Mnajua mfa maji heshi kutapatapa. Ndivyo muhimla huyu alivyoshauliwa kuwa akifanya hivyo ataonewa huruma UN iyaondoe majeshi ya Tanzania kwenye kikosi chake ili aendelee kuiba raslimali za DRC. Hayo aliwafanyia wengine si Tz.
From: RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, July 20, 2013 8:21 PM
Subject: Re: [wanabidii] WAASI WA M23 WATOA PICHA YA ASKARI WA TANZANIA ALIYETEKWA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, July 20, 2013 8:21 PM
Subject: Re: [wanabidii] WAASI WA M23 WATOA PICHA YA ASKARI WA TANZANIA ALIYETEKWA
Askari wa Tanzania anakwenda mstari wa mbele na Passport?
From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, July 20, 2013 5:08 PM
Subject: [wanabidii] WAASI WA M23 WATOA PICHA YA ASKARI WA TANZANIA ALIYETEKWA
--
Waasi wa M23 wa DR Congo, wanadai kuwa wamemkamata askari wa Tanzania anayeitwa Christopher George Yohana, wakati akishirikiana na waasi wa Rwanda (FDLR) wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya maelfu ya Watusi mwaka 1994.
Waasi hao wa M23 wameweka picha ya passport ya mateka huyo kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na Twitter.
Kwa mujibu wa chimpreports.com, M23 wameripoti kumkamata askari huyo akiwa na bunduki aina ya AK47 yenye serial number 1372. Ifuatayo ni kauli ya M23 waliyoweka Facebook ikiambatana na picha hiyo:
"leo Fdlr zikiongozwa na askari toka Tanzania zilivamiya Positions zetu pale Kinyadonyi Na Nkwenda huko Rutshuru. Zilikuta Vijana wanazisubiri, walizicapa na kuzikimbiza alafu zikaaca Askari wa Tanzania Nyuma tukamunasa, ivi tuko naye tuko na mupa cayi na mukate anywe.
Serikali ya tanzania isiwe na hofu hatutamufanya kitu, tutamucunga muzuri. sisi hatuko kama wale wa criminals wa FARDC ambao wanatukanaka hata maiti, na wenye Wanabakaka watoto wa myaka sita, sisi ni jeshi la Mungu. Kesho mutaona Video yake, Cliquer apa uone passport ya ule askari ya tanzania ambaye tulikamata"
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

I have not had the capacity to discover such sort of data all around the web search tools and web. It's been remarkably enlightening to peruse your web journal and i am going to recommend it to an alternate individual also.
ReplyDeleteScreen printing