Mheshimiwa mtukufu Kitiluj,
Kwa kua unafahamu Kiswahili kuliko mimi, bora nikukumbushe kua
iwapo RAIA ni "mtu ...", MARAIA ni "watu ...", yaani MARAIA ni "plural"
ya RAIA!
Au vipi?
Nitafurahi kusoma Kiswahili ziada kwa MSAADA wako, mtandaoni.
Upo hapo?
Bwanatosha
Date: Mon, 9 Jul 2012 16:44:02 -0700
From: kitiluj@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] RE: KIMBEMBE CHA SENSA NA WOGA WA KANISA/2-3-4-5
To: wanabidii@googlegroups.com
Kwa kua unafahamu Kiswahili kuliko mimi, bora nikukumbushe kua
iwapo RAIA ni "mtu ...", MARAIA ni "watu ...", yaani MARAIA ni "plural"
ya RAIA!
Au vipi?
Nitafurahi kusoma Kiswahili ziada kwa MSAADA wako, mtandaoni.
Upo hapo?
Bwanatosha
Date: Mon, 9 Jul 2012 16:44:02 -0700
From: kitiluj@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] RE: KIMBEMBE CHA SENSA NA WOGA WA KANISA/2-3-4-5
To: wanabidii@googlegroups.com
Hujamjibu bwna kaaya (RAIA nm 1 mtu mwenye haki za kisheria kutokana na kuzaliwa au kujiandikisha katika taifa fulani na zinazomwezesha kushiriki katika shughuli zote za taifa hilo) Je? Maraia ni kitu gani hicho. usiharibu kiswahili we. Pili habari za udini hazina maslahi yoyote kwa taifa. kila dini ijitegeme kutafuta takwimu sahihi. Kwangu mimi dini zote ziko sawa tu kwa kuwa dini ya mtu haiwezi mfikisha mbinguni. bali uadirifu wake. wingi au uchache hauna lolote kwenye nguvu ya imani ya mtu. hata kama Takwimu zinge onyesha Waislam ni 60%, wakristo 10% na waliobaki 30%. haingemanisha wala kuwa sabau ya kujivunia kwa lolote. Dini ni miti tu/ vyama tu, ni groups za watu wenye mtazamo mmoja kimakundi. na wala dini zisihusishwe na serikali. Tuuiache serikali ifanye kazi ya takwimu za watu wote na wala si kwa misingi ya dini zao. kwani kazi ya viongozi wa dini ni ipi. mimi ninavyojua ni pamoja na kujua idadi ya watu anaowaongoza, na ikiwa hawawezi kufanya hivyo waache kazi hizo na wafunge makanisa/misikiti watu wajue hawana dini na viongozi. NINAKUSIHI BWANA MSOMI (SALIM HIMID) achana na mjadala huu hauna maslahi na nchi yetu. Siku njema JMKF Japan On Mon, 7/9/12, Salim Himidi <bwanatosha@hotmail.com> wrote:
|
0 comments:
Post a Comment