Ni tabia ya Binadamu Kutopenda kulipa Kodi, Shida iko wapi?. Tatizo serikali iliwaogopa wenye Kapuni za Simu hawa wanavuna pesa nyingi tu. Message moja tu ya vichekesho inayotumwa, kwenye mtandao mfano Obama ni kabila gani?, Tunaweza kujua kampuni ya Simu inachuma kiasi gani kwa siku, Je serikali inapata shilingi ngapi kutokana na message hiyo?. VAT kwa siku tunastahili kupata kiasi gani? CCM haiwezi kungolewa na Watumiaji simu bali itangolewa na Wale wenye uwezo wa kuona tunapoteza kiasi gani kwa kutotoza kodi stahiki na tufanye nini kupata kodi yetu.
1000 Kwa smcard inategemea pesa hii itatumika kwa kitu gani, pesa hiyo ikiwa na lengo la kukusanywa na kuwekezwa tena kwenye maendeleo ya Watu aina shida wala si Mzigo kama watu tunavyo sema. Mfano tuseme kuna watu wenye laini 15,000,000. Kila mwezi 1000.
Kwa mwaka Pesa hii ni 1000*12*15,000,000=180,000,000,000. Pesa hii kama tuseme mfano Taifa tunaamua kuziwekeza kwenye huduma ya Afya tu kwa Maana ya Kufundisha wataalam, kutafutafuta vifaa tiba na technologia. Kujenga miundo mbinu nina Imani tukiongeza na sera nzuri nchi hii inaweza kuwa kama India kwa tiba.
Kwa hiyo kwa kipindi cha miaka Mitano ijayo hapa Tunaweza kuanza kupata pesa za kigeni kwa watu kufuata Tiba hapa nchini kama ilivyo india. Kwa utaratibu kama Tuna watu wenye kusimamia vyema kuliko sasa, Naona kodi au makusanyo ya pesa kwa utaratibu una faida sana. Hakuna atakeye kufa kwa kodi hii kwa sharti kwamba inarudi kuendeleza mtanzania. Shida ni kusimamia tu, Tuna malengo gani ndio na Makusanyo hayo ni Jambo la Msingi.
Tunapenda kutoka bila kuchoka, tunapenda maendeleo bila kuumia kidogo!
From: flano mambo <flein47@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, July 18, 2013 10:34 AM
Subject: Re: [wanabidii] CCM KUNG'OLEWA NA WATUMIAJI WA SIMU
Hata kama CDM wangekuwepo bungeni kwani kama serikani ilikua imepanga kufanya hivyo ingeshindwa?? mangapi hovyo yanapitishwa kisa wingi wa wabunge??
From: Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, July 18, 2013 10:20 AM
Subject: Re: [wanabidii] CCM KUNG'OLEWA NA WATUMIAJI WA SIMU
Sarya,
Kwa hiyo unatwambia kwamba wabunge wa CCM walipitisha bajeti peke yao na kwa mbwembwe (maana Chadema walikuwa Arusha). Wakapandisha kodi. Wakapitisha muswada wa Kodi peke yao, kisha wanasubiri wabunge wa Chadema wawashawishi wananchi waandamane!!!? Huu ni muujiza. Kabla hamjaandika fikirieni kwanza.

RSM
2013/7/18 mobini sarya <mobinsons@yahoo.com>
--WANABIDII,haijawahi kutokea lakini safarii hii wabunge wa CCM wameamua kukidhika chama rasmi, nimeshangaa kusikia makada wa chama cha mapindizuzi wakishutumu chadema kwamba kinapokuwa na maslahi binafsi kinawataka wananchi waandamane lakini suala linalohusu masilahi ya wananachi hawataki kuwashawishi waaandamane.unajua nini ? ni kwamba wanachama wa CCM wapo tayari kuunga mkono maadamano yawe ya amani au ya kiitelejensia kupinga kodi ya kichwa iliyorejeshwa kwa njia ya simu. mitaani hivi sasa hakuakalizi zaidi ya wapiga kura milioni nane wanaomili simu ndio wanatamani yaitishwe maadamano hayo, wanahoji inaamaa mtu mwenye laini tatu za simu atatakiwa kutenga shilingi 36000 kwa mwaka kuzilipia, wakati wanafunzi wa sekondali wanafukuzwa kwa ada ya shilingi 20000 kwa mwaka.katika maeneo yetu ya Rugoba kata ya lugoba Bagamoyo nusu ya watoto wa wafugaji wameshindwa kuanza shule kutokana na kukosa pesa ya dawati... ni mambo kama hayo ambayo yamechochea chuki huku watumiaji wa simu wakiomba uchaguzi ufanyike kama leo waionyeshe ccm atahali za hiyo kodi bilioni 2.5 wanazotalajia kukusanya kila mwezi zitafanya nini mbele ya sanduku la kura.....
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

No comments:
Post a Comment