Monday, 26 August 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] MALAIKA WA CHADEMA

St. Ludo ushaandikwa kwenye historia ya Tanzania na hata cable za Mmarekani zikivuja utaona jina lako!

On Aug 26, 2013, at 8:12 AM, Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> wrote:

> Samson Mwigamba aliandika makala juu ya nani hasa wanakisaidia chama
> cha demokrasia na Maendeleo.baada ya kutaja hawa viongozi wa kitaifa
> tunaowajua,na hawa wanaoipinga kwa mantiki ya kuipa nguvu badala ya
> kuiangamiza,mwigamba aliongelea dhana ya Malaika wa mungu.hawa ni wale
> ambao wanatoa mchango mkubwa sana kwa chadema,lakini bila kuonekana
> wala kutambuliwa.Ni kweli wapo malaika wengi na kwa maoni yangu ndiyo
> wanaoifanya chadema izidi kukua namna hii.na kama alivyosema mwigamba
> hawa hawasikiki na wala hawatambuliwi.
> Baadhi yao wamefukuzwa kazi,wengine wamepata majeraha na ulemavu na
> wengine wameuawa wakiwa wanakitetea chama hiki.lakini bahati mbaya
> hawatambuliwi,na wengine wao wanaitwa wasaliti.na ukweli ni kwamba
> historia ya CHADEMA kutafuta ukombozi wa nchi hii itakapoandikwa,hawa
> hawatakuwemo.inanikumbusha shairi la kale " who built the gates of
> Thebes".
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

No comments:

Post a Comment