Napenda kuwajulisha Wanabidii wote kuwa ile Version ya Mobile imekuwa activated sasa kwenye mtandao wa www.globalpublishers.info, ambapo sasa unaweza kusoma news na kupost coment zako na kufanya mambo mengine ambayo zamani ulikuwa huwezi kuyafanya kwenye simu yako ya mkononi.....unachotakiwa kufanya ni kuandika address kama kawaida kwenye simu yako na automatically system itakuweka kwenye mobile version. Tafadhali jaribu sasa na usisite kutoa maoni yako.
Asante
--
Abdallah Mrisho 'Abby'
General Manager
Global Publishers Ltd
P. O. BOX 7534
DAR ES SALAAM TANZANIA
mobile: +255 713 839 363
Please visit me at:
www.abdallahmrisho.blogspot.com, www.globalpublisherstz.com
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment