Wednesday, 10 July 2013

Re: [wanabidii] Simulizi Za Mzee Madiba; Nyerere Alimsaidia Mandela Asafiri Kama Mtanganganyika!

Kaka Mjengwa simulizi zako zinasisimua, nimezipenda. Leo naomba ufafanuzi kidogo kuhusu Oliver Tambo kwenda Ghana kuhudhuria Mkutano wa Mataifa Huru ya Afrika, hapo una maana gani? Ulikuwa mkutano tu wa kawaida wa nchi zilizokuwa zimepata uhuru hadi mwaka 1962 au wa OAU?

Nadhani OAU ilianzishwa mwaka 1963, na hapo ndipo kidogo sijakuelewa.
Asante

2013/7/11 Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>

Ndugu zangu,

Simulizi za Mzee Madiba zinaendelea. Ikumbukwe, kuwa Mandela alifika Dar es Salaam kwa mara ya kwanza mwaka 1962. Na wakati huo Mandela hakuwa Rais wa ANC. Rais wa ANC aliitwa Oliver Tambo.

Akiwa Dar es Salaam, ilipangwa pia Mandela akutane na Bw. Oliver Tambo, Rais wa Chama chake aliyekuwa akiishi nje ya Afrika Kusini. Lakini, kwa vile Mandela alichelewa kwa wiki mbili kuianza safari yake kutokea Botswana , hivyo, Mandela aliachiwa ujumbe na Oliver Tambo, kuwa amfuate Lagos, Nigeria. Huko Oliver Tambo alikwenda kuhudhuria Mkutano wa Mataifa Huru ya Afrika.

Hivyo, Mandela akafunga safari kwenda Nigeria akitokea Dar es Salaam kupitia Accra, Ghana. Ndege aliyopanda ikatua kwanza Khartoum, Sudan. Hapo Mandela akakutana na msukosuko wa kwanza....Soma zaidi..http://www.mjengwablog.com/siasa/item/3873-simulizi-za-mzee-madiba-nyerere-alimsaidia-mandela-asafiri-kama-mtanganyika.html#.Ud5K2W2CDTo

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
No comments:

Post a Comment