Wednesday, 10 July 2013

Re: [wanabidii] CHADEMA NA MAFUNZO YA KUJIHAMI KWA WANACHAMA WAKE

Wengine kina nani wanavyo una ona ugumu gani kuwataja wajulikane na hata hao maofisa wa majeshi wanaotoa hayo mafunzo ?

Hivi unajua maana ya mafunzo yanayoongelewa hapa ? 

On Wednesday, July 10, 2013 3:01:23 PM UTC+3, Reginald Miruko wrote:
Bora hao waliosema. Wengine hawajasema hadharani, vikundi hivyo wanavyo, vinafundishwa na maofisa wa majeshi ambayo ni rasmi, na hawajakamatwa.

RSM

2013/7/10 Yona F Maro <oldm...@gmail.com>
Ndugu zangu

Nimesoma sehemu fulani kwamba CHADEMA wana mpango wa kuanza kutoa mafunzo kwa wanachama wake ili waweze kujihami na sasa wamechoka kuonewa .

Kwangu mimi hii sio iashara nzuri haswa inapotamkwa na kiongozi wa juu wa chama hicho ambaye anajua kabisa kazi ya kulinda wananchi na mali zao ni ya jeshi la polisi na sio makundi yoyote yanayoamua kujichukulia sheria mkononi .

Taratibu CHADEMA na viongozi wenu , sasa hivi mnahitaji busara zaidi na uvumilivu kama kweli mnataka kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani nchini .

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
No comments:

Post a Comment