Saturday, 24 November 2012

Re: [wanabidii] Makamu Mwenyekiti Phillip Mangula

Joseph,

Haya acha tusubiri hiyo siku, tuombe uzima!
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: josephludovick@gmail.com
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 24 Nov 2012 14:36:43 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Makamu Mwenyekiti Phillip Mangula

Tonny unajidanganya na janja ya nyani. Ipo siku ccm itakuwa huo upande wa upinzani.hhakika siku si nyingi kama unavodhani.ndipo utaelewa haya tunayosema.kwa hiyo cuf waliuwa askari ndo maana wakauawa? Damu inalipwa kwa damu siyo? Haya muuza magazeti wa morogoro alimuuwa askari gani? Kule igunga mbwana masoud aliuwa polisi gani? Haya arusha na arumeru wliuwa askari gani? Waweza kusema ni wapi askari kauliwa na wafuasi wa chadema? Lakini daima madikteta ndivo walivo.hawaamini kama ipo siku watatoka madarakani. Lakini someni kifo cha musoline kilikuwaje.na nyie ccm wote kwa pamoja hamna hata robo ya robo ya utaabiti aliokuwa nao musoline
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 24 Nov 2012 17:20:49 +0300
To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Makamu Mwenyekiti Phillip Mangula

Tony

Nimekumbuka ni majuzi tu watu walilipiwa gharama zote za kuendesha mkutano wa Wabunge pale Hotel ya Nashera - Morogoro. Watu walichapana bakora humo ndani mithili ya yale mabunge ya Ukraine na Uturuki na wana-habari walizuiliwa kabisa kushiriki katika mkutano huo. Siasa za Tz zina burudani sanaaaa. Mengi yanayozungumziwa majukwaani ni tofauti kabisa katika hali halisi

2012/11/24 <josephludovick@gmail.com>
Wewe hujui mauwaji ya jan 27 zanzibar? Kumbe mmeshasahau kuwa mna damu za watu? Stay asured kuwa wana cuf wengi sana wameuawa na serikali kule zanzibar enzzi za ngangari,CUF ilipokuwa chama cha siasa. Nccr mwaka 2005 mliwafanyia hivohivo.na sasa nni zamu ya chadema.kwa sasa cuf,tlp,na nccr in a way ni majimbo ya ccm sasa watauliwa vipi?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

Date: Sat, 24 Nov 2012 10:12:30 +0000
Subject: Re: [wanabidii] Makamu Mwenyekiti Phillip Mangula

Joe,

Mbona hawaui watu mikutano ya CUF au NCCR au TLP?
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
Date: Sat, 24 Nov 2012 12:38:04 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Makamu Mwenyekiti Phillip Mangula

Nyongeza,Tonny unaamini basi kuwa wakoloni ndiyo kweli walileta ustaarabu afrika.maana unaposema chadema wafanye kazi zao,hauishi nchi hii kujua kuwa kila wakifanya mnauwa wananchi ili chadema wasiendelee.hujui kuwa ccm inakataza kwa kutumia polisiccm shughuli za chadema? Tonny P wewe tu haufahamu hilo,au ni makusudi

2012/11/24 Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
Mkuu sana Tonny P nani anatumia muda mwingi kujadili mwenziye kati yetu na CCM? haukusoma magazeti muda wote wa mkutano mkuu wenu? kwamba hata wassira aliongoza kwa wingi wa kura kwa kuwa anataka apeleke kilio chadema? mwenyekiti wenu naye anaweza akafanya nini bila kuongelea chadema na ikaonekana kafanya kazi? mfano kila hotuba ya mwezi lazima ili inoge kuwe na sehemu ya kuongelea chadema.hata juzi akifungua mkutano wenu sijui akifunga aliongelea chadema.wewe mwenyewe hapa kila anayetofautiana nawe na kuonyesha udhaifu wenu... unambrand kuwa ni chadema.nani kwenu asiyeongelea chadema.sasa leo mnatekeleza kila kitu chadema inachosema na mnaiga inachofanya.Haukuwepo wewe kwenye mkutano wenu mkuu mwenyekiti alipoamuru mawaziri kwenda kujibu hoja za chadema,huko siyo kuwa bize na mambo ya chadema kuliko ya ccm?
  Haya sasa unazungumzia mpasuko ndani ya chadema bila hata kueleza nyie mnavyotiliana sumu katika maji na unavyohaha kujenga taswira mbaya ya mh.lowasa.ccm RIP in advance ni wamoja? hata mtu wa ngumbaro atakucheka.labda ukimuuliza Mh Membe atakwambia kama ccm ni wamoja ama lah.ukweli ni kuwa hakuna mtu ( narudia tena hakuna) katika ccm anayeitetea kwa kuwa anaamini inaenenda vema.hakuna,hata wewe tonny P kuna kitu tu kinakulazimisha ufanye hivo.
  Ni hivi chadema iko level nyingine kabisa.hapo nyuma mlikuwa mkisema vyama vya upinzani havipendwi kwa kuwa hata wakifanya mikutano wanahutubia miti,leo chadema kinapata hadhara kuliko ccm kila mahala,mmeanza oooh kujaza watu siyo dalili ya kupendwa.haya chadema ilipotangaza kuufanya dodoma mji wa taasisi za elimu ya juu,kwani mambo ya kuifanya makao makuu ni ufisadi mtupu,haraka mkakopy na kupaste na kujenga dodoma university..haya,chadema ilipotumia helkopta kwenye harakati zake mkabeza na kushambulia oooh matumizi mabaya ya fedha.mliponwa mkatumia tatu,hapo si matumizi mabaya.njoo Tonny P tueleze,chadema iliposema katiba mpya MACCM si mlikataa,sasa mbona mnaimba wimbo wa chadema.orodha ni ndefu mno na mantiki ndogo inasema kwa hiyo chadema ndo wanaongoza nchi hii kwa kutoa ideas na ccm wanacopy na kupesti.
 Na sasa mmeambiwa muache kutumia polisi kuwajibia hoja,bali ingieni uwanjani.mfano tayari.zomeazomea imeanza na tayari mmeita polisi arusha kuwasaidia kwenye ujio wa kinana.ngoja tutazame na tuone

2012/11/24 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Ephata,

Hakuna jipya unachokisema! Hutegemewi kusifia chama pinzani kwako na ukifanya hivyo utakuwa mtu wa ajabu kwa chama chako. Tatizo kwenu ni kwanini mnatumia muda mwingi kuzungumzia vyama vingine kama ccm badala ya chama chenu kinachomeguka sasa kwa sababu ya Urais? Chadema yenu hangaikeni nayo badala ya kupoteza muda mwingi kuwasema wenzenu, utadhani nyie mpo poa kivile!
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

-----Original Message-----
From: Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 24 Nov 2012 08:24:09
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Makamu Mwenyekiti Phillip Mangula

Tony
Tetea chama chako mkuu,hata Arusha ccm wapo,hata leo hii November 24
wanachama 1000 wa CHADEMA watarudisha kadi na kujiunga na ccm
Ukweli upo wazi kuwa sio Mangula,wala Kinana watakaoweza kurudisha
imani ya ccm kwa wananchi.watatoa wapi ujasiri huo ilihali
wamechaguliwa na wajumbe waliopatikana kwa Rushwa?wao pia ni sehemu ya
rushwa

On 11/23/12, josephludovick@gmail.com <josephludovick@gmail.com> wrote:
> Mfano wale madiwani 5 wasaidieni kulipa gharama.ndo wanachama wapya wa ccm
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> -----Original Message-----
> From: "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Fri, 23 Nov 2012 16:25:46
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Makamu Mwenyekiti Phillip Mangula
>
> Joe,
>
> Wewe hujui kubishana kwa weledi. Wewe ndio useme kama unayo hakika wanachama
> wapya wa ccm hawapo. Kumbuka takwimu zipo, usibishane kishabiki tu! Hata
> Arusha kuna wanachama wapya wa ccm.
> Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
> Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
>
> -----Original Message-----
> From: josephludovick@gmail.com
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Fri, 23 Nov 2012 16:17:55
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Makamu Mwenyekiti Phillip Mangula
>
> Hapana mweNyekiti wenu kasea muache kutegemea polisi kutujibu.sasa
> umeshasikia ya arusha OCD anapiga marufuku mkutano wa chadema eti wapishe
> ujio wa kinana. Ndo ufisadi huo tonny. Halafu umenichekesha kidogo.2010
> mlikuwa na wanachama unaowaita royal mil 6 pamoja na rushwa na kampeni
> zilizohusisha mpaka majini ya kumlinda mgombea wenu mkapata kura chini ya
> idadi ya wanachama wenu.hapo hatusemi chochote juu ya kazi ya wale jamaa wa
> kuchakachua.haya Tonny unaweza kusema kuna mwanachama mpya hata mmoja tu
> kajiunga ccm baada ya uchaguzi ule? Chama sasa kina wanachama chini ya
> milioni 4 sasa ushindi wa ccmlabda kama utakuwa kama ule wa bagbo na unajua
> mwisho wake
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> -----Original Message-----
> From: "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Fri, 23 Nov 2012 16:03:25
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Makamu Mwenyekiti Phillip Mangula
>
> Joe,
>
> Acha uzushi wewe! Uhakiki wa wanachama ulifanyika Jan-May 2010. Ni zaidi ya
> milioni sita; kubali usikubali hizo ni takwimu na zitabakia hivyo hata
> ukiita polisi.
> Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
> Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
>
> -----Original Message-----
> From: josephludovick@gmail.com
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Fri, 23 Nov 2012 15:47:13
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Makamu Mwenyekiti Phillip Mangula
>
> No si kila mara mtu atoe suluhisho.ili wasomaji wafanye nini? Ccm haina hata
> wanachama mil 4. Hiyo takwimu ni ya zamani sana na hakuna wanachama wapya
> ccm siku za karinbuni ukiacha wale wachacha wanaofukuzia viposho ccm RIP in
> advance
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> -----Original Message-----
> From: "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Fri, 23 Nov 2012 15:40:04
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Makamu Mwenyekiti Phillip Mangula
>
> GM,
>
> Umekosoa, tusaidie wewe idadi ipi inaweza kusababisha ushindi? Acha kukosoa
> tu bila kutoa unavyoona inafaa!
> Ni uchangiaji usio na faida kwetu.
> Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
> Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
>
> -----Original Message-----
> From: gm26may@gmail.com
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Fri, 23 Nov 2012 14:24:02
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Makamu Mwenyekiti Phillip Mangula
>
>
> Tony
>
> CCM ina wanachama Milion 6 kati ya Watanzania. Milion 45
>
> Sidhan kama ni mtaji wa kutosha wa kujisifia kushinda uchaguzi
>
> KR
>
> GM
> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
> -----Original Message-----
> From: "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Fri, 23 Nov 2012 14:21:00
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Makamu Mwenyekiti Phillip Mangula
>
> DKK
>
>
> Nimekuelewa sasa, unalosema ni sahihi kabisa; kwenye siasa za ushindani ni
> timing tu na sio watu kukushabikia ukajiona umeshinda chaguzi. Mtaji ni
> wanachama kuwa nao na wakawa loyal kwa chama chako. ccm wanao wanachama,
> wanachotafuta ni kupata perfect royalty yao.
>
> Stage za kufikia hayo sio kwa maandamano na kujiamini sana, ni grassroots
> work, ikihitaji muda, nyenzo na kujitolea kwa wanachama wengi.
>
> Nakubaliana na maoni yako.
> Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
> Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
>
> -----Original Message-----
> From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Fri, 23 Nov 2012 05:18:32
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Makamu Mwenyekiti Phillip Mangula
>
> Tony,
> Mie sina mwajiri, ajira ni ubongo wangu. 2015 kushindwa kwa CHADEMA
> hakutasababishwa na CCM kujipanga vizur kimikakati na kisera hata
> utekelezaji, nina uhakika itakuwa mkishinda ni kulingana na mapungufu
> madogo madogo ya CHADEMA, mfano, tukishindwa kuwekeza vizuri kwa
> wananchi vijijini tutapoteza kura nyingi sana. Tukishindwa kuwa na
> wanachama wengi wa kutupa angalau mtaji wa kura kukimbizana na za
> wanachama wa CCM (sio hizo milioni 6, najua zipo pungufu zaidi)
> angalau mtatusumbua,
>
> Ushindi wa CHADEMA kwa sasa umebaki mikononi mwetu wenyewe,
> tukizicheza karata vizur tunashinda sababu upepo wote unaelekea kule
> tanga letu liliposimamia. nyie ombeeni mambo yaende kombo kwetu la
> sivyo mmeula wa chuya kaka.
>
> --
> *"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
> his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
> *
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk
> CORE 2 DUO
> 2.0 GHZ CPU
> 2 GB RAM
> DVD/CD - RW
> WINDOWS 7 /WINDOWS XP
> WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0718 637905
> 0786 806028
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk
CORE 2 DUO
2.0 GHZ CPU
2 GB RAM
DVD/CD - RW
WINDOWS 7 /WINDOWS XP
WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0718 637905
0786 806028

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

No comments:

Post a Comment