Mtoi,
Binafsi nafurahi sana kwa haya yanayowapata sasa.
Nadhani ni stahiki yenu hasa.Hiyo ndiyo maana ya chama kikuu cha upinzani(upinzani wa msimu).
CUF waliyapitia yote haya lakini waliishia wapi?
Ajabu wale waliokuwa wakiwatukana,wakiwalaumu nk hao hao ndiyo wanapiga kelele.
CUF walisema sana kuhusu jeshi la polisi sasa mnalijua.Walisemwa kuhusu Udini na viongozi wenu wakisema hivyo hivyo leo yamewageukia.
Waislam nao walisema kuhusu matumizi ya nguvu kupita kiasi na hata JWTZ leo mmeyajua ya Mtwara.
Mfumo wa haki mahakamani nililisema sana wakati wa Sheikh Ponda lakini mmelijua vema alipoingia Lwakatare.
Lilipolipuka bomu kwenye kanisa tulitegemea jeshi la polisi likamate magaidi mara moja lakini yale yale yalipotokea kwenye mkutano wa CHADEMA mmeruka mnataka tume ya majaji na hamna imani na jeshi la polisi? Ninyi hao hao?
Kwa hili la kuanzisha vikundi najua muadhama Kadinali Pengo atasema na mtaacha mara moja kama alivyosema wakati wa CUF.
Gangamara wanaume, sasa mnaanza kuelewa "sera" ya CUF ya JINO KWA JINO na bado sana.Mengine yanakuja.
Lakini poleni.
Walewale.
From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, July 10, 2013 3:22 PM
Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA NA MAFUNZO YA KUJIHAMI KWA WANACHAMA WAKE

Msituharibie nchi kwa maslahi yenu ya kisiasa tu , wengine mnaunga mkono labda kwa sababu hamna cha kupoteza nchi hii itakavyoingia katika umwagaji mkubwa wa damu pindi vikundi hivi vitakavyokuwa active haswa kwenye chaguzi na wakati mwingine wowote .
On Wednesday, July 10, 2013 3:16:38 PM UTC+3, Reginald Miruko wrote: --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
On Wednesday, July 10, 2013 3:16:38 PM UTC+3, Reginald Miruko wrote:
Mtoi kakutajia wamojawapoRSMOn 10 July 2013 15:10, Yona F Maro <oldm...@gmail.com> wrote:Wengine kina nani wanavyo una ona ugumu gani kuwataja wajulikane na hata hao maofisa wa majeshi wanaotoa hayo mafunzo ?Hivi unajua maana ya mafunzo yanayoongelewa hapa ?
On Wednesday, July 10, 2013 3:01:23 PM UTC+3, Reginald Miruko wrote:Bora hao waliosema. Wengine hawajasema hadharani, vikundi hivyo wanavyo, vinafundishwa na maofisa wa majeshi ambayo ni rasmi, na hawajakamatwa.
RSM2013/7/10 Yona F Maro <oldm...@gmail.com>Ndugu zangu--Nimesoma sehemu fulani kwamba CHADEMA wana mpango wa kuanza kutoa mafunzo kwa wanachama wake ili waweze kujihami na sasa wamechoka kuonewa .Kwangu mimi hii sio iashara nzuri haswa inapotamkwa na kiongozi wa juu wa chama hicho ambaye anajua kabisa kazi ya kulinda wananchi na mali zao ni ya jeshi la polisi na sio makundi yoyote yanayoamua kujichukulia sheria mkononi .Taratibu CHADEMA na viongozi wenu , sasa hivi mnahitaji busara zaidi na uvumilivu kama kweli mnataka kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani nchini .
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaTo unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/ groups/opt_out.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
No comments:
Post a Comment