Monday, 26 November 2012

[wanabidii] Umri wa Kugombea Uraisi wa Tanzania ni upi?


Wadau nomba minijuze.
Kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya sasa mtu anaruhusiwa kugombea uraisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania  ni miaka minganpi? Mtu mgombea anatakiwa awe na kiwango gani cha elimu
Ntashukuru sana
Fred


0 comments:

Post a Comment