Nimezipenda mada hivyo nitajitahidi kuhudhuria, shukrani kwa waandaaji
2012/11/27 faraja kristomus <farajalugome@yahoo.co.uk>:
> Wapendwa,
>
> Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha kwenye kongamano lililoandaliwa na
> Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dsm lenye mada kuu isemayo, "Uhuru
> Wetu na Mustakabali wa Taifa kwa Miaka 50 Ijayo". Kongamano hili litakuwa na
> vipengele vikuu vitatu vya mijadala, navyo ni;
> a) Amani na Utulivu wa Taifa letu kwa miaka 50 ijayo
> b) Elimu yetu na maendeleo ya taifa letu kwa miaka 50 ijayo
> c) Rasilimali zetu na maendeleo ya kiuchumi ya taifa letu.
>
> Kongamano litafanyika katika ukumbi wa Nkrumah kuanzia saa 8 mchana hadi saa
> 12 jioni. Litarushwa moja kwa moja na ITV.
>
> Asanteni sana na karibuni nyote.
>
> Mr. Faraja Kristomus (Katibu - UDASA)
> Department of Foreign Languages and Linguistics
> University of Dar es Salaam
> P.O.Box 35040, Dar es Salaam
> Tanzania
> Mobile: +255 787 52 53 96 / +255 717 086 135
>
> "All human beings are equal except our beliefs, tribes and thinking, which
> are always accidents and never the essences of our humanity. We acquire them
> after getting out of the wombs of our mothers".
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment