Thursday, 18 July 2013

Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?

Fadhil,
Ndo maana serikali ilipiga marufuku watu kusali mashuleni,
Siku hizi unawaona tena wakisali mashuleni?
Kwa hiyo na hili serikali ipige marufuku shirika la umma kuwa na ubaguzi wa kutoa huduma kwa kupendelea upande mmoja.
Hebu niambie kama hawachukui riba na hawatoi riba then gharama za uendeshaji wa hizo account za waislamu nani anawalipia?
Kama waislamu mmnataka banki si muungane muanzishe ya kwenu kuliko kujipenyeza kwenye vitu vya umma?
Majengo ya umma mlipewa mkafanya chuo kikuu, wakati shule za wakristo zilitaifishwa ili na nyinyi msome mpaka leo shule nyingi hazijarudishwa kwa wenyewe, mbona hilo hulioni

2013/7/15 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
 Tatizo si islamic  bank, tatizo ni chuki dhidi ya uislam, mwanzoni
mwa miaka ya 1990 mpaka 2002 kulikuwa na walokole wengi hapa nchini,
walisambaa karibia nchi nzima na walikuwa wanatumia majengo ya shule
za secondary na msingi kufanyia ibada zao, lakini hatukusikia kelele
wala kukemea, kwamba wanatumia majengo ya shule amabyo ni mali ya
serikali hata waislam wanalipa kodi na michango katika ujenzi wa
majengo hayo. sasa leo nbc kuanzisha islamic bank ndio imekuwa nongwa,
acheni chuki. angalieni msije mshika kipofu mkono wakati wa kula.

On 7/15/13, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:
> Chamani,
> Naamini unafahamu fika watu wanacho kishauri juu ya kutochanganya imani na
> vitu vya kitaifa, maana  kilamtu akitaka kuleta ubinafsi wa kidini hatuwezi
> fika mbali. Ephata Ministry wameanzisha Bank yao, umeona lini watu
> wakalalamikia? Ila ukisema upeleke SACCOS yenyekubeba itikadi za dini fulani
> kwenye shirika say la Posta, JKT, University ya uma kama UDSM, UDOM nk
> lazima utaibua minong'ono.
> Viongozi wa serikali wanafanya vitu tofauti na wanacho kihubiri kwenye
> majukwaa. Siku zote wanatuambia na kutuasa kua, tusigawe Taifa letu na watu
> wake kwa misingi ya dini zao, ubabila na ukanda.
>
> Kama ninyi Islam mnataka Bank yenu, anzisheni wenyewe muone kama kunamtu
> atawagusa. Kwanini mnakosa tahadhari na kuingiza vitu vinavyowahusu ninyi
> peke yenu kwenye mifumo itakayo leta migawanyiko? Watu wakisema, wengine
> mnainuka na kusema wametuanza, sasa mnatakaje? Nchi yetu inaongozwa na
> katiba. inatamka fika kua serikali haina dini, sasa tunapoona viashiria vya
> ubaguzi lazima tuseme.
> Alexander
>
>
>
>
> ________________________________
>  From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Monday, July 15, 2013 4:11 PM
> Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>
>
>
> Kila dini ina mahakama zake za kidini. Kama ya kadhi iingie ktk Katiba na
> ilipiwe kwa hela ya mlipa Kodi-mzigo utakuwa mkubwa kama madhehebu mengine
> nayo yadai dini zao ziwe na mahakama ilipiwe na GVT-Hindu, Bohora, madhehebu
> mbali mbali ya dini za kikristu na waislamu. Mahakama yabaki kwenye dini
> zao. Ikiingizwa ktk katiba kwanza itajipinga. katiba inatambua haki sawa za
> binadamu, pia za gender (me, ke) na watoto. Dini nyingine mwanamke au mtoto
> hana haki sawa. Umri wa kuoa huwa mdogo sio ule 18 years hivyo ikitakiwa
> katika iingize mahakama za kidini baadhi itabidi kukiuka dini ktk haki za
> binadamu. Wengine watakataa kuchangia. Kama makanisa, misikiti,
> jamati-wanaweza wakachanga na kuanzisha mahakama kama mahakama ni Jengo sio
> mfumo wa uongozi fulani kisheria kidini ambapo wanaweza wakaamua kesi
> msikitini au kanisani. Uhuru wa kuabudu usimfanye mmoja kumgharimia mwingine
> ktk matakwa ya dini yake, kumgharimia au kumyima haki mwenzake wa dini
> ingine.
>  Baadhi ya makanisa yameanzisha bank zao na waumini wao wananunua hisa
> Hawajaingia bank za serikali.
>
>
> From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Monday, 15 July 2013, 14:18
> Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>
>
>
> Duh,bwana Chamani huoni tatizo NBC ikiwa ya kiislam..kumbe kweli
> tumetofautiana...kama naelewa vizuri,sidhani kwamba watanzania wanawazuia
> watu wengine wasiabudu Mungu wao kama ulivyosema,lakini tunachokataa na
> tutaendelea kukataa siku zote,ni ibada yako isimbugudhi mwingine
> asiyeiamini. Hatujakaa mahakama ya kadhi Tanzania,tulichokataa mahakama ya
> kadhi kuingizwa kwenye mfumo wa serikali na serikali ni ya wote na mahakama
> ya kadhi ni ywa waislam.. NBC ni ya taifa, kamwe haiwezi kuwa ya kiislam
> wala ya kikristo.
>
> Napenda watu wajue kuwa wakristo wamekatazwa na Mungu wao kutoza riba,kuacha
> kukopesha na kukopesha kwa riba. Na hili lilifanyika miaka 500 mapema kabla
> mtume Muhamadi hajawahusia waislam kuto toza riba. Kama taasisi za
> kiserikali kama NBC wanatamani kuendesha mifumo yao kwa kuangalia matakwa ya
> wateja wao,nawashauri mara moja waanzishe na dirisha la wakristo kwa kadri
> ya matakwa ya dini yao. Ukimya wao sio kana kwamba wao hawana dini,na labda
> dini yao haisemi chochote kuhusu mambo hayo,bali ni busara yao kujua kuwa
> "ya Kaisari mpatie kaisari na ya Mungu mpatie Mungu". NBC katika hili
> mnachemsha na nawashauri mchukue hatua mapema kabla ......hiyo ni taasisi
> yetu sote  na kamwe hatukubali kugawanya kihivyo. Ngupula
>
>
>
> ________________________________
>  From: amour chamani <abachamani@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Monday, 15 July 2013, 7:52
> Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>
>
> Ndugu,
> Wakati mwingine iache akili yenu huru dhidi na chuki,fitna,husda na
> kijicho.
> nadharia ya mafundisho ya dini yenu inaonesha hivyo lakini
> mnachokifanya ni tofauti kabisa.
> Hivi NBC ikiwa ya kiislam mnaumia nini?
> Mmekataa OIC,mmekataa Mahakama ya Kadhi ,mmekataa dada zetu na wake
> zetu kijitanda ushungi.
> Mnataka nini zaidi ya kutamani sote tuwe watu imani yenu.
> Mnakosea na siku zote huwa nawambia mtamuamsha hata aliyelala.
> Ninyi mna dini yenu na sisi tuna dini
>  yetu.
> Mnachotamani hakiwezekani na hakitawezekana.
>
>
>
>
> Walewale,
>
> On 7/13/13, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:
>> Hii nchi ya ajabu sana, kuanzisha dirisha ndani ya bank linalowahudumia
>> na
>> kuwapendelea waislam serikali haioni kama inawagawa wa-Tanzania kwa
>> misingi
>> ya imani zao!!  Ila kuanzisha ma-butcher ya Waislam na Wakristo serikali
>> inaona itawagawa wa-Tanzania kwa misingi ya kidini. Haya yanaonyesha wala
>> hatujui tunayoyafanya na kuyasimamia.
>> Ni sawa na jeshi la police kuwaruhusu CCM kuendesha Green Guards maana
>> wao
>> hawawezi kusababisha vurugu, ila CHADEMA wakianzisha Red Guards wao
>> wataanzisha vurugu na migowanyiko. Double standards. Kwa mwendo huu
>> kutoaminiana kutaendelea.
>>
>>
>>
>> ________________________________
>>  From: Hildegarda Kiwasila
>  <khildegarda@yahoo.co.uk>
>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> Sent: Saturday, July 13, 2013 4:08 PM
>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>
>>
>>
>>
>> I salute you Sir!!
>>
>> From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>>
>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> Sent: Saturday, 13 July 2013, 16:00
>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>
>>
>>
>> Jamii yetu inajulikana imegawanyika.....na hatari iliyopo
>  mbele yetu ni
>> kuwagawa watanzania kwa misingi ya kidini...watanzania wa sasa wapo so
>> sensitive kwa mauala yahusuyo dini kuliko kitu chochote kile..zipo bank
>> kama
>> ya Amana na mkombozi bank. Bank hizi zinajulikana kuwa ni za kidini na
>> hakuna hata mmoja anayezipigia kelele. Nina washauri NBC kama wamedhani
>> kuanzisha dirisha la kidini ni ubunifu,basi wangechukua muda kiasi kwanza
>> kuijua jamii ya watanzania inataka nini na haitaki nini. Watanzania
>> tayari
>> tunachukizwa na matozo makubwa ya kama mikopo na uendeshaji wa accounts
>> katika bank ya NBC. Pia tunachukizwa na ubaguzi unaofanywa na mabank wa
>> kuwapendelea matajiri zaidi kuliko masikini katika huduma..Hili dirisha
>> la
>> kidini lililo anzishwa na NBC,linaongeza chuki zaidi kuliko
>> tija..Watanzania
>> hatutaki hata kidogo mambo haya ya ubaguzi wa huduma kwa misingi ya
>> kidini..NBC  ni bank ya taifa,kwa hiyo ni lazima
>  iwe na sura ya kitaifa
>> zaidi  kuliko bank
>>  zozote. Ni muhimu sana kukemea kila kinachoashiria ubaguzi katika jamii
>> yetu kuliko kushabikia hata kama unafaidika nacho..Ngupula
>>
>>
>>
>> ________________________________
>>  From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> Sent: Saturday, 13 July 2013, 13:23
>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>
>>
>>
>>
>> Niambie unanifuturisha leo ninashiba lakini hunijengei mizingi ya
>> kujilisha
>> mwenyewe. Hii shiba leo kesho hadi mwisho au nusu mwaka njaa inanisaidia?
>> usinifuturishe na kunigawia nyama ya mbuzi, ngamia leo
>  nipatie hizo milioni
>> unijengee irrigation system, kisima cha maji safi, mbuzi wa kisasa wa
>> kutoa
>> lita 3 kwa siku, lipia land survey niple title deed nikae huko Mkuranga
>> ninajitegemea. Huu utakuwa msingi mzuri. Nijengee na shule uniwekee
>> walimu
>> bora. Zile milioni za kununua aftar, kusafirisha mifugo hadi mji au mkoa
>> fulani zitakuwa zimejenga msingi wa maisha. Pia ukifanya biashara kwa
>> faida,
>> halafu utoe futari au chakula cha pasaka ni kuwa unalipa ulichopora
>> masikini-unapunguza zambi. Kwani faida hupatikana kwa kuongeza bei juu ya
>> ile ya uzalishaji. Vitabu vingine vya dini
>>  vinasema-kwa
>>  mfanya biashara kufika uwinguni kumwona Mungu
>>  ni sawa na Ngamia kupita ktk tundu ya sindano!!  weekend njema.
>>
>>
>> From: amour chamani <abachamani@gmail.com>
>>
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Sent: Saturday, 13 July 2013, 11:53
>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>
>>
>> Kiwasila na wenzako.
>> Nbc wanafanya biashara wala hawahubiri dini.Wanatafuta kupata faida
>> zaidi kwa hilo hamna cha kuwafundisha.
>> Ubaya wa hiyo product ni upi kiimani na kijamii au inawakwaza nini
>> ninyi Watanzania wapendao nchi hii? Kutumia huduma
>>  hii
>>  ni hiari yako
>> hakuna lazima.
>> Kiwasila unazungumza bei za vyakula ni kweli zimepanda lakini sababu
>> hiyo inahusu vipi NBC na huduma yake?
>> Lakini kiwasila unaojua kanuni ndogo za uchumi za demand na suply
>> kwamba zinahusika na hapo?
>> Hivi unajua kunawatu wanatumia gharama kubwa pengine mara 5 zaidi ya
>> matumizi yao ya kawaida kwenye chakula sasa kwanini bei isifuate hizo
>>
>  kanuni?
>> Ikiwa kila mtu anafuturisha kuanzia mashirika,makampuni mpaka
>> wanasiasa tena Wakristo?
>> Kiwasila ambacho sijajua vema kwako kwani sokoni wote wachuuzi ni
>> Waswahili tu kama ilivyo maofisini kwenye mashirika ya umma na
>> serikalini kuliko jaa ufisadi?
>> Itakuwa ni bahati nasibu ya ajabu.
>>
>>
>>
>>
>>
>> Walewale.
>>
>>
>> On 7/13/13, Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com> wrote:
>>>
>>> Comrades;
>>> Nami nakubaliana kwamba ni product mpya ya NBC, lakini imeanzishwa
>>  na
>>> kuwekwa mahala sipo,hii haitawasaidia NBC kupambana Sokoni ila
>>> itawapotezea
>>> wateja wengi sana(present customers).
>>> Katika principles na Marketing unatakiwa kulinda sana mteja uliyenae
>>> asipotelee kwa washindani kwa kuwa gharama za kuendelea
>  kuwa nae ni nafuu
>>> kuliko kutafuta mteja mpya.
>>> Kwa jumla wamechemka na hawakufanya utafiti wa kutosha na hasa katika
>>> hali
>>> ya sasa ya utete dini, aliyetoa wazo la product hii kawapotosha
>>> Makaburu,
>>> in
>>> a time being wataona -ve effects zake.
>>> Tutawakimbia sana na hasa kwa kuwa wameamua kuwa wagumu kusogeza huduma
>>> viganjani mwa wateja wao.huduma za NBC ni mbovu sana, hata ukitaka kujua
>>> salio (the minimum and cheapest customer care service) inakulazima ufike
>>> Bank au kwenye ATM??? kitu ambacho mabenki mengi yameshaondoka katika
>>> uzamani huu,wao bado na ni benki kongwe.
>>> Poleni sana
>>  MAKABURU!!
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>>________________________________
>>>> From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
>>>>To:
>  "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>Sent: Saturday, July 13, 2013 11:09 AM
>>>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>Usomi niupate wapi?
>>>>Lakini, Mwenye pesa mpishe apite atoe mikopo bila riba. Kama riba ni
>>>> dhambi-mbona ukianza mwetu mtukufu tu vyakula vinapanda bei vibaya!
>>>>Mihogo, viazi, n.k havinunuliki?1 na hao waliopandisha bei
>>>> baadhi-wamefunga
>>>> mwezi mtukufu ndio wapo dukani wanauza kwa kupaisha bei. Asilimia kubwa
>>>> sasa ya wafanyabiashara wamefunga
>>  mwezi mtukufu!! Ikibaribia
>>>> sikukuu-zinapanda
>  tena. Tunamjua Mungu kweli? Ambapo, hasa waliofunga
>>>> ndio
>>>> tungekimbilia kwao kwa kuuza pungufu sana bila riba lakini si hivyo.
>>>> Pamoja kuwa hupanda wakati wa sikukuu za kikisto lakini mara juu zaidi
>>>> 'mwezi mtukufu huu tulionao sasa' Why wanaibia watu, hawamjui Mungu?
>>>> Ninawakilisha Chamani. Samahani kwa maswali yangu.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>From: amour chamani <abachamani@gmail.com>
>>>>
>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>Sent: Saturday, 13 July 2013, 10:09
>>>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>>>
>>>>
>>>>Kiwasila,
>>>>Unapata tabu gani hata kutafuta kwenye mtandao ukaona namna hizo
>  benki
>>>>zinavyofanya kazi au
>>  siku moja ukakutana nao ukauliza maswali hayo?
>>>>unadhani unazihurumia lakini wao NBC inawafaa sana na sasa ipo KCB na
>>>>ile ya Wazanzibar wachilia benki kamili kama Amana.
>>>>Wewe ni msomi hebu pekua kidogo wala si tabu kabisa kuliko hayo
>>>>maelezo marefu na chuki za Ngupula(Mwenyezi Mungu atulide naye).
>>>>Hakuna haja ya mifano ya visima na
>>>  misikiti.
>>>>Lakini kumbuka wenzio sisi RIBA ni katika madhambi makubwa unataka
>>>>tuendelee kushindwa kukopa? Au na hili nalo ni Udini wa Kikwete.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>Walewale.
>>>>
>>>>On 7/13/13, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
>>>>>
>>>>> Wanayohaki kutoa mikopo
>  bila riba. ila, kwa bank za mtu binafsi au za
>>>>> Nchi
>>>>> kama TZ bila riba ninaona itakuwa utata.
>>  Watu wakihamia kwao kwa vile
>>>>> hakuna
>>>>> Riba bank nyingine zitakosa wateja. nao watakuwa na mzigo mkubwa wa
>>>>> watu
>>>>> ambao baadhi yao ni vibaka. Anakopa, halipi ipasavyo halafu anayekuja
>>>>> kudaiwa mkopo na kuporwa mali eti ni yule mdhamini mpoaka tukaona ktk
>>>>> TV
>>>>> mama amepanda juu ya paa. wale wa kufirisi mali wamejaa ndani ya
>>>>> nyumba.
>>>>> Utafirisi wangapi?
>>>>>
>>>>> Kuna watu wana vichwa hewa. Katika mradi mmoja wa kuboresha miundo
>>>>> mbinu
>>>>> DSM
>>>>> walianzisha SACCOS kusaidia
>>>  wafanya biashara ndogo ndogo. wadhamini wako ni
>>>>> kundi
>  lako la watu 5 ambao ni wanachama wa SACCOS hiyo. Kweli marudisho
>>>>> yalikuwa mazuri sana sana kila jumamosi. biashara zao zikienda poa
>>>>> unaanzia
>>>>> 50 elfu mpaka unafika mamilioni. Lakini baadae kuna baadhi yao
>>  washiriki
>>>>> wakiwafanya wenzao wawe masikini kwa kulipa madeni yao na hapo ndio
>>>>> SACCOS
>>>>> inaishia. Kulikuwa na waliokopa, wakalewea hela au kununua vivalo,
>>>>> asimwambie partner wake. SACCOS inakuja kufirisi vitu, jamaa mama au
>>>>> baba
>>>>> anatoroka maana hawezi kuweka wazi kwa mke au mume kuwa alikopa maana
>>>>> hakuna
>>>>> alichofanyia. Anatoroka kimoja kuogopa aibu. Mke au mume anaachwa peke
>>>>> na
>>>>> familia. Kuna wale ambao hata akiporwa vitu haviuziki. Vigodoro
>>>>>
>  vimerambuka,
>>>>> vichafu, visufuria hoi labda nguo avaazo kiasi sofa hana ni viti
>>>>> havitotoa
>>>>> hela yoyote. wale wadhamini huwajibika kulipa hiyo cash au wafirisiwe
>>>>> vyao
>>>>>
>>>  pia. Leo wanalipa, kesho anatoroka mwanakikundi mwingine walie
>>> mdhamini.
>>>>>
>>  Impoverishment inakuwa kubwa hivyo ni sio SACCOS zote zinasaidia
>>>>> kutimiza
>>>>> malengo ya kuendeleza walio masikini ambao wanaishi bila malengo. Hata
>>>>> hivyo-baada ya kuboresha miundo mbinu ili wakae pasafi na kufanya
>>>>> biashara
>>>>> kwa usafi sokoni kwao na ktk viosk vyao-wameuza maeneo wamehamia
>>>>> kuchafu
>>>>> zaidi. Fika kwenye miradi hiyo kote DSM hadithi ndio hii. Wachache
>>>>> sana
>>>>> hufanya kweli inayotegemea. Mzunguko wa umasikini
>  hautotutoka bila kuwa
>>>>> na
>>>>> malengo ya kweli na endelevu.
>>>>>
>>>>> Kuna mikopo mitaani watu hukopesha hela na riba ni kubwa sana. Kule
>>>>> kwetu
>>>>> wanaita 'Ligongola' na ni ligongo hasa. Unakopa leo laki unalipa baada
>>>>> ya
>>>>> siku 5 au kumi 130,000. Mpango wa UPATU kupokezana hela watu
>>>>> wanaoelewana-wafanya biashara,
>>  petty traders, maofisini kupeana hela
>>>>> kila
>>>>> jumamosi au mwisho wa mwezi-mwingine
>>>  anasema ana dharura apewe yeye.
>>>>>
>>>>> Wengine akishakupokea yeye anatoroka/anajitoa na halipi tena kila siku
>>>>> anatoa sababu na kuunda chuki na wenzake. Hiyo ilikuwa informal credit
>>>>> association, ni rafiki yenu mnamfanyaje? Unataka huduma lakini
>  hutaki
>>>>> kuwajibika.
>>>>>
>>>>> Desturi hizi ndizo zinazofaa kubadilishwa bongo. Unaona
>>>>> utata-huukubali.
>>>>> wengine ndio hao wafanyao biashara barabarani amechukua mkopo bank au
>>>>> SACCOS, biashara inaporwa-anapata wazimu. Duka
>>>>> linaungua-anachanganyikiwa.
>>>>> Lakini ukipita kesho palipoungua jana-wamejenga vile vile, njia za
>>>>> zamani
>>>>> zilizobaki zimezibwa upya na moto ukiwaka tena ni balaa zaidi. Ni
>>  train
>>>>> ya
>>>>> vyumba mbanano kilometa za eneo la biashara. Ni nyumba mbanano na
>>>>> maghorofa
>>>>> hewa na nafasi hakuna-tunaganga njaa. Unapowaka-hakuna njia; likifika
>>>>> greda
>>>>> kubomoa-mahakamani kesi miaka kadhaa, kwenda na mapanga
>>>
>  kupambana.
>>>>>
>>>>> Hivi kitu gani kinawafanya wafanya biashara wa soko la mwenge pamoja
>>>>> na
>>>>> kuwa
>>>>> na umoja wao hawawezi kulijenga lile soko likawa la kisasa kwa
>>>>> kuchukua
>>>>> mkopo kutoka Islamic bank isiyo riba. Mvua ikinyesha inaharibu
>>>>> biashara
>>>>> zao,
>>>>> kunanyesha na wateja wanakimbia kunyeshewa, uchafu wa maozo ya maji ya
>>>>> kinyeshi hoteli na restaurant za maghorofa zimeunganisha sewer pipes
>>>>> zao
>>>>> mifereji ya wazi na pale kuna chamber ya sewer pipe inavuja
>>>>> daima.Wanapata
>>>>> faida,
>>  soko vitu bei ghali, lakini haniingii akilini-kwa nini
>>>>> wasilijenge
>>>>> soko la ghorofa pale wakawa na cold storage ya vifaa vyakula vyao na
>>>>> other
>>>>> perishable items zao. Watu
>  wakaingia restaurant ghorofa ya juu akanunua
>>>>> matunda yakaoshwa akajichana  matunda mchanganyiko etc.? Sato anatoka
>>>>> cold
>>>>> storage facility anachomwa unajichana unajiendea zako. Mbona tumelala
>>>>> ndugu
>>>>>
>>>  yangu?
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> ________________________________
>>>>>  From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
>>>>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>> Sent: Saturday, 13 July 2013,
>>  8:28
>>>>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic
>  bank?
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> Kama wanataka kusaidia waumini wao ni vema waanzishe taratibu kama za
>>>>> SACCOSS kwenye misikiti yao kuepusha maswali.
>>>>>
>>>>>
>>>>> ________________________________
>>>>>  From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
>>>>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>> Sent: Saturday, July 13, 2013 4:11 AM
>>>>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic
>>  bank?
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> Ni majuzi tu nilisoma gazetini tangazo la mradi fulani wa
>  maji
>>>>> unaohisaniwa
>>>>> na tajiri fulani. Nikatoa comment ya kilichoelewa kama mfumo wa miradi
>>>>> yake
>>>>> hiyo kwamba-wananchi watapata maji bure hakuna gharama yoyote (hakuna
>>>>> kuchangia chochote). Nikauliza-vipi operation and maintenance (O&M)
>>>>> kwani-ukisha kukijenga na kitatumika kama ni kisima cha pampu ya
>>>>> diseli,
>>>>> ya
>>>>> umeme ya upepo, ya kusukuma kwa mkono, maji ya bomba O&M itakuwepo
>>>>> lazima-nani atatengeneza daima vinapoharibika? Ndio ile ya-'serikali
>>>>> haitujali, haiji kututengenezea kwani mhisani katupa bure!! etc. Sera
>>>>> ya
>>>>> maji ina mfumo wa jumuiya za watumia maji na miongozo ya utendaji kazi
>>>>> wa
>>>>> jumuia hizo na
>>>
>>  kamati za maji.
>  Zilipozingatia-huwezi kuamini efficiency
>>>>> iliyopo ya hali ya juu, fedha na matengenezo, uwajibikaji. Pale
>>>>> walipotoa
>>>>> visima vya pampu bure kupitia mashirika ya dini yasiyotoza gharama (no
>>>>> riba
>>>>> au uchangiaji)-nenda ukaone visima hivyo vya pampu. Ninayo mapicha
>>>>> humu
>>>>> kibao sipendi kuchosha
>>>>>  watu. Baadhi ya vingi ya visima vilivyojengwa kwa msaada wa ujenzi wa
>>>>> misikiti hii ya rangi moja inayofanana kuanzia Dar hadi Mbeya vipo
>>>>> katika
>>>>> matatizo-sasa vingi vipo wazi wanachota kwa ndoo pampu haiko na
>>>>> uchafuzi
>>>>> ni
>>>>> mwingi. Vinafanana na ile miradi yetu ya nyumba ya kutoka maji bure
>>>>> bila
>>>>> kuwajibisha watumia maji. Ni hivyo itakavyokuwa kukitangaza mikopo
>  bila
>>>>> ya
>>>>> riba. Uarabuni wana mafuta na utajiri kutumia hela
>>  za mafuta hivyo kutoa
>>>>> huduma ya mikopo bank bila yariba huenda inawezekana kutokana na
>>>>> utajiri
>>>>> wao-wanatoa huduma kumcha Mungu.
>>>>> sasa
>>>  bank ya bongoland ambapo kuna watumishi kibao wanaougua na kutaka
>>>>> huduma, wanaokaa hadi usiku kuhesabu hela na kuzipanga na kuweka
>>>>> takwimu
>>>>> vema-wanahitaji posho na usafiri kurudi home late, umeme kukatika na
>>>>> kuwasha
>>>>> generator ili mashine za bank zitoe hela na kazi isisimame etc haya
>>>>>  yote ni gharama huwezi kuzifidia kwa kupandisha bei ya sabuni ya
>>>>> mbuni
>>>>> bali
>>>>> huenda kwa riba. Kama vile sera ya mtupa taka achangie gharama za
>>>>>
>  uzoaji
>>>>> taka; mtumia majo achangie gharama ya O&M kwa kulipia maji kidogo sio
>>>>> kumchangisha mradi unapoharibisha (preventive maintenance muhimu-hela
>>>>> iwepo). Bank bila
>>  riba-itafirisika maana wengine hukopa-hufa, hakuna cha
>>>>> kuwafirisi hana mali alikunywia viroba, kaongeza wake; muda wa mkopo
>>>>> unaweza
>>>>> kuzuia wengine wasikope. huenda riba inasaidia utoaji huduma na mambo
>>>>> mengine bora iwepo tu lakini isiwe kubwa sana ya unyonyaji. Eti
>>>  unakopa
>>>>> milioni 5 riba inakufanya ulipe milioni 8! haifai.
>>>>>
>>>>>
>>>>>  From: Enock Mlaponi <emlaponi@yahoo.com>
>>>>>
>>>>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>> Sent: Friday, 12 July 2013, 16:07
>>>>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic
>>  bank?
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> Bwana Ngupula kweli hilo hata mimi nimekuwa nikijiuliza sana na sasa
>>>>> nimeshaachachukuwa hatua za ujitoa NBC. Ndugu Yona nafikiri ungejibu
>>>>> swali
>>>>> lile la Ngupula ningekuona wa maana sana kuliko maelezo uliyotoa.
>>>>> Ngupula
>>>>> ameuliza hivi kama hakuna Riba "Mzigo wa gharama za uendeshaji account
>>>>> nani
>>>>> anaubeba???? la kama kuna watu wa NBC Humu kwenye jukwaa hili
>>>>> mtusaidie
>>>>>
>>>
>  kujibu!
>>>>>
>>>>>
>>>>> ________________________________
>>>>>  From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
>>>>> To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>> Sent: Friday, 12 July 2013,
>>  15:55
>>>>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> Hiyo ni kati ya bidhaa zinazotolewa na benki hiyo , kama wewe hupenda
>>>>> bidhaa
>>>>> hiyo huwezi kutumia na kwa kweli wana bidhaa nyingi sana , ni sawa na
>>>>> unapoenda gengeni kuna machungwa , pili pili , mayai , ndizi na
>>>>> vingine
>>>>> vingi utachague vile unavyopenda kutumia tu .
>>>>>
>>>>> Hongera
>  benki kwa kubuni bidhaa mbalimbali na kushindana katika soko la
>>>>> mabenki mpaka saa hizi .
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> 2013/7/12 Wilson Gwoma <gwomason@yahoo.co.uk>
>>>>>
>>>>> kama imaamriwa kuanzisha Islamic Banking ndani ya taasisi  ya Kitaifa
>>>>> Ushauri wangu wale ambao  hwakubaliani na mfumo huo kama
>>  mimi ambaye pia
>>>>> nilikuwa na akAunti ya NBC nimeamua kuacha ife na kuhamia NMB na CRDB
>>>>> ili
>>>>> tuone wafanyakazi wao watalipwa kwa hela za kutoka wapi? Labda hapo
>>>>> Waarbu
>>>>> wanamkona wao.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>From: john mahaba <mahabajo@yahoo.com>
>>>>>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>>Sent: Friday, 12 July 2013, 14:55
>>>>>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>uongozi wa kisiasa tulionao ndo unafacilitate
>>>  mifumo ya kibaguzi kama hii
>>>>>>uongozi shupavu hauwezi kuwagawa
>>  wananchi wake kiuupuuzi namana hii
>>>>>>wakiambiwa wanaleta udini wanaanza shutuma, kana kwamba watanzania
>>>>>>hatuna akili. ni oungozi upi katika historia ya nchi hii tuliwahi
>>>>>> kufikishwa
>  hapa.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>>>>>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>>Sent: Friday, July 12, 2013 2:47 PM
>>>>>>Subject: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>Kuna matangazo mengi sasa ya radioni yanayoonyesha kuwa kuna kitu
>>>>>>
>>  kinachoitwa Islamic Banking (account na ATM) katika Bank ya NBC.
>>>  Nafikiri
>>>>>> maana ya Islamic account na ATM ni mfumo ambao hauzingatii
>  utozaji
>>>>>> riba
>>>>>> kama imani ya kiislm inavyosema. Najiuliza maswali mengi,mfano,kama
>>>>>> NBC
>>>>>> wanaona hilo la kutotoza riba linafaa,ni mtanzania gani asiyependa
>>>>>> kupewa
>>>>>> huduma bure au kupata mikopo isiyo na riba?Na kama hilo linawezekana
>>>>>> si
>>>>>> waondoe riba na tozo kwa watu wote.Na kama haliwezekani,je mzigo wa
>>>>>> gharama za uendeshaji account nani anaubeba?. Binafsi kwa uelewa
>>>>>> wangu
>>>>>> huo
>>>>>> mdogo sifurahishwi na kitu kama hicho ndani ya Bank ya kitaifa kama
>>>>>> ya
>>>>>> NBC. Hizi taasisi zinazobeba watu wengi sidhani kama ni busara hata
>>>>>> kidogo
>>>>>> kuanza kuweka vitu ambavyo mwisho wa siku vitaishia kutugawa
>>  tu wa
>>>>>>
>  Tanzania. Nimeshawasikia si chini ya watu 10 ambao wamesema
>>>>>> wanachukizwa
>>>>>> na jambo hilo na wako tayari kufunga account zao NBC. Tunaomba maoni
>>>>>> kama
>>>>>> kuna mtu mwenye
>>>  uelewa
>>>>>  zaidi....na kama vipi tujue Bank hiyo ishaingiliwa na nini kifanyike.
>>>>> Godfrey Ngupula
>>>>>>
>>>>> --
>>>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>
>>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>> ukishatuma
>>>>>>
>>>>>>Disclaimer:
>>>>>>Everyone posting to this Forum
>  bears the sole responsibility for
>>  any
>>>>>> legal
>>>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>>> must
>>>>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>>>> you
>>>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>>>> Guidelines.
>>>>>>---
>>>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>> Groups
>>>>>> "Wanabidii"
>>>  group.
>>>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>>> an
>>>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>>For more options, visit
>>
>  https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>--
>>>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>
>>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>> ukishatuma
>>>>>>
>>>>>>Disclaimer:
>>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>> legal
>>>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>>> must
>>>>>> be presented responsibly. Your continued
>  membership
>>>  signifies that you
>>>>>> agree to this disclaimer and
>>  pledge to abide by our Rules and
>>>>>> Guidelines.
>>>>>>---
>>>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>> Groups
>>>>>> "Wanabidii" group.
>>>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>>> an
>>>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>--
>>>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>
>>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>>
>>>  ukishatuma
>>>>>>
>>>>>>Disclaimer:
>>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>> legal
>>>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>>> must
>>>>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>>>> you
>>>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>>>> Guidelines.
>>>>>>---
>>>>>>You received this message because you are
>  subscribed to the Google
>>>>>> Groups
>>>>>> "Wanabidii" group.
>>>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>>> an
>>>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>>For more options,
>>  visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> --
>>>>>
>>>>> Find Jobs in Africa Jobs in Africa
>>>>> International Job
>>>  Opportunities International Job Opportunities
>>>>> Jobs in Kenya Jobs in Uganda
>>>>>
>>>>> --
>>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>
>>>>>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>> Disclaimer:
>>>>> Everyone posting to
>>  this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal
>>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>> must
>>>>> be
>>>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>>> agree
>>>>> to
>>>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>> ---
>>>>> You received this message because you are subscribed
>  to the Google
>>>>> Groups
>>>>> "Wanabidii" group.
>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from
>>>  it, send an
>>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> --
>>>>> Send
>>  Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>
>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>>
>  Disclaimer:
>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal
>>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>> must
>>>>> be
>>>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>>> agree
>>>>> to
>>>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>> ---
>>>>> You received this
>>>  message because you are subscribed to the Google Groups
>>>>> "Wanabidii" group.
>>>>> To
>>  unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>> an
>>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>> For more options, visit
>  https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> --
>>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>
>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>> Disclaimer:
>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal
>>>>> consequences of his or her postings, and hence
>>  statements and facts must
>>>>> be
>>>>> presented responsibly. Your continued
>>>  membership signifies that you agree
>  to
>>>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>> ---
>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups
>>>>> "Wanabidii" group.
>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>> an
>>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> --
>>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>
>>>>> Kujiondoa
>>  Tuma Email kwenda
>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>> Disclaimer:
>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole
>>>  responsibility for any legal
>>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>> must
>>>>> be
>>>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>>> agree
>>>>> to
>>>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>> ---
>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups
>>>>> "Wanabidii" group.
>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>>
>  an
>>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>
>>>>> --
>>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>
>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>> Disclaimer:
>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal
>>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>> must
>>>>> be
>>>>>
>  presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>>> agree
>>>>> to
>>>>> this disclaimer and pledge to
>>  abide by our Rules and Guidelines.
>>>>> ---
>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups
>>>>> "Wanabidii" group.
>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>> an
>>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>
>>>>--
>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>
>>  ukishatuma
>>>>
>>>>Disclaimer:
>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal
>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>> must
>>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>>---
>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving
>  emails from it, send an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>> --
>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>>Kujiondoa Tuma Email
>>  kwenda
>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>>Disclaimer:
>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal
>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>> must
>>>> be presented responsibly. Your
>  continued membership signifies that you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>>---
>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>For more options, visit
>>  https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>>
>  ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree
>>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are
>>  subscribed to the Google Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit
>  https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>  Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>  from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message
>  because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>>
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued
>  membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>>
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole
>  responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

No comments:

Post a Comment