Tuesday, 24 July 2012

[wanabidii] semeni nyie

Siku zote wanaharakati wanaposema huonekana wanabishana na serikali lakini ukweli ni kwamba huwa wameona mbali mabo ya kupitisha sheria kwa siri ni masuala ya kimfumo wanatetea  maslahi ya  wachache na kuwaangamiza walio wengi

nandio maana kiongozi kuwafunga mafisadi sio rahisi kwani naye watambana kwenye eneo lake sasa jiulize hiyo sheria ni kwa maslahi ya nani pesa yangu kuichukua unipangie mbona wakatinaweka hayo hayakuepo tufungue macho iposiku tutaambiwa  nchi imeuzwa kwa mheshimiwa fulani

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment