hauvumilikikabisa na si vitendo bali ni Umoja ndani ya Mtengano. Wakiwezakuungana vyote vyama 22 vikawa UKAWA basi nitakuwa tayari kuendelea nasiasa na hata Serikali 3 nitaunga mkono lakini dhambi ya kubaguana yavyama itaendelea basi ni heri Serikali 2 au 1 maana UKAWA ni ya vyamavitatu na si ya wananchi maana ya UKAWA ya wananchi ni ya vyama vyote22 vya Upinzani dhambi ya ubaguzi iacheni ni Pepo mchafu.6:0 FIKRA MBADALAVijana wenzangu tuache mihemko na jaziba katika ushabiki wa mambo yakisiasa na tuhamie katika uzalendo wa kujenga nchi yeye Amani naUzalendo bila kujali itikadi za vyama vyetu na tusijikite kuchaguavyama bali tuchague viongozi wanaotufaa bila kujali Ushabiki wa vyama.7:0 MAPUMZIKOKwa sasa nimeamua kupumzika siasa na kuangalia mstakabli wa maisha yakifamilia kwanza, pamoja na kupumzika huko nitapumzika na kwambanitakuwa naelekea chama gani hilo si swala la leo mpaka palenitakapooona inafaa na sijui ni lini.Ndugu wanahabari nifikishieni taarifa hii kwa umma wa Watanzania naMungu atupe uzima wa maisha marefu.0786 025 609MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA.MWL. DEOGRATIUS KISANDUALIYEKUWA MJUMBE WA HALMASHAURI KUU TAIFA NCCR – MAGEUZI 17 / 06 / 2014
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment