Thursday, 11 July 2013

Re: [wanabidii] Hili Ndilo Gari Mandela Alimkuta Nalo Nyerere Pale Msasani...!

Mbona hamna picture ya holo gari umetuma msg tupu.

Alex meena
Operations Diamond Shipping Services Ltd.
Mobile,+255 655 659292
             +255 782 500900.

On Jul 11, 2013 10:41 AM, "Saleh Abdulla" <saleh100888@gmail.com> wrote:
Mbona hakuna picha yoyote?

On 7/10/13, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
> Ndugu zangu,
>
> Leo mchana niliingia na kulikuta gari hilo pale nyumba ya Makumbusho Dar.
> Itakumbukwa, kuwa Mandela alifika kwa Julius Nyerere Msasani mwaka 1962.
> Alishangazwa sana kumwona Rais wa nchi anaendesha mwenyewe gari ya kawaida
> kabisa aina ya Austin( Pichani).
>
> Utotoni kila sikukuu tulikuwa na mazoea ya
>
> kwenda Makumbusho, Magogoni na tulihitimisha kwa kupanda pantoni kwenda
> ng'ambo ya pili ya bahari; Kigamboni. Hapo ndio siku kuu imekamilika.
>
> Nilipenda sana kuingia Makumbusho ya Taifa. Moja ya sehemu niliyoipenda
> sana ni kuangalia picha za kumbukumbu ya Dar es Salaam tangu ikiitwa
> Mzizima. Picha hizo sasa hazipo.
>
> Lakini, nilipenda pia kuangalia magari yaliyotumika na viongozi zamani.
> Nakumbuka miaka hiyo niliiona Austin hiyo ya Nyerere pichani kuwa bado
> ilikuwa gari ya maana sana, tena kubwa!
>
> Leo najiuliza, hivi Julius Nyerere, mkewe na watoto walitosha kweli kwenye
> kigari hicho, au labda walipakatana!
>
> Naam, historia ni mwalimu mzuri.
>
> Maggid,
>
> http://mjengwablog.com
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Mr. Saleh A. S.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

No comments:

Post a Comment