kigwangalla,waache wanaoona wana cha kujadili wafanye hivyo.wewe siyo
Sitta kwa hiyo hata hicho wewe unachosema ni uongo unaweza kuwa uwongo
vilevile.si unajua wewe nawe unampinga mzee Lowassa?
On 8/26/13, hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
> Kwa nini mnaendelea kujadili habari za uongo?
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> -----Original Message-----
> From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Mon, 26 Aug 2013 05:35:36
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] SITTA AOMBA MSAMAHA , AVUNJA KUNDI LAKE, AJIUNGA
> NA
> KUNDI LA LOWASA
>
> Sikujua Januari Makamba naye ana kundi lake.
> em
>
>
> 2013/8/25 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
>
>> SITTA AOMBA MSAMAHA LOWASA, AVUNJA KUNDI LAKE, AJIUNGA NA KUNDI LA
>> LOWASA.
>>
>> Mbunge wa Urambo Mashariki (CCM), Samuel Sitta, amesema mahasimu wake
>> kisiasa, wameimarisha mkakati wa kumchonganisha na wabunge, wanasiasa
>> wenzake ili kufifisha jitihada zake za kupambana na ufisadi na madawa ya
>> kulevya.
>>
>> Sitta amesema mahasimu hao ambao wamekuwa wakimkosanisha na mwanasiasa
>> makini ndugu Lowasa, wameanza kutumia baadhi ya vyombo vya habari,
>> kuiaminisha jamii kwamba, anamuita Lowasa fisadi kitu ambacho hajawahi
>> kusema hivyo, Sitta ambaye alipata wasaa wa kuongea na Lowasa hivi
>> karibuni
>> hapa Dodoma pamoja na mambo mengine alimuomba msamaha na kuomba
>> kuunganisha
>> nguvu zao kwa pamoja katika kinyanganyiro cha urais 2015.
>>
>> "Nimebaini kuwa upotoshwaji huo ni sehemu ya mkakati wa kundi la kisiasa
>> ambalo kinara wake anautafuta Urais wa nchi kwa udi na uvumba huku
>> akisema
>> mambo mbali mbali ya kuwasingizie wenzake kwamba watanzania wajihadhari
>> na
>> rais muuza unga, .......sasa nimeamua kuvunja kundi langu na kujiunga na
>> kundi la Lowasa ili kuwa na kundi imara zaidi nikiamini umoja ni ushindi"
>> alisema.
>>
>> Hata hivyo wakazi wa mjini hapa Dodoma wamekuwa na wasiwasi na tamko hilo
>> la Sitta kwa sababu waziri huyo amekuwa kigeugeu kiasi kwamba hatabiriki
>> na
>> kuaminika kwa chochote anachosema, hivi karibuni alikaririwa na vyombo
>> vya
>> habari huko mwanza wakati akishiriki katika harambae alisema amechangiwa
>> na
>> waziri magufuri lakini baadaye waziri magufuri alikataa kumchangia waziri
>> Sitta, naye mwanachama mmoja wa CCM mjini Arusha ndugu Mwanaisha Mchomvu
>> alisema muungano wa kundi la Sitta na Lowasa itakuwa ndiyo njia pekee ya
>> kunusuru CCM zidi ya chadema ingawa aliona kundi la wassira lina nguvu
>> zaidi ukilinganisha na makundi mengine kama ya Bernard Membe na January
>> Makamba.
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
No comments:
Post a Comment