Wednesday, 3 October 2012

Re: [wanabidii] Deo Filikunjombe CHADEMA VS PIndi Chana CCM LUDEWA 2015

Pengine tuseme Deo ni mwiba kwa CCM na historia inaonyesha watu kama Deo hawavumiliki ndani ya Chama, wewe binafsi Mh Kigwa uliwahi kulalamika humu kwamba haupendwi na wenzako ndani ya chama.
Wakati huo 2015 kila mmoja wenu atakuwa anapambana kuokoa nafasi yake na bila shaka chochote kitatokea na binafsi siamini kama yaliyompata Selelii hayatampata Deo.
Daud

2012/10/3 <hkigwangalla@gmail.com>
Makwega,  kwani Ndg yangu Filikunjombe kakosa nini mpaka CCM imtose? Acha uchonganishi...Deo ni jembe la CCM, tunamuamini na tunampenda na tutamlinda yeye kwa maslahi ya chama na nchi yetu!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 3 Oct 2012 02:13:08
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Deo Filikunjombe CHADEMA VS PIndi Chana CCM LUDEWA 2015

Sasa hapa ninajiuliza  swali moja  tu CCM wtakubali kulipoteza  jimbo
kwa kumtosa Deo Filikunjombe?

On 10/3/12, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
> Hali itakuwa kama ulivyowasikia wapiga kura wakisema endapo hapatakuwa
> na 'mazabezabe' au 'mangumashi' katika zoezi la usimamizi wa kura.
> Binafsi siyo mpiga kura wake lakini namuona kama ni kijana mwenye upeo
> na anayeweza kudhubutu kutoa maamuzi magumu.
>
> Ili Tanzania isonge mbele inahitaji vijana aina ya Filikunjombe,
> pamoja na kumuhitaji bungeni mimi pia namshauri aanze kufikiria ata
> kugombea urais miaka ijayo. Huyu ni zaidi ya jimbo lake anaweza
> kugombea ubunge wa jimbo nje ya alipo akachaguliwa.
>
> Hachaguliwi mtu kwa sura, chama au unafiki bali kwa uwezo wake wa
> kutoa michango yake bungeni, usimamizi wa mambo ya kimaendeleo katika
> jimbo lake na uzalendo kwa taifa lake. Mtu mchapakazi na mzalendo ni
> biashara inayojiuza si biashara inayotembezwa
>
> 2012/10/2 adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com>:
>> Juzi nilipita Ludewa nikakutana na  wapiga  kura  wa Filikunjombe huyu
>>  jamaa  anapendwa  sana. Tena  ikumbukwe  huko ndiko  nyumbani  kwa
>> aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CCM  Marehemu  Kolimba. Kuna minong'ono
>> kuwa inawezekana  kabisa  Deo Filikunnjombe hawezi  kurudishwa tena
>> kugombea kwa  tiketi  ya CCM mwaka  2015.
>>
>> Huku kukiwa na majina  kama ya Pindi Chana  kuweza  kurudishwa na CCM
>> kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimboni humo.
>>
>> Sasa  nikawauliza    wadau  hao kuwa  inakuwaje  sasa  kwa Deo
>> Filikunjombe  wakasema  atakwenda CHADEMA na hakuna wasiwasi  sisi
>> tutampigia kura  bila  shaka."Unajua  hapa  tulikuwa  na shule zetu
>> za kata sasa zilikuwa   zinajikongoja kumalizika  kwani  tulipewa
>> jukumu  la kulenga  mawe  yakawa tatizo lakini  kametusaidia  sana
>> haka  kakijana  ketu sasa  ni  raha  tu watoto wanasoma  bwana."
>> anasema ndugu huyo.
>>
>> Mbunge wetu  anafikiria nje  ya  boksi hafikirini    kwa kufungwa
>> ndani ya  boksi  ngoja tuombe uhai tu aliongeza  mdau  huyo.
>>
>> Kwa  kawaida  eneo hili lina makabila ya Wakisi,Wapangwa , wamatengo
>> na wengineo ambao kwa desturi ni watu wapole na wanaheshimu sana
>> mamlaka.  Kweni Katika safari  yangu  waliweza  kutembea umbali mrefu
>> kuja kuhudhuiria mkutano ulionipeleka eneo hilo.
>>
>> Sasa Deo Filikunjombe akigombea  kwa   CHADEMA na Pindi Chana  kwa CCM
>>  2015  hali itakuwaje  Ludewa ?
>>
>>
>> Wasalaam Adeladius Makwega
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.



--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

No comments:

Post a Comment