Wednesday, 2 January 2013

[wanabidii] Greetings

Mpendwa  mwanangu.
    Pokea salamu za upendo kutoka kwangu. Ninaamini  umevuka mwaka salama. Mimi pia ninamshukuru Mungu. Basi tuendelee kuombeana tusisahau kwani sala ni Ngao ya maisha yetu. Bis morgen.

No comments:

Post a Comment