Mzee Muganda Hapa ndipo tunapotofautiana. Sisi tunasema JK anachokifaanya kwa sasa katika jambo hili yuko sahihi, lakini wenzetu wa CDM wanalichukulia kinuume kwa mtizamo wa kisiasa. Ukwelii ambao naona hata wewe hutaki kuukubali ni kwamba Wanyaarwanda wako strategic katika kuchukua maeneo haya ya afrika mashariki. Nitakupa mfano hapa halisi. Wakati fulani nikiwa Kigoma kijiji kimoja chenye mchanganyiko wa Waha na Watusi. Mtoto wa kiha aloshika nafasi ya kwanza katika darasa fuulani aalisabaisha kifanyika kwa kikao cha Watusi karibu wote katika kijiji hiki na swali la.muhimu likawa ni kwa nini mtoto wa Kiha aliwashinda watusi? Hizi akili alizitoa wapi? Katika kijiji hiki kwa mwaka huo jambo hili lilileta shida. Mifano ya shida ya Wanyarwanda kuwa na mkakati wa kuwanyanyasa watanzania iko mingi tu. Ungepata nafasi ya kufanya nao kazi ungeona hilo. Tatizo ninalolioona kwa sasa ni usaliti wa wazi kwa maslahi yaa kisiasa huku wakidhani kuwa wakipewa kutawala nchi wao watakuwa salama hili halitawezekana kabisa. Ukweli ni kwamba wataiuza nchi yetu kwa bei ya kutupa kabisa. Ninalofahamu Mzee Mganda siku zote.vibaraka huwa hawakosekani lakini wale wanaotumia fursa adimu kuiangamiza nchi kweli hawatapata nafasi. Nchi yetu iko imara. Namfahamu Kicheere ana msimamo wake mzuri linapokuja.swala.la.utaifa. Watu wote wa Mkoa wa Mara wanajua hilo japokuwa huwa hawapandi migombani kila mwiisho wa mwaka lakini wanajua nini wanafanya. Tanzania inatuhitaji sana kuisaidia kwa wakati huu. Kila mtu.anahitajika kutumia nfasi aliyo nayo kuhakikishha kuwa hakuna adui anaeleta vitisho kwa watoto na wajukuu na vitukuu na vilembwe watakaokuwepo katika nchi hii "irrespective" chama gani kitaongoza nchi yetu. Sent from Yahoo! Mail on Android |
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Vyombo vya habari Tanzania vyashindwa kukabili propaganda za Malawi na Rwanda
Sent: Sat, Aug 24, 2013 10:31:55 PM
Ezekiel,' Hivi busara za JKN alizikwa nazo? Kwa nini hawa viongozi wa sasa hawajaribu angalau hata kidogo tu kufikiria hapa JKN angesemaje?2013/8/24 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment