Wote hao ni matapeli wa kileo. Wakati wale wa Afika ya Magharibi wanatumia kuleta email wakituma na picha za wanawake wanaovutia machoni, hawa wao wanatumia SMS na kusisitiza wako vikaoni watumiwe tu SMS.
Shida iliyopo tutawakamataje wakati Polisi hawafanyi kazi hii ya kudhibiti matapeli? Polisi siku hizi ni kufukuzia mikutano ya viongozi wa upinzani basi. Hizo ndo dili zao kwa ubia na waserikali wa CCM.
Kule Mtwara si tumeona, viongozi wa siasa wanateswa kwenye kambi ya JWTZ halafu wanakwenda kukabidhiwa kwa RPC mbele ya RC na kuishia kuhojiwa na kupelekwa mahakamani kwa mashitaka bandia jioni wakati mahakama mwisho wa kazi ni saa 9.
Ndio tatizo letu kwamba matapeli hawa hatuwezi kuwashika maana hawafuatiliwi ingawa ni rahisi kwa kushirikiana na kampuni za mobile cells. Kwa taarifa za kijinai wanapaswa kutoa ruhusa matapeli wakamatwe. Wanaumiza watu masikini.
Natoka.
Jabir+
--------------------------------------------
On Sun, 7/21/13, Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] MTU HATARI
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, July 21, 2013, 1:31 AM
Wako wengi. Kuna
mwingine ambaye imebainika kuwa anasoma magazeti mbalimbali
na anachukua namba za columnist na waandishi wengine
wanaoweka namba za simu, kisha anawatumia sms, akijifanya ni
Mhariri wa gazeti husika, anajifanya yuko yeye kwenye kikao,
anawaomba wamtumie jamaa yake ambaye amekwama sehemu kati ya
sh30,000 na 40,000 ambazo anaahidi kuzirejesha baada ya
kikao.
Nina mifano, mtu wa namna hiyo aliwahi kunitumia SMS
akijifanya ni bosi wangu wa zamani John Mapinduzi. Pia
mwingine (au huyo huyo) siku nyingine, kwa namba tofauti
akanitumia SMS tena akijifanya ni Dennis Msacky.
Mara nyingine, niliweka namba za desk kwenye colum mbili za
waandishi tofauti, tapeli hiyo akatuma ujumbe kama kawaida,
akitaka majina ya waandishi husika na kuomba fedha,
nikabaini kuwa huenda huyo mtu yuko programmed. Ukimpigia
hapokei, yeye anasisitiza mawasiliano kwa SMS.
RSM
2013/7/21 <misangocharles@yahoo.com>
Inawezekana maana hasa wanalitumia zaidi jina la ngurumo
Sent from my BlackBerry®
smartphone from Vodacom Tanzania
-----Original
Message-----
From: Tumaini Makene <makene_84@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 21 Jul 2013 11:21:07
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com<mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: mabadilikotanzania@googlegroups.com<mabadilikotanzania@googlegroups.com>;
wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] MTU HATARI
Isije ikawa ule mtambo ulioletwa na akina naniii kwa ajili
ya phone spoofing...oooh!
Yego wababa, kuweni makini. Asante sana kwa taarifa. Poleni
sana kwa usumbufu.
Tunatumaini mtachukua hatua zingine pia za haraka kunusuru
matatizo yanayoweza kujitokeza bila kusahau kutafuta ukweli
wa suala zima.
Tumaini Makene
CHADEMA Senior Information(Press) Officer
0752 691569/ 0688 595831
Sent from my iPad
On Jul 21, 2013, at 9:58 AM, misangocharles@yahoo.com
wrote:
> Wandugu kuna mtu anatumia namba 0756626670 na 06599501090 akijiita Shafii
Haruna anatumia jina langu na la Ansbert Ngurumo kwa utapeli
tayari amefanikiwa kuwatapeli watu wawili shs 200000
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
Tanzania
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>
> ---
> You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
No comments:
Post a Comment