Yes. NGOs zimekuwa zikiombaomba kwa mashirika na makampuni mengine. Ufadhili huo umepungua sana. Baadhi ya NGOs za kimataifa kama World Vision, CARE nk zimekuwa ktk wakati ngumu juu ya upatikanaji wa fedha.
Baadhi ya watoa fedha wameamua kupeleka mojakwamoja kwa wananchi kupitia asasi za kiraia za ndani hususan zinazoishi na wananchi ili kukwepa gharama kubwa za uendeshaji wa NGO kubwa ambazo sasa zitakuwa kama mtu wa kati kati ya Loval NGOs na mfadhili. World Vision wamekwenda mbele zaidi ambako kila International NGO mwisho wa siku itaelekea.
Vin
On 20 Jul 2013 10:39, "paul chilewa" <poulchilewa@hotmail.com> wrote:
-- --Nchi zilizo endelea zinahama toka kutoa msaada na sasa zinafanya biashara,iwe kwenye kilimo,miundombinu.Umesikia Obama uwekezaji kwenye umeme sio msaada bali wanayawezesha makampuni ya kimarekani kufanya biashara,sisi tunachotakiwa kufanya ni kuhakikisha tunakusanya kodi ilikujiletea maendeleo yetu,wao lengo ni faida.Mleongo huo sasa umehamia kwenye sekta zote.
Date: Fri, 19 Jul 2013 15:33:19 +0300
Subject: [wanabidii] SUALA LA NGO KUFUNGUA KAMPUNI ZA MIKOPO
From: oldmoshi@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com; wanazuoni@yahoogroups.com
Ndugu zanguKatika siku za karibuni tumeona zile NGO kubwa zilizokuwa zinatoa huduma mbalimbali kwa jamii zikifungua kampuni za kutoa mikopo kwa wananchi mbalimbali au zenyewe kuanza kutoa mikopo moja kwa moja kwenye zile jamii wanazozihudumia .Kwa mfano halisi ni World Vision ambayo ina kampuni inayoitwa Vision Fund international kwa ajili ya masuala ya fedha na mikopo , kuna CHAI ambayo ni ya rais wa zamani wa Marekani ambayo imeanzisha programu za mikopo kwa nchi ya tanzania na malawi .Hili suala mimi silielewi kwa NGO kujiingiza kwenye biashara haswa za mikopo kwa wananchi maskini walalahoi , ina maana sasa wanarudisha zile fedha zao walizotoa kwenye jamii hizi .--Find Jobs in Africa Jobs in AfricaInternational Job Opportunities International Job OpportunitiesJobs in Kenya Jobs in Kenya
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

No comments:
Post a Comment