Ni wazo zuri sana hili pengine utakuwa mwanzo mzuri wa kupambana na wauza unga maana kama litaungwa mkono na wengi na namna ya kuwatia hatiani ikawekwa vizuri. Tahadhari tu ni kwamba uhakiki wa majina hayo ni muhimu sana kabla ya kuyapeleka bungeni au watakaopendekezwa na wengi ni uthibitisho mzuri pia.
2013/8/25 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
SAKATA LA MADAWA YA KULEVYA: Kuna watu wengi sana mtaani wanadai wanawajua wauza dawa za kulevya. Mimi najitoa mhanga kuwaanika hadharani kupitia Bunge litakaloanza keshokutwa. Naomba sasa kila mwenye taarifa sahihi kuhusu mtu yeyote anayefahamika kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya anipenyezee ili mimi nimfunge paka Kengele. Tuache siasa na minong'ono isiyo na tija, leteni taarifa tuchukue hatua!--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
To all the questions of your life YOU are the most possible answer. To all the problems of your life YOU are the best solution. Trust yourself
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment