Mfano wa Mafunzo ya Ukakamavu ni kama huu kwenye picha

Chanzo: https://www.facebook.com/photo.php?fbid=306073476195948&set=gm.497796766957748&type=1&permPage=1

2013/7/11 Didas Clemence <didasclemence@yahoo.com>
Ustawi wa Taifa ni muhimu kuliko kitu kingine Chochote, na kwa sasa CCM wamepewa na wana dhamana ya kulinda ustawi huo kupitia Serikali wanayoiongoza wao. Hata hivyo wanatakiwa kuzingatia uwepo wa vyama vingi vinavyoihitaji fursa hiyo pia; kitu chochote cha hatari watakachokifanya ni kuharibu ustawi kama kwa sasa walivyo na GREEN GUARDS ambalo shuhuda nyingi zimeonesha kuwa kundi hili linafanya kazi za Serikali kwa maana ya Polisi.Ndio maana wakati mwingine matukio mengine ya KINYAMA yamekuwa yakifanywa na kutekelezwa na GREEN GUARD chini ya maelekezo ya viongozi wa CCM na kuonekana Polisi wamefanya.Sasa kinachofanywa na CHADEMA kinaonekana na kitaonekana ni sawa kwa sababu CCM ni Chama cha Siasa kama tu CHADEMA, sasa kwa nini wao wawe na Ulinzi kwa viongozi wao afu CHADEMA wasiwe nao. NI HAKI KWA CHADEMA KUWA NA RED BRIGADE na wapatiwe mafunze ya kujilinda na kulinda viongozi wao.Nakumbuka katika Uchaguzi wa juzijuzi tu kule Mbeya walikamatwa vijana wa GREEN GUARDS na Kamanda wa Polisi akawatetea eti wanafanya mazoezi ya kujihami. Hichi ndicho pia CHADEMA wanataka kufanya, waache wafanye - Kosa itakuwa ni pale watakapoanisha vurugu na kutumia hayo mazoezi yao kama wafanyavyo GREEN GUARD wa CCM.CCM na POLISI wasiweweseke, haki ya Kisiasa ni sawa kwa vyama vyote. La sivyo wajiandae kwa mabadiliko
From: Gottifried Mutembei <mutembeigottifried@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, July 11, 2013 12:23 AM
Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA NA MAFUNZO YA KUJIHAMI KWA WANACHAMA WAKE
--Tunaangalia tulipo anguka na Kusahau tulipo jikwaa, Uchaguzi wa Igunga tuliona vifo vya aibu kwa watanzania wenzetu, Wengine tuliamini tungepata wabunge Wazalendo wa Kupeleka mswada Bungeni wa Marekebisho ya vyama vya siasa.Ili vyama vifute haya majeshi bubu yanayotumika kuwatesa watanzania. Ni mwaka 1961 wazee wetu walitutoa huko, ni wajibu wetu kukataa upuuzi unaoratibiwa na CCM ya sasa.2010 pale Korogwe tulishududia Magari ya Vijana wenye shari wa CCM na Viongozi wao, wakidhubutu kufanyia fujo wana wa nchi hii pale walipojitokeza kusikiliza sera za CHADEMA. siungi mkono CHADEMA Kutoa mafunzo ya kijeshi kwa vijana kama kweli jeshi la polisi lingekuwa linafanya kulinda maslai ya Taifa letu. Ukweli unaonyesha Jeshi la polisi wanaegemea upande wa CCM. kama tunaendelea hivi kwa mfumo huu wa jeshi la polisi tunakuwa tunaangamiza taila letu wenyewe. Tujioji waliompiga mbunge kule monduli kashikwa nani, unyama kwa wafuasi CHADEMA nani anafaidika na hayo?, unaendelea mpaka lini?, Nani anafuata?, Kuwa mfuasi wa Chama cha Upinzani sio kosa la jinai, tunataka nchi ambayo mtu anaweza kwenda kifua mbele na Kusema mimi ni mwana CCM au CHADEMA bila bughutha na yoyote. CCM ndio wametoa somo kwa vyama vingine kwamba kuwa na vikundi vya wahuni vinalipaka Kisiasa sasa na wengine wamejifunza kwao!. Suluhu ya haya ni kutunga sheria ya kuvilazimisha vyama vyote kutegemea jeshi la polisi na polisi watekeleze majukumu yao ya Kikatiba bila kuegemea upande wowote. Watakao kiuka tusiwaone haibu tuwashitaki kwa usaliti wao kwa nchi yetu.Nani anapenda kuzika vijana wabichi au watoto?, eti tunalinda CCM kutawala huu ni utumwa Maro! Tufanye nini wengine tuko nje ya Bunge?, Bila shaka ni kusimama na yule anayeonewa.
Waacheni basi, CCM watafute hoja na CHADEMA vile vile za kushindana, Tukifanya vile tutakuwa tunaheshimu utu wetu. Bila hivyo hata mimi niko Tayari kujiunga na mafunzo hayo. Nimejipanga Tayari!!!. Tufanye nini wengine jibu ni laisi tunasimama na yule anayeonewa. Hatufanyi hivyo kwa sasabu chadema wamefanya vizuri sana. Tutafanya kulinda heshima ya Taifa letu, utu wetu, udugu wetu, historia yake na Misingi yake. Hatuwezi kuendelea kuwalegezea sura wavuta bangi chini ya chama Tawala kupoteza uhai wa Ndugu zetu. Kama tunataka kuhishi kama ndugu hacheni upuuzi huu.Cha ajabu huyo kijana anayedai kumwagiwa Tindikali anaweza kuwa anatembea na Yuda wake mbele za watu. Vikundi vilisahkua active siku nyingi labda kama uishi TZ. Kinachotusaidia ni upendo wetu. Sehemu kama Arusha nina imani ingekuwa shida kwa wana CCM kutembea hata mitaani lakini utashangaa huku Mitaani watu wanapendana sana, labda kusigana kwenye mbinu zao za kupata kura. Swali je ni nani anayeratibu vifo vya ovyo, katili, vya aibu Kwa watanzania? Tuko tayari kulinda nchi yetu,Daima tutasimama na yule anayepuuzwa na anayezongwa. Upo maro?
From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, July 10, 2013 3:22 PM
Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA NA MAFUNZO YA KUJIHAMI KWA WANACHAMA WAKE
Msituharibie nchi kwa maslahi yenu ya kisiasa tu , wengine mnaunga mkono labda kwa sababu hamna cha kupoteza nchi hii itakavyoingia katika umwagaji mkubwa wa damu pindi vikundi hivi vitakavyokuwa active haswa kwenye chaguzi na wakati mwingine wowote .--
On Wednesday, July 10, 2013 3:16:38 PM UTC+3, Reginald Miruko wrote:Mtoi kakutajia wamojawapo
RSMOn 10 July 2013 15:10, Yona F Maro <oldm...@gmail.com> wrote:Wengine kina nani wanavyo una ona ugumu gani kuwataja wajulikane na hata hao maofisa wa majeshi wanaotoa hayo mafunzo ?Hivi unajua maana ya mafunzo yanayoongelewa hapa ?
On Wednesday, July 10, 2013 3:01:23 PM UTC+3, Reginald Miruko wrote:Bora hao waliosema. Wengine hawajasema hadharani, vikundi hivyo wanavyo, vinafundishwa na maofisa wa majeshi ambayo ni rasmi, na hawajakamatwa.
RSM2013/7/10 Yona F Maro <oldm...@gmail.com>Ndugu zangu--Nimesoma sehemu fulani kwamba CHADEMA wana mpango wa kuanza kutoa mafunzo kwa wanachama wake ili waweze kujihami na sasa wamechoka kuonewa .Kwangu mimi hii sio iashara nzuri haswa inapotamkwa na kiongozi wa juu wa chama hicho ambaye anajua kabisa kazi ya kulinda wananchi na mali zao ni ya jeshi la polisi na sio makundi yoyote yanayoamua kujichukulia sheria mkononi .Taratibu CHADEMA na viongozi wenu , sasa hivi mnahitaji busara zaidi na uvumilivu kama kweli mnataka kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani nchini .
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaTo unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/ groups/opt_out.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--

Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

No comments:
Post a Comment