Nyaronyo Huu ndio ukweli ambao wengi na wanafiki hawawezi kuusema. Heri yako umeusema. Sasa mimi nataka nikuulize jambo moja ama mawili hivi. Wewe hioni kwamba hata baba hamsemeshani huyo adui akimshambulia na akimzidi nguvu ayakushambilia na wewe?. Tatizo wengi mnadhani kuwa uadui wa wanyarwanda ni kwa JK tu kumbe wao ni kutaka wawatawale na wachukue mali zenu. Pili wanahabari wengi ni wanaCDM kwao jambo zuri haliwezi kutoka uupande wa pili. Kwao hakuna jambo linaweza kusemwa na mtu likakubaliwa hadi litamkwe na wateule wao. Lakini jambo la msingi ni kwamba nchi hii ni yetu wote. Ikishambuliwa ni pamoja na nyie wenye nafasi ya kuisemea vizuri lakini mmeamua kuisema vibaya kwa saababu zenu za kisiasa tu. Nyaronyo iko siku kama ni kulia ruyalia wotee au kama ni kucheka tutacheka wote, llabda tu uwe na uraia wa nchi mbili kaka kwamba mambo yakiharribika huku utakimbilia kwingine. Sent from Yahoo! Mail on Android |
From: nyaronyo kicheere <kicheere@yahoo.com>;
To: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Vyombo vya habari Tanzania vyashindwa kukabili propaganda za Malawi na Rwanda
Sent: Sat, Aug 24, 2013 7:56:36 PM
bandugu, nimeshangaa sana ninayoyasoma mtandaoni na hasa baada ya kumsoma mgamba na wale wanaoonekana kumpinga. hivi kweli kama baba yako ni mturutumbi/mwanga/mchawi/mrogi anakulogea wanao wanakufa utamtetea katika shauri lake na majirani zenu? mimi naweza kumtetea kama atapigwa lakini sidhani kama nitamtetea katika mzozo wa maneno kwa sababu mimi na yeye hatusemi! tutasemaje mimi na baba yango ambaye kila mke wangu akijifungua anakula wanangu na wanga/waturutumbi/wachawi,warogi wenzake? yaani baba yangu anatarajia mimi niwe mzalendo kutetea mashamba ya ukoo ambayo amezuia mimi na wanangu tusiyalime? yaani baba yangu anatarajia mimi niwe mzalendo kupambana na majirani zetu wanaotaka kumnyanganya shamba wakati yeye baba anawatumia vibarua wake kuchoma shamba langu la mtama uliokauka unasubiri kuvunwa? baba anayeniombea kifo, njaa na umaskini nimpendeje kiasi cha kujitoa maisha yangu kumwokoa? nasema hivi mimi nitaionaje nchi hii kama yetu wote wakati napigwa mabomu na pale ninapolalamika naambiwa nimijilipua mwenyewe? mnaotaka wpote tuwe wazalendo mjiulize kumetokea nini kati ya 1978 na 2013 kiasi kwamba wale wale waliokuwa wanachanga ngombe kusiadia nchi vitani, waliojitolea kupigana bure kama mgambo, waliofanya ushushu bure bila kuombwa leo hii hawataki kusaidia! mtoto mmoja wa shule darasa la tatu aliulizwa na mzungu mmoja mjini mrogoro, wapi mzinga? mtoto akamjibu twende nikuonyeshe halafu akampeleka kituo cha polisi - mzungu kuona kibao cha Police station kakimbia bystanders wakahoji kulikoni mtoto akasema alitaka nimweleze mzinga iko wapi nashangaa anakimbia; kukatolewa msaada mzungu akakamatwa - leo hii mtoto gani atafanya hivyo? watu watapenda nchi yao na viongozi wao kama watatendewa haki na kuona nchi ni yao kweli watu watapenda viongozi wao kama viongozi hao watachaguliwa kihalali na siyo kwa mtindo ule aliousema lipumba msikitini. tukubaliane nchi ni yetu wote, tuchaguane katika chaguzi huru na za haki, tusioneane, tusinyofoane kucha, tusikatane vidole, tusing'oane meno bila ganzi mwone jinsi tutakavyoipenda nchi yetu na kuitetea; otherwise kwanini nitetee kwa mandishi wanaonivizia kuning'oa meno na kuninyofoa kucha bila ganzi? KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI. kicheere, tungi, kigamboni, tanganyika territory From: RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> Sent: Saturday, August 24, 2013 11:19 AM Subject: Re: [wanabidii] Vyombo vya habari Tanzania vyashindwa kukabili propaganda za Malawi na Rwanda Rwandan media propaganda can't be tamed by using the same means. Blaming Tanzanian media for not responding to reckless journalism in Rwanda is barbaric and a proof of how many of us are naïve about what journalism is all about. Journalism isn't about engaging in reckless, mudsling and war-mongering politics. Rwandan media is well-known in hate propaganda, which was first observed in 1990s, few months before the genocide. But, again in this case what was propagated by the Rwandan media needs to be studied thoroughly before embarking in 'countering' their stories. One of the stories that sparked the debate recently was the Wikileaks cable. To my understanding, any information that is in the public domain can be used as source of news. The Wikileaks cable used by News of Rwanda was written by American top diplomat in Tanzania, not a Rwandese. Now this being the case, why should we, the media industry in Tanzania, embark on attacking the News of Rwanda while it has used an information that's in the public domain? Last year, were we not happy in this country when we quoted Wikileaks cables about Dr. Hosea, Former Chief of Defence Forces George Waithara as well as President Kikwete's claims that he was bribed designed clothes by the owner of Kempinski? Now if we did it, why all the fuss, when our neighbours have followed the path that we showed them? But above all the media from both sides have played the role of sensational and reckless journalism during the past few months when Tanzania-Rwanda relations has been shaken as President Kikwete put it. The difference is that we have been hit at our hearts, while we hit them somewhere where it doesn't pain them.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
No comments:
Post a Comment