Wednesday, 10 July 2013

Re: [wanabidii] CHADEMA NA MAFUNZO YA KUJIHAMI KWA WANACHAMA WAKE

Dr Kigwa naona hapo umemung'unya maneno na kupepesa macho, yaani nahisi kama kuna ukweli kwenye kauli au andishi lako kuwahusu green guard basi yamkini ni 20% tu. bila shaka umeona moja ya posting zinazoonesha picha ya hao vijana wako. Je unaweza kuelezea mhamasishaji wa chama anavaa military safety boot?? military belt? je hii si kweli kwamba inaashiria mafunzo maalumu ya ukakamalu maalumu?? mimi nilifundishwa hivi, ukisema au kufanya kitu cha uongo au uovu fulani na usitake watu waujue basi kuulinda usijulikane ni gharama kumbwa na pengine ya muda mrefu. sasa kwakuwa watu waovu hutenda maovu mengi hata wanasahau kuendelea kuyalinda maovu ya nyuma automatically maovu hayo yanakuwa hadharani. si mnakumbuka mambo ya EPA na makadhalika mengin tu!! hata ukweli wa green, red na blue guard utazidi kujulikana tu na tutajua nani mkweli.

From: Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, July 10, 2013 5:00 PM
Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA NA MAFUNZO YA KUJIHAMI KWA WANACHAMA WAKE

Green Guards si jeshi wala halina makamanda wala mafunzo maalum ya kijeshi, wale ni wahamasishaji chama na wanatokana na umoja wa vijana tu...

2013/7/10 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Yona,
Hata wewe kwa kauli zako kuna watu hatukushangai. Chochote kinachofanywa na Chadema ni kibaya.
Maovu yanayofanywa na CCM wewe bado huyaoni. Sijakusikia hata siku moja ukiwanyooshea kidole.
em

2013/7/10 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Ndugu Mtoi 

Wewe sikushangai kwa kauli yako hiyo maana hata kule JamiiForum siku chache zilizopota uliwahi kugusia suala hili la kuwa tayari kwa mapambano na CCM baada ya ndugu yako mmoja kuumizwa kwenye vurugu huko arusha , utayari ule ndio ninao uona hapa na pengine mafunzo tayari yameshaanza kutolewa kama nilivyowahi kudokeza kwenye mchango wangu fulani kwamba aina ya fujo zinazotokea mijini na jinsi zinavyopangiliwa ni kama zinafanywa na watu waliopata mafunzo .

Sasa hivi naona wanatangaza rasmi .

On Wednesday, July 10, 2013 3:09:22 PM UTC+3, Mohamedi Mtoi wrote:
YM.

Kwa taarifa yako chadema na viongozi wao kwa ujumla wamekuwa na busara
na hekima kwa muda mrefu sana, wamevumilia manyanyaso, mateso, maumivu
na hata vifo vilivyo sababishwa na  Green guard kwa muda mrefu sana.

Busara na hekima zao ndio zimeendelea kuifanya Tanzania ibaki kuwa na
amani kwa kipindi chote walicho nyanyaswa, kuteswa, kuumizwa na hata
vifo kwenye mikutano yao, mara zote mikutano ya chadema na wafuasi wao
ndio wamekuwa wahanga wakuu wa matukio mabaya. Walilaani na kukemea
lakini hakuna juhudi za kulindwa kwa dhati kama upande wa pili.

Green guard walisha tajwa siku nyingi kuwa wanamiliki silaha za moto
na mpaka namba ya moja ya silaha ilisha tajwa hadharani, mpaka leo
hakuna hatua zozote stahiki zilizo chukuliwa.

Ili kuepusha maafa kwa viongozi wa chadema na wanachama wao, kujilinda
ni jambo muhimu kwa sasa kuliko wakati mwingine wowote ule.

On 7/10/13, Reginald Miruko <rsmi...@gmail.com> wrote:
> Bora hao waliosema. Wengine hawajasema hadharani, vikundi hivyo wanavyo,
> vinafundishwa na maofisa wa majeshi ambayo ni rasmi, na hawajakamatwa.
>
> RSM
>
>
> 2013/7/10 Yona F Maro <oldm...@gmail.com>
>
>> Ndugu zangu
>>
>> Nimesoma sehemu fulani kwamba CHADEMA wana mpango wa kuanza kutoa mafunzo
>> kwa wanachama wake ili waweze kujihami na sasa wamechoka kuonewa .
>>
>> Kwangu mimi hii sio iashara nzuri haswa inapotamkwa na kiongozi wa juu wa
>> chama hicho ambaye anajua kabisa kazi ya kulinda wananchi na mali zao ni
>> ya
>> jeshi la polisi na sio makundi yoyote yanayoamua kujichukulia sheria
>> mkononi .
>>
>> Taratibu CHADEMA na viongozi wenu , sasa hivi mnahitaji busara zaidi na
>> uvumilivu kama kweli mnataka kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani
>> nchini
>> .
>>
>> --
>> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+...@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+...@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+...@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
"Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
--
Mobile: +255 (0) 713 24 67 64
Alternative: +255 (0) 784 24 67 64
Skype: Mohamedi.Mtoi
Twitter: @mohamedimtoi
Facebook: http://www.facebook.com/mouddymtoi
--
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment