Swali ni kwamba ni halali wao kutumia rasilimali za serikali kufanya
kazi za chama au bunge? mathalan kutumia gari na dereva wa wizara
kwenda jimboni kwa ajili ya shughuli za chama au bunge?
2012/11/27 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>:
> Kwa mujibu wa taratibu za utendaji wa Mawaziri, kwa mwaka wanatakiwa kuwa
> wanaisiasa mara 4 (mara moja kila robo mwaka) wanapaswa kurudi majimboni na
> kufanya kazi za uwakilishi (ambao umepatikana kwa njia ya siasa-kura). Hivyo
> kwa wao kuzunguka mikoani na kufanya kazi za CCM ni sehemu ya kazi zao kwani
> wako pale kwa mujibu wa chama chao. Siyo kosa kwao, na kama ni kosa basi
> linatokana na Sheria za Nchi na si vinginevyo. Ingekuwa kwenye hii mikutano
> anahudhuria sijui DED au Afisa Kilimo wa Mkoa/Wilaya au Katibu Mkuu hapo
> ndipo shaka ingeongezeka lakini wale wote wanaopanda jukwaani ni Wanasiasa.
>
>
> 2012/11/27 Ernest Mmbaga <emmbaga@hotmail.com>
>>
>> Fredrcik
>>
>> Umeandika Ukweli mtupu ni juu ya Wahusika kusikia na kuufuta
>> ushauri huo
>>
>> Ernest
>>
>>
>>
>> ________________________________
>> Date: Tue, 27 Nov 2012 10:24:21 -0800
>> From: fredrick197958@yahoo.com
>> Subject: [wanabidii] JE KAZI YA MAWAZIRI KUJEINGA CCM
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>> Hivi karibuni baada ya kumalizika mkutano mkuu wa CCM Kanali (mstaafu)
>> Kinana amekuwa akizunguka huku na kule akiambatana na mawaziri kufanya siasa
>> yenye nia ya kuijenga CCM.
>> Binafsi sina tatizo na Waziri kama yuko likizo akatumia muda wake wa
>> mapumziko kutumikia chama. Ninashawishika ni kinyume cha taratibu za kazi
>> kutumia rasilimali za umma kama magari, posho za safari kutoka serikalini
>> kwa lengo la kutumikia chama.
>> Nadhani ni vema kazi ya kujenga chama wakaachiwa waajiriwa wa chama
>> watennde kazi hizo.
>>
>> Nidhamu na kuheshimu kazi na uweledi ni muhimu sana kwa sasa katika jamii
>> yetu sisi Watanzania.
>> Hizo kazi za wizarani nani atafanya kama kila waziri akiwa barabarani
>> kujenga chama?
>> Napendekeza CCM iweke mfumo wa kuigwa na vyama vingine. Hivi mfanyakazi wa
>> umma wa kada ya chini akiacha kazi zake na akitumia gari ya ofisi na
>> rasilimali zingine kufanya kazi za NGO binafsi kwa mfano, na jambo hilo
>> likafanyika bila makubaliano rasmi na bosi wake ataangaliwa tu aendelee au
>> atawajibishwa?Jibu liko wazi atawajibishwa.
>> Ifikie mahali mawaziri wawajibike kwa umma kwa kuwa wanalipwa kwa kodi
>> zetu na hawalipwi na CCM
>>
>> Rai yangu ni kuwataka mawaziri na watumishi wengine wa umma tuwatumikie
>> Watanzania kwa nidhamu na unyenyekevu kwa kuwa si wote wanafurahishwa na
>> porojo za majukwaani. watu wanataka kuona kazi zinafanyika zinazoleta tija
>> katika jamii.
>>
>> Nawasilisha.
>>
>>
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>> CALL : 0786 806028
>> Free Delivery in Dar es salaam
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>> CALL : 0786 806028
>> Free Delivery in Dar es salaam
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
>
>
>
> --
> Bariki G. Mwasaga,
> P.O. Box 3021,
> Dar es Salaam, Tanzania
> +255 754 812 387
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
No comments:
Post a Comment