Nilimaanisha kusema mahali ninaishi waislamu ni majority......
On Jul 18, 2013 12:03 PM, "denis Matanda" <denis.matanda@gmail.com> wrote:
-- Mimi ninaishi hapana shaka yoyote kuwa waislam ni majority. Pia sisi kina matanda waislamu ni wengi zaidi ya sisi wakristu.
Ninajua kuwa hayo ndo malakamiko ya ndugu zetu waislamu lakini haiuondoi wajibu wangu wa kuelimisha pale ninapoona upotoshaji........
On Jul 18, 2013 9:00 AM, "Laurean Rugambwa" <rugambwa@hotmail.com> wrote:Denis/Reuben;
Mawazo ya Chamani ni mawazo na mtizamo wa walio wengi na wenye mawazo na maono kama yake. Hili Ni kundi kubwa linaloamini kuwa wao wamenyimwa fursa kwa sababu ya kundi la wakristo.
Tofauti na wengine Chamani ana ujasiri wa kusema, tena wazi wazi bila kuficha tumpe hiyo sifa ya ujasiri. Na mimi huyu Bwana ni ndugu yangu wa Karagwe kama sekosei na kule kwetu Karagwe sisi na waislamu tunaishi kama ndugu, yeye anajua hilo.
Fanya utafiti na ongea na mtu au ndugu au rafiki hata mfanyakazi mwenzio asiye mnafiki wa dini ya kiislamu in private atakueleza hivo hivo kama anavyowaza na kusema Bwana Chamani.
Baada ya hapo utaijadili hii hoja tofauti.
Siku njema
LR
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
-----Original Message-----
From: Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com>
Date: Thu, 18 Jul 2013 05:37:47
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
Kaka Denis;
You are right,nina wasiwasi na ngozi aliyovaa chamani.
Reuben
----------------
From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, July 18, 2013 4:06 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
LKK,
Una uhakika kuwa kalishwa? Isije ukawa unawatuhumu watengenezaji wenyewe kwa kulishwa!
Ni hilo angalizo tu.
On Jul 17, 2013 9:15 PM, "Lutgardk" <lutgardk@yahoo.com <> > wrote:
Amour,
Umelishwa sumu kali sana ya udini hadi unatia uchungu! Pole sana, ila tafadhali usipotoshe ukweli na kudanganya wenzio! LKK
Sent from my iPad
On 17 Jul 2013, at 5:00 alasiri, amour chamani <abachamani@yahoo.com <> > wrote:
Fadhil,
Huo ni uzushi tu.
Hayo yanafanyika Tanzania hii kweli?
Nchi yenye amani na upendo na mshikamano tulio urithi kutoka kwa Mwenyeheri Nyerere?
Nchi yetu pendwa inayoongozwa na Mfumo Kristo na wafuasi wa Kikristo wenye huruma na mapenzi ya kweli kwa watu wote.
Wanaoihudumia jamii yote kwa kutupatia huduma ya elimu na afya kwa gharama ndogo huku wakipata msaada na ruzuku ya mabilioni toka serikalini ili waisaidie serikali hiyo hiyo?
Walioongoza nchi hii kwa miaka yote lakini leo lawama wanamtupia Kikwete?
Kama ni kweli basi pole lakini ni wangapi wanapata tabu hiyo?
Hebu fikiria kinatokea nini kwenye usaili wakazi,mitihani ya mahojiano kama wafanyavyo madaktari?
Mungu ndiye ajuaye.Atulinde na akina Ngupula.
Walewale.
----------------
From: fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com <> >
To: wanabidii@googlegroups.com <>
Sent: Wednesday, July 17, 2013 4:50 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
NDUGU mngonge
kweli kabisa tatizo la udini limekuwa kubwa sana katika jamii,
binafsi ni mwathirika mkubwa wa jambo hili, nimeshawahi kufanya kazi,
karibia sehemu nne na kuacha mwenyewe kutokana na tatizo hilo, sehemu
mojawapo ilikuwa katk media fulani inayochapisha gazeti la kingereza
la kila wiki.
Nilikumbana na tatizo hilo ambapo asilimia kubwa wa wafanyakazi
wenzangu walikuwa wakiniangalia kwa macho manne manne kwa kuwa ikifika
muda wa swala natoka na kwenda kuswali, then tulikuwa na postmotam
kila j3 j5 na alhamis, huwezi amini asilimia kubwa kulikuwa na
ushabiki wa kidini tu, na mi pekee yangu ndio nilikuwa na dini
tofauti. tena wakati wenyewe ulikuwa wa uchaguzi mkuu wa 2005,
hali ikawa mbaya zaidi. baada ya uchaguzi hali ilikuwa tofauti na
walivyatarajaia ndio kidogo ikawa hali tofauti pale ofisi baada ya
mhe. rais kutangaza waziwazi kuwa uchaguzi mkuu ulitawalia na udini.
baada ya hapo nikaingia katkia field tofauti na hapo, nilipokwenda
napo nikatkutana na tatizo kama hilo katka derpartment yangu, mkuu wa
idara aliniambia ni mara ya kwanza kwa mtu kama mimi kuingia katika
idara ile, kilichokuwa kinatokea ni kero na chuki binafsi kwa kuwa tu
ikifika muda wa swala nakwenda kuswali.
nikapewa majina mengi, alqaidah, al-shabab, hizbu-allah na kadhalika
kuna mmoja ndio aliniambia kabisa ananichukia kwa imani yangu, kuna
siku nilichachamaa na kutaka kumfikisha mkuu wangu wa idara na
supervisor kwa HRM deprtment ndio mambo yakapungua, kilichotokea hapo
ni kuandikiwa bad recomendation iliyosababisha kutoongezwa mshahara
now nipo likizo natarajia kuacha kazi yangu itakapoisha.
Hivyo nawaona hata hao wanaojadili NBC islamic bank ni wale wale
wanajadili kwa chuki binafsi mioyoni mwao ni si kweli kama wanavyotaka
tuwaone wanauchungu na kuitakia mema nchi yetu, Tuacheni chuki dhidi
ya dini fulani kwa maana vurugu za kidini hazina mshindi
On 7/16/13, Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk <> > wrote:
> Nafikiri,serikali hata ingekuwa na share ya 5%,mambo ambayo ni msingi kwa
> amani ya taifa inayo jukumu la kuyasimamia kama imeona ipo haja...Ngupula
>
>
>
> ________________________________
> From: mngonge <mngonge@gmail.com <> >
> To: wanabidii@googlegroups.com <>
> Sent: Tuesday, 16 July 2013, 9:24
> Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>
>
>
> Ndugu Fadhil
> Miaka ya nyuma hapakuwa na watu wengi waliokuwa wakiubebea udini bango kama
> ilivyo leo ambapo kila kitu kinatazamwa kwa jicho la udini. Leo mfanyakazi
> wa dini fulani akifanya makosa na kufukuzwa kazi na boss asiyekuwa wa dini
> yake atakwambia nimefukuzwa kwa sababu ya udini tu. Katika mjadala huu
> siungi mkono upande wowote kwa sababu ninachokiona ni harufu za udini udini
> tu. Siku hizi kila kitu ni biashara huria kama NBC inataka inafanya biashara
> na uislamu kibiashara hakuna tatizo. Tatizo linaweza kuwepo kama itataka
> umiliki wa shares zake zibadilike bila ridhaa ya wenye shares
>
>
>
>
> 2013/7/16 Laurean Rugambwa <rugambwa@hotmail.com <> >
>
>
>>
>>
>>Kaka Reuben,
>> Nakubaliana na wewe kuwa serikali lazima iingilie kati, ngoja niweke maoni
>> yangu kwa rangi ya blue kwenye e-mail yako hapo chini:
>>
>>
>>________________________________
>>Date: Mon, 15 Jul 2013 22:17:12 -0700
>>From: ipyana75@yahoo.com <>
>>
>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>To: wanabidii@googlegroups.com <>
>>
>>
>>
>>Comrade Rugambwa;
>>Sio kwa sababu serikali inahisa kidogo (minority shares) ndio haiwezi
>> kusimamia mambo kwa mustakabali wa amani ya inji na kuacha mambo yaende
>> kama hakuna serikali, huu sasa ndo unyonye ambao hatutaki utusumbue.
>>Ukishakubali kuuza kilicho chako huwezi kuwa na sauti, kama unataka sauti
>> usiuze! Ukishakuwa minority shareholder wewe unasubiri gawio tu, maamuzi
>> yanafanywa na majority shareholders ndo wanachagua au kuteua Mtendaji Mkuu
>> (CEO) ni utaratibu wa sheria za biashara. Ni kweli Serikali ina hisa kubwa
>> lakini sio kubwa kama za wawekezaji; kampuni ya Afrika ya Kusini
>> iitwayo African banking group Absa Group Limited ndio wana hisa kubwa ya
>> NBC (1997) Limited 55%, wakati serikali ina 30% tu, International Finance
>> Corporation 15%
>>
>>
>>Kumbuka kuna kitu kinaitwa 'Free market economy' ambacho bado ni nadharia
>> tu kama ulivyo 'ujamaa',vitu hivi haviwezi kutokea kikamilifu katika dunia
>> kwa kuwa some of their operational principles hazitekelezeki, kwa mfano
>> ukizungumzia free mkt lazima kila kitu bei yake ipangwe na soko kulingana
>> na ushindani unaojitokeza e.g. usalama,afya,elimu n.k. sasa inawezekana??
>> sikubaliana na wewe kuwa free economy ni nadharia sio kweli, benki
>> zinafanya biashara na riba inatengemea na soko.. haya uliyoyataja hapo
>> kama usalama, afya, elimu nk.. ukiondoka elimu ya juu serikali haiwezi
>> kubinafsisha vitu hivyo, hivyo ndo vinapaswa kubaki ndani ya
>> serikali..Unajua tusiingie kwenye ubepari na kuvaa miwani ya kijamaa.
>> Mimi sio mpenzi wa ubepari, naamimi kabisa ni unyama kama alivyosema Mwl.
>> Nyerere. Ila ninapata shida kwa watu wanauza vitu vya umma halafu wanataka
>> walouziwa wasifanye biashara watoe huduma, hiyo haiwezekani! Na kwa
>> muktadha wa mada, kama NBC
> wanadhani kuweka dirisha la islamic banking litaleta faida, so be it..
> sioni tatizo, huwezi wazuia, huna mamlaka wewe kama serikali wewe kibiashara
> ni sawa na mwanahisa yoyote, kama tunafata utawala wa sheria na kuheshimu
> mikataba yetu, unakumbuka wanasiasa baada ya Air Tanzania kuuzwa wao
> walikuwa wanapigania eti kwanini tiketi zinakatwa na kuchapishwa Afrika ya
> kusini? Haaa sasa wafanyeje? si benki yao? na NBC wale wazee wanasema MD ni
> kujana wa miaka 28, kumbe sio ndio mwenye mali!!! mana sisi malofa tutakufa
> wote ndani ya wiki tu.Hatufi, ila cha moto tutakiona. tunapaswa kuibana
> serikali yetu kwa ajili yetu ilinde maslahi ya wanyonge.
>>Hivyo lazima kuwe na 'invisible hand' ambayo ni serikali kuweza kufanya
>> mambo yaende kwa watu wake wote,ivo bana Rugambwa kusema serikali haina
>> kauli sababu ya shares kdg inayomiliki pale sio sahihi. Kaka ukipenda kuwa
>> na invisible hand ya serikali sio sahihi, huo sio uwazi na utawala bora,
>> NB ni sawa na ilivyo Stanbic au Standard Chartered as far as doing
>> business is concerned. Yule ex-MD- Mafuru aliwekwa pale kwa malengo na
>> waalipomaliza kumtumia unajua kilichompata, hawa ni makaburu tu, kosa letu
>> ni kuwauzia vilivyo vyetu, hawa sio watu wema, nawajua sana nimeishi
>> Afrika ya kusini muda mwingi tu na kuwaona wanavyowaona watu weusi!!! sasa
>> ujadili kwanini tuliuza vilivyo vyetu, Mh. Mkapa hajawahi kuomba msamaha
>> kwa kuuza mali za umma KIHOLELA NA KUSUJUDU UTANDAWAZI KWA KUWAUMIZA
>> WATANZANIA!!!
>>
>>
>>Reuben
>>
>>
>>
>>
>>>________________________________
>>> From: Laurean Rugambwa <rugambwa@hotmail.com <> >
>>>To: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk <> >; "wanabidii@googlegroups.com <> "
>>> <wanabidii@googlegroups.com <> >
>>>Sent: Tuesday, July 16, 2013 7:06 AM
>>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>>
>>>
>>>Ngupula:
>>>Napenda nikusahihishe NBC sio benki ya taifa, ni jina tu,usidanganywe kwa
>>> Kuwa inaitwa benki ya taifa ya biashara. Hivyo Serikali ina hisa na haina
>>> uamuzi
> maana wao sio wanahisa wakubwa.
>>>
>>>Kwahiyo suala la kuanzisha Islamic banking sio la Serikali; Ni la
>>> kibiashara zaidi.
>>>
>>>Kumbuka Kuwa Serikali ya Mkapa iliuza haya mashirika ya umma, kwahiyo
>>> chonde chonde kusema. NBC Ni ya watanzania!!
>>>
>>>Ni hilo tu kila la heri,
>>>LR
>>>
>>>Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>>>
>>>-----Original Message-----
>>>From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk <> >
>>>Date: Mon, 15 Jul 2013 11:18:56
>>>To: <wanabidii@googlegroups.com <> >
>>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>>
>>>
>>>
>>>Duh,bwana Chamani huoni tatizo NBC ikiwa ya kiislam..kumbe kweli
>>> tumetofautiana...kama naelewa vizuri,sidhani kwamba watanzania wanawazuia
>>> watu wengine wasiabudu Mungu wao kama ulivyosema,lakini tunachokataa na
>>> tutaendelea kukataa siku zote,ni ibada yako
> isimbugudhi mwingine asiyeiamini. Hatujakaa mahakama ya kadhi
> Tanzania,tulichokataa mahakama ya kadhi kuingizwa kwenye mfumo wa serikali
> na serikali ni ya wote na mahakama ya kadhi ni ywa waislam.. NBC ni ya
> taifa, kamwe haiwezi kuwa ya kiislam wala ya kikristo.
>>>
>>>
>>>Napenda watu wajue kuwa wakristo wamekatazwa na Mungu wao kutoza
>>> riba,kuacha kukopesha na kukopesha kwa riba. Na hili lilifanyika miaka
>>> 500 mapema kabla mtume Muhamadi hajawahusia waislam kuto toza riba. Kama
>>> taasisi za kiserikali kama NBC wanatamani kuendesha mifumo yao kwa
>>> kuangalia matakwa ya wateja wao,nawashauri mara moja waanzishe na dirisha
>>> la wakristo kwa kadri ya matakwa ya dini yao. Ukimya wao sio kana kwamba
>>> wao hawana dini,na labda dini yao haisemi chochote kuhusu mambo hayo,bali
>>> ni busara yao kujua kuwa "ya Kaisari mpatie kaisari na ya Mungu mpatie
>>> Mungu". NBC katika hili mnachemsha n --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com <>
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <> .
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out <> .
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out <> .
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment