Thursday, 19 June 2014

Re: [wanabidii] Halima Md ee Amchana Leticia Nyerere

Shida ya jamaa was CDm hawajiewagi and think are perfect even if are wrong
Hulipuka tu...na the only wanaoheshmiwa no slaa name mbowe bhaaas..,heshima kati yao hakkuna,.ukiteleza kidogo tu tiyari...sio mwenzao tena.
Hatari tupu

'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Hivi yakiletwa maji umesaidiwa? Kama kazi ya serikali ni kutoa msaada basi tusilalamike kwasababu haina wajibu huo.

Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Halima Md ee Amchana Leticia Nyerere

Hivi maana ya upinzani ni kupinga tu na kubomoa hata kama chama tawala kimefanya vizuri katika kukithi matakwa ya eneo lako mpinzani kwa kutekeleza mipango mliopanga na kupewa mliyoomba? Hivyo ndugu zangu kazi ya upinzani ni kusema yote ni mabaya hata yale mliyoomba mkapewa yanayoonekana? Huu hautakuwa wehu au kukosa shukrani? Hutakiwi useme ahsante bali kulaumu tuu? Sielewi. Aende kwake Kawe aone mazingira yanavyoharibiwa, mito kuchimbwa na kutanuliwa, kuchimba mchanga mpaka chini ya bridge mpya, makundi ya kuvuta bangi baada ya kuuza mchanga sio kufanya maendeleo. Mitaro mipya mkandarasi anatengeneza wanaunganisha vyoo kinyesi kimetuna humo sewerage dreen inazalisha culex mosquitoes za ngiri water. Anabwata tu bungeni-sasa kwisha kama huonyeshi mfano eneo lako unapiga kelele tu tukuelewe vipi. Wenye uwezo hawawekezi kwenye kilimo, kusaidia kuwekeza katika soko la ndani, kusaidia kusafirisha mazao kutoka villages kwenda kwenye masoko; wananchi kulewa pombe ya choya au kuchemsha water kuweka hamira na tea leaves kuchahishakuanzia asubuhi saa wamelewa. Kimya tumenyamaza daima CCM ndio tatizo. Maendeleo mengine tuna uwezo hatuhamasishi tu tunataka vishuke kama mvua. Ukisaidiwa na ukitoa shukrani-uache ubunge kwa vile umesema 'Ahsante'??? hii mbona imekaa vibaya?

On Thursday, 19 June 2014, 21:27, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

It's absolutely useless to discuss what you don't have any clue how things are! We can only speculate as we always do best.

2014-06-19 21:16 GMT+03:00 Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>:
Hivi alishaolewa ? Mwenzake kaachika .

On Thursday, June 19, 2014 9:12:45 PM UTC+3, Nicomedes Kajungu wrote:
Hebu jiulize baada ya kikao inakuwaje? Wanaweza kupanga jambo pamoja kwa kuheshimiana na kuaminiana?
Hapa dada Halima James Mdee aliteleza. Hata isongekuwa suala la CCM & CDM, Lazima kuhifadhiana kuwepo.
Field Marshal
On Jun 19, 2014 9:07 PM, "'Mollel' via Wanabidii" <wana...@googlegroups.com> wrote:
Muganda hii so saw a pale so hadharani hujaelewa logic mzee
Pale anaonesha leadership weakness iliopo ktk CD mkuu....so saw a hats kdg bora angemsemea ndan ya chama kuliko pale binge
Duuu msifagilie huo ujinga..hawa ndio wanaobomoa CDm measurement

Emmanuel Muganda <emug...@gmail.com> wrote:

Hapana, mimi naona alifanya vizuri. Leticia alijikomba kwa CCM hadharani. Alipaswa kujibiwa hadharani. Good job mbunge wangu Halima Mdee.
em

2014-06-19 13:02 GMT-04:00 'lesian mollel' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com>:
Lakini kwani lazima angemchana live pale......hakuna leadership ethics
Ingepaswa tu amsemee ktk vikao vya ndani...hata kama kakosea sawa lakini pale ni kuonesha kua CDM haijaiva kisiasa, makosa yenu mnadispaly kwa wapinzani wenu wa kisiasa sasa si ndio loophole watakayotumia kuwamaliza?
Chadema mjipange jamani mnatuangusha......huu si uongozi wa kimaadili, msioneshe tofauti zenu ,sawa na walioona jana match ya cameroom na chile jamaa wa Cameroon walitaka kukwidana, namna ile was a nice chanc kwa rival kukumaliza
sioooooo

On Thursday, June 19, 2014 1:29 PM, MABADILIKO CHADEMA <mabadili...@gmail.com> wrote:

MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), amemtaka mbunge mwenzake, Leticia Nyerere, aache ubunge na akajiunge na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuliko kuendelea kukipigia debe chama hicho akiwa upinzani.
Kauli hiyo ameitoa jana alipokuwa akichangia bajeti ya serikali kwa mwaka 2014/2015 ambapo alisema matendo anayofanya Leticia ya kujipendekeza kwa CCM yatamgharimu kama ilivyotokea kwa wenzake.
Juzi wakati akichangia bajeti hiyo, Leticia alisema serikali ikifanya vizuri, lazima ipongezwe kwakuwa imepeleka maendeleo katika jimbo analotoka.
"Serikali yangu imefanya mambo mengi, imeniletea maji, walimu katika jimbo langu la Kwimba, ni lazima tuipongeze si kila wakati tunailaumu humu ndani," alisema.
Katika mchango wake jana, Mdee, alisema jukumu kubwa la upinzani ni kuikosoa serikali na kuonyesha mbadala katika masuala mbalimbali na si kuisifia kwa kutekeleza wajibu wake wa kuwahudumia wananchi.
"Serikali inapata fedha kutokana na kodi za wananchi, inalazimika kupeleka maji, barabara na huduma mbalimbali kwa lazima si hiyari, tunapoikosoa tunatimiza wajibu wetu kama yenyewe inavyotekeleza inapowahudumia wananchi.
"Leticia Nyerere anaweza kwenda CCM, kwakuwa Rais Kikwete ana nafasi mbili za uteuzi wa wabunge, lakini lazima ajue waliojipendekeza CCM wamepigika sana hivi sasa, aachie ubunge aende huko kwakuwa ana mapenzi nao," alisema.
Mdee alisema kuwa Leticia anaiaibisha kambi ya upinzani inayofanya kazi usiku na mchana kuhakikisha serikali inaboresha huduma inazozitoa kwa wananchi.
"Upinzani si lelemama, kama anafikiria CCM ni kuzuri zaidi ni vema akaenda huko kuliko kubakia hapa pasipomfaa," alisema.
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
No comments:

Post a Comment