Tufanye tu mabaya-tunajiangamiza wenyewe. Halafu ndani ya daladala au penye umma, unamuona au kumsikia mtu anamtukana mwenzake tusi la mama. akina mama, baba, watoto wamo naye ni mtu mzima huyo atukanae. Haoni kibanzi chake kwa makosa afanyayo. Anacho chake yeye lakini hakitaji ktk kutukana. Watu tunakaa kinya tu anatukana unaogopa ukimsemesha atakutia kisu akuumize au kukuua. Mama ndiye aliyebemba uja uzito miezi tisa au zaidi, akamlea kwa tabu zote hata kama baba alihamia kwingine aking'ang'ana na mwanae. Ndio mama huyo anayetukanwa.
Sio tu tunalea maovu-tunafuga kwa kuogopana.
Mnaona mtaani mwenzenu ana biashara na uwezo lakini anaunganisha mambomba taka ktk mfereji wa wazi. maji hunuka kutwa kucha. Mnaona kila mmoja anabananisha kuta anaziba njia kuweka biashara. Moto ukiwaka hakuna pa kupita kuuzima. Ukisha kuharibu moto na kuzimwa kwa mbinu zote tumika-tunarudi kuziba tena kuliko kwanza tumesahau. Uwanja wa kucheza watoto-anaweka garage au welding workshop. Mtaa wote mnamwangalia-Kimya kutokana na kuogopana kutiliana visasi vya kukomoana kufikia kuuana. Mwenye nguvu-mpishe.
Vijana wanacheza pool table kuanzia saa moja asubuhi hadi saa sita usiku; bar nje ya nyumba kelele ya music kutwa hadi kucha 2pm. Mtoto wa kuishi tumboni ktk mazingira ya kelele na kukua ktk kelele na vurugu huwa mtukutu, mkaidi mwenye vurugu. Tunayaangalia maana chukueni sheria muipate. Polisi akiambiwa siri asikutaje atakutaja tu si anataka vijisent?
Mabomba ya kusafirisha gas yanapitishwa na lori kwenda itakiwako-vunja vioo,piga dreva na wasaidizi wake. Lakini hao wapigao lori mawe-wanatumia maji kutoka mbali na umeme kutoka mbali sana sana. Hii hawaioni. Wanaharibu miundo mbinu ya gharama, wanajiathiri wao na jirani zao. Huwezi kuweka viwanda vyote Mtwara Lindi. Miji ya viwanda ni Dar, Moro, Tanga, Mbeya Tugawane umasikini na miji hiyo tayari iliwekezwa viwanda inatakiwa viboreshwe. Tu vipofu na viziwi ubinafsi tu, majungu na ushirikina mbele.
Hii ndio bongoland.
From: Ally Ahmed <aahmeda50@hotmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 19 July 2013, 10:31
Subject: [wanabidii] Mabaya haya ni yetu sote

Salaam kwa wote!
Maadili yanafundishwa kwenye dini na hata mashuleni.Maadili haya haya yakipotoshwa au yasipofatwa ndio huleta uharibifu wa watoto mpaka watu wazima maofisini.
Maadili mazuri yanaanzia kwako,kwa jirani,mtaani na hadi kazini.Mambo mengine huwa tunalaumu watu Fulani au dini Fulani bila kujilaumu wenyewe kwanza na kuangalia je mimi Nina maadili.
Utakuta Kuna vijana hawaendi shule na wewe unawajua kwakuwa wanashinda mtaani kwako wakicheza kamali lakini wewe unanyamaza eti kwakuwa sio wa kwako hayo sio maadili mazuri na ndio inapelekea kulaumu walimu wakati wewe uwezo unao wa hata kuwafukuza tuu na kuwaambia waende shule.
Maadili mema ni kuwa na mfumo mwema wa maisha unaweza kuruhusu kukataza mambo yanayoathiri jamii na sio kutugemea watu fulani.
Dereva wa daladala anatukana ovyo wakati ndani ya daladala mmekaa watu wa rika tofauti kwanini wewe usikemee na kukaa na kuangalia tuu.
Mambo mengi yanatokea katika jamii yetu na sisi tukiyashuhudia na bila kuchukua hatu yoyote ambayo ipo ndani ya uwezo Wako.
Tubadilike basi na si kukaa kimya tuu bali tukemee na kukaakulaumu serikali wakati uwezo tunao wa kurebisha matatizo katika jamii yetu.
Wazungu wanamsemo wao wanasema "mabadiliko ni wewe,mabadiliko ni sisi".
Basi tuwe waafrika ambao tunaamini watoto hulelewa na jamii nazi na mzazi pekee yk au mwalimu tuu.
Sio mwandishi mzuri lakini najitahidi kusema ninayo yaona mimi,kama nimekosea tusameane.
Sent from my Windows Phone

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment