Tuesday, 27 November 2012

RE: [wanabidii] Fw: Muhimbili University New Campus

Safi Ezekiel, ngoja nidodose tena.
 
Huyu ndugu Jonathan yeye alibisha tu kwa kudhani kuwa kukosoa ni kosa; lakini ukweli ni kwamba wanaotoa changamoto kuhusu haya majengo, tena mmoja kaniandikia pembeni na kasema kwa ufundi sana, wanafanya hivi kwa uzalendo na kwa kufuata makosa ya huko nyuma. Mfano wa karibu sana ni Uwanja wa Taifa ambao kwa mtu asiyevijua viwanja vya nchi zingine zinazojali pesa zao zinatumiaje, anaona ni sawa tu kwa kuwa tulikuwa hatuna uwanja. Huu unyonge ni mbaya sana na ndiyo maana mtu mmoja, Mtanzania, kutoka Uingereza, siku moja alisema kwamba: "We, Tanzanians, have no sense of qualify." Mtanzania anaridhika mapema mno, sijui ni ulimbukeni au ufinyu tu, lakini ni kweli, kwamba Mtanzania akiwekewa kitu hovyo hovyo anarukaruka kama sungura. Angalia UDOM tayari majengo yameanza kuvuja mpaka siku moja Nape Nnauye anatoa 'maagizo' kwamba majengo yafanyiwe ukarabati. Tumekaa kimchekea mno.
 
Upo uwezekano kwamba mapitio yakafanywa kwenye haya majengo na mbumbumbu wengine ambao hawajui wanafanya nini ili mradi wamelipwa tu. Kuna mifano mingi ya majengo ya kijinga nchini mwetu. Hebu angalia lile jengo la makao makuu ya Magereza? Hebu angalia mabweni ya IFM yanavyotia kinyaa katikati ya jiji. Angalia lile jengo la Tanesco pale Ubungo. Mifano ni mingi mno na wataalamu wanaoweza kutuokoa na upuuzi huu wapo, tena Watanzania.
 
Mimi jana nimeongea na Mtanzania ambaye kazi yake hapa Marekani, pamoja na kusanifu majengo, ni kupitia majengo ya hospitali zote zinazogharamiwa na wizara inayoshughulikia matibabu ya wanajeshi wastaafu wa Marekani. Akanipa sehemu ya kanuni zao na hata kabla sijafika mbali nikahisi kwamba tuna tatizo pale Kwembe. Nikamuuliza kuhusu kuegesha magari, na akaniambia kwamba eneo la kuegesha magari linatakiwa kuwa umbali fulani isipokuwa magari ya wagonjwa (tolitoli) na pia idadi ya maegesho inafuata ukubwa wa jengo (kwa maana ya idadi wa watu watakaokuwa wanakuja humo nani), yaani huwa ni futi kadhaa za mraba zinakwenda na nafasi moja ya kuegesha gari huko nje. Hivi ni vitu vya kitaalamu, siyo siasa na nyimbo za chama.
 
Tuamkeni Watanzania; hayo mahela ya kuijengea hiyo hospitali ni yetu na kama si yetu, basi deni litakuwa letu hadi wajukuu zetu. Tuwe macho na ujenzi wa nchi yetu siyo kushangilia kila kitu. Tony ameeleza kwa upana kiasi kuhusu dhana ya usalama wa jengo, na ndivyo wanavyofanya wenzetu huku, siyi kujenga tu ili mradi kuna nia ya kujenga na matofali yapo.
 
Matinyi.
 
 
 

 
> Date: Tue, 27 Nov 2012 17:16:58 +0000
> From: ekunyaranyara@yahoo.co.uk
> Subject: Re: [wanabidii] Fw: Muhimbili University New Campus
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
>
> Matinyi,
>
> Mjadala huu unaonesha jinsi watanzania mnavyojali sana hali ya usalama wa wananchi wetu. Anachokisema Jonathan nadhani ana uhakika nacho. Michoro kama hii inapokuwa imeandaliwa huwa inafanyiwa kitu kiitwacho "Scheme Auditing" ambayo kimsingi huangalia mahitaji yaaa kiusalama katika michoro kabla ya ujenzi naa hata baada ya ujenzi kabla ya kukabidhi jengo hufanyiwa Aauditing hiyo na mwisho Mkandarasi akikabidhi michoro ya "as per building drawings" hufanyiwa Auditing ya mwisooo.
>
> Katika auditing hii ya mwisho inakuwa kuangalia viwango vya usalama
> Vilivyowekwa na jinsi vinavyofanya kazi. Niseme wazi kwamba mara nyingi hapa kwetu mambo haya hayafanyiki kwa kuwa hata wataalllamu wa mambo ya usalama wako wachache sana kwa upande wa usanifu wa majengo.
>
> Waliopo ni wale wa barabara ambao pia si wengi sana. Kwa hali hiyo utakuta hata katika hatua za kuanza ujenzi bado michoro haifanyiwi Scheme Auditing. Naamini baads ya hoja hizi za.wanajukwaa hapa wahusika wataangalia sasa ukaguzi wa usalama kwa undani kabla ya kuingia mkataba na wajenzi.
>
> Asanteni kkwa mtizamo wenu wa kuonesha kujali sana maisha ya wagonjwa na watanzania kwa ujumla. Michango hii kwa mimi nimenufaikka nayo sana.
>
> KEMS
>
>
> ------------------------------
> On Tue, Nov 27, 2012 15:43 GMT matinyi@hotmail.com wrote:
>
> >Mnyela kuwa serious.
> >
> >Eleza maegesho ya kutosha yako wapi? Angalia suala la usalama na hata magonjwav ya kuambukiza ni ujenzi huo. Hapa Marekani majengo yote ya hospitali yana kanuni zake na hairuhusiwi ujenzi uanze mpaka wasanifu wa pili wafanyie upekuzi michoro ili kukidhi haya tuyasemayo. Tuache ulimbukeni, kila kitu kinahitaji umakini, siyo ili mradi kipo.
> >Matinyi.
> >
> >
> >
> >T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
> >
> >----- Reply message -----
> >From: "Jonathan Mnyela" <jonathan.mnyela@gmail.com>
> >To: <wanabidii@googlegroups.com>
> >Subject: [wanabidii] Fw: Muhimbili University New Campus
> >Date: Tue, Nov 27, 2012 10:24 am
> >Habari wanabidii!
> >
> >Mpango wa kujenga hospital ya aina hii unastahili kupongezwa. Matarajio yangu nikuwa huduma zinazopatikana hapo zitakuwa nizahali ya juu na weredi.
> >Serikali ya awamu ya nne inastahili pongezi kwa mipango madhubuti namna hii.
> >Jambo la ajabu toka kwa Watanzania wenzangu wengi waliochangia wamekuwa na mtazamo HASI, siamini kama wasanifu wa mradi huu walikuwa na mawazo mgando juu ya swala la maegesho, usalama na mengineyo.
> >Tuwena support kwa program za serikali yatu. Wewe baba yako ameleta chakula hata kabla hakijapikwa unaanza kuponda.
> >On Nov 26, 2012 5:33 PM, "Fred Alphonce" <fredrick197958@yahoo.com> wrote:
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >Wapendwa huu mjengo wa quality! 
> >
> >Michoro ya ujenzi wa Kampasi ya Mloganzila iliyo katikati ya Wilaya za Kisarawe Mkoa wa Pwani na Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam ambayo ni sehemu ya Hospitali kuu ya Muhimbili inajengwa kwenye eneo la ekari 3800 kwa ajili ya kutolea mafunzo kwa wanafunzi wa udaktari na huduma za Afya wapatao 15,000 kwa mwaka, na pia itakua sehemu ya kutolea matibabu ya maradhi yote makuu na ya kawaida nchini. 
> >
> >Ujenzi wa Hospitali hii, ambayo pesa ya ujenzi wake imeshapatikana, unatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi Januari, 2013 na unatarajiwa kukamilika miaka miwili baada ya ujenzi kuanza. Tayari wataalamu na wafanyakazi wanaotarajiwa kufanya kazi katika kampasi ya Mloganzila wameshaanza mafunzo ndani na nje ya nchi. Mara hospitali hiyo kubwa na ya kisasa itakapokamilika itakua na uwezo wa vitanda vya kulaza wagonjwa mia sita (600). Hii ni mojawapo ya juhudi za serikali ya awamu ya nne katika kuhakikisha nchi inaondokana na adha ya kupeleka wagonjwa nje ya nchi kwa ajili ya matibabu.
> >
> >
> >Visit a youtube site for more audiovisual
> >
> >http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=DLzsq3JiUYA
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >--
> >
> >Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> >
> >nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> >
> >Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> >
> > 
> >
> >DELL LATITUDE D 620 & D30
> >
> > 
> >
> >80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
> >
> >DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
> >
> > 
> >
> >TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
> >
> > 
> >
> >CALL : 0786 806028
> >
> >Free Delivery in Dar es salaam
> >
> > 
> >
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> > 
> >
> >Disclaimer:
> >
> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> >
> > 
> >
> > 
> >
> >
> >
> >
> >
> >--
> >Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> >nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> >Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> >
> >DELL LATITUDE D 620 & D30
> >
> >80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
> >DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
> >
> >TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
> >
> >CALL : 0786 806028
> >Free Delivery in Dar es salaam
> >
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> >--
> >Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> >nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> >Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> >
> >DELL LATITUDE D 620 & D30
> >
> >80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
> >DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
> >
> >TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
> >
> >CALL : 0786 806028
> >Free Delivery in Dar es salaam
> >
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> >
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

No comments:

Post a Comment