Thursday, 18 July 2013

Re: [wanabidii] NAFASI YA KAZI

Pole sana ndugu! Kupata kazi Bongo ni sawa na pata potea, maana ushindani uliopo ni mkubwa sana. Kwa miaka mitatu mfululilozo, inasemekana, serikali ambayo ndiye mwajiri mkuu, imepunguza ajira kwa asilimia takribani 150% kwa hiyo, unaweza ukajionea mwenyewe, ushindani uliopo. Cha msingi, usikate tamaa.

Hata hivyo, ushauri wangu ni huu, kwa vile inaonekana sehemu kubwa ya elimu yako umeipata nnje ya nnchi, ni vyema ukachukua vyeti vyako, ukavipeleka kwenye tume ya usimamizi wa vyuo vikuu Tanzania, yaani TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES (TCU), kwa ajili ya kuthibitisha masomo na chuo ulichosoma. Wakiridhia, watakupa barua, ambayo inakubidi kila unapoomba kazi, nakala ya barua hii ya TCU ya kukubali na kuthibitisha elimu/ujuzi wako kuwa halali, unapaswa uwe unaiambatanisha na barua yako na/au vyeti vyako maana waajiri wengi wanaogopa "Degree Mills/ au Degree fake."

Kisha, peleka CV yako, SEKRETARIENT YA AJIRA, au ingia kwenye mtandao wao www.utumishi.org.tz jisajili, au uwe unatembelea mtandao huu mara kwa mara huwa wanatoa matangazo ya kazi kila mwezi. Peleka vyeti vyako pia kwa Tume ya Ajira na Utumishi wa Umma (TAESA), Ofisi zao zipo, mkabala/opposite na kituo cha mabasi cha Akiba, barabara ya Bibi Titi
Mohammed, au pembeni ya Jengo la PPF lililopo mkabala na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE). Mimi ni mmojawapo wa watu niliopata ajira kupitia kituo hiki, na kabla ya kupata kazi niliyoko leo 2004, kituo kilinipeleka sehemu mbalimbali kwa interview zisizopungua tatu, ya nne, ndio nikapata sehemu niliyoko leo. Kama ilivyokwako, ndivyo ilivyokuwa kwangu, nilikuwa nimeandika barua za kutafuta kazi zisizopungua mia moja, na tatizo kwa vigezo vya wakati huo, nilikuwa 'slightly overqualified', tatizo ambalo linaweza likawa linakusibu wewe bila ya kujijua. Jaribu sehemu zote hizi mbili, Utumishi (Magogoni) na TAESA, lazima utapata, ila inabidi uwe na subira, na chochote utakachokipata, usijali, kifanye, maana kwa hali uliyonayo, unachohitaji ni kuondokana na ombwe la kutokupata kazi, then mengine, utayatatua baadaye.

Siku njema,

Fratern Kilasara.

On Thu, Jul 4, 2013 at 3:34 PM, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Naomba CV yako niitazame naweza kukushauri zaidi na kukubadilishia baadhi ya vitu kwa ajili ya kazi unayotaka kuomba ndugu .

On Thu, Jul 4, 2013 at 3:30 PM, Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> wrote:

Kaza moyo mambo ya kazi ndo yalivyo. Kuna mtu aliwahi kufanya applications 99 ya 100 ndo akapata. Please beware of overqualification as well maana umefikia hali ys kusema upewe kazi yoyote.
Vin

On 4 Jul 2013 12:12, "Benedict Kimbache" <benekimbache@msn.com> wrote:
Dear all,
NB. I am serious and therefore, I am  not expecting any form of jokes, discourtesy or ruddiness.

Would any of you pls show me where  there are employment doors(Do you have any job for me? can you use your connection and influence to get me employed somewhere?).

Been trucking down for jobs (ALMOST FOR 7/12, now) by applying to different posts but all in vain with no solid results, despite of meeting qualification and sometimes even exceeding. So far over 50 application was sent, its inauspicious hamna hata employer mmoja aliyeniita angalau kuhudhuria Interview.

I am holding 
  • Diploma in Clinical Medicine(C.O)
  • Bachelor Degree in Business Management (Hons) University of Sunderland in UK
  • Master of Business Administration (MBA) University of Sunderland in UK - Ongoing on final bit of my Dissertation to be submitted end of Aug 2013)
I can do anything i.e Managerial posts in health program/Project etc, Human Resources, Marketing, Business Development post , Quality Management post, and many more to name but a few.

Should you need my CV do not hesitate to contact me, I can be reached kama nilivyoandika mawasiliano yangu hapa Chini.

Mobile:            +255(0)685165881 OR +255(0)712136355
Skype name:   kimbache1

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Uganda 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
-----------------------
Fratern Kilasara
,

P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
Dar es Salaam - Tanzania.
Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4 Ext No. 239; Fax: +255 (0)22 2775591
Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
No comments:

Post a Comment