Monday, 23 July 2012

RE: XSPAM Re: [tan_toronto] RE: [wanabidii] KWELI BINADAMU SI WASTAARABU KABISA

Hi Levina,
Ni wewe ninayekufahamu au mwingine?
James Obama

Original Message:
-----------------
From: Levina B.K ashioleng_ruwa@yahoo.com
Date: Fri, 20 Jul 2012 05:47:48 -0700 (PDT)
To: tan_toronto@yahoogroups.com, wanabidii@googlegroups.com,
TanzaniaCA@yahoogroups.ca, maduhu@gmail.com, frdamian@lycos.com,
msafirimhehe@shaw.ca, jkhalfan3@gmail.com, terijoan@hotmail.com,
zmtubwi@yahoo.com, ktracyca@hotmail.com, emwanri@gmail.com,
vichwa@yahoo.com, s.mwahu@yahoo.com, ramadhani@sympatico.ca
Subject: XSPAM Re: [tan_toronto] RE: [wanabidii] KWELI BINADAMU SI
WASTAARABU KABISA


Kama mkristu, nasikitika sana kuwa KANISA  limeshiriki kwenye hii
vyurungati!  (ooh boy makanisa mengi siku hizi....sujui hili kanisa ni la
KRISTO na sijui kama lafuata Ten commandaments...kuna USIDANGANYE...USISEME
UONGO)
 
Jamani mbona hivi, makanisa yamekuwa immigration consultants....tuwe makini
waumini......Fundisho hapa......
 
 
Lek
 
 
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
"Keep An Open Mind"  ……..

"But Not So Open That Your Brain Falls Out"


________________________________
From: Mabula Sabula <mabsab@hotmail.com>
To: Wanabidii Tanzania <wanabidii@googlegroups.com>;
"tan_toronto@yahoogroups.com" <tan_toronto@yahoogroups.com>
Cc: "maduhu@gmail.com" <maduhu@gmail.com>; "frdamian@lycos.com"
<frdamian@lycos.com>; "msafirimhehe@shaw.ca" <msafirimhehe@shaw.ca>; Joha
Halima <jkhalfan3@gmail.com>; "terijoan@hotmail.com"
<terijoan@hotmail.com>; "zmtubwi@yahoo.com" <zmtubwi@yahoo.com>; Tracy
Kasayoga <ktracyca@hotmail.com>; Ernie Mwanri <emwanri@gmail.com>; Wambura
<vichwa@yahoo.com>; salma mwahu <s.mwahu@yahoo.com>;
"ramadhani@sympatico.ca" <ramadhani@sympatico.ca>
Sent: Friday, July 20, 2012 7:58:40 AM
Subject: [tan_toronto] RE: [wanabidii] KWELI BINADAMU SI WASTAARABU KABISA


 
Dada Julieth na Watanzania wote,
 
Salaam popote mlipo. Hapa Toronto salama.
 
Nashukuru sana kwa mchango wenu na mawazo yenu. Kwa kweli hata mimi
imenikatisha tamaa. Na pia hospitali maombi yangu yote sasa yamesitishwa
sijui kwa muda gani. Ni kweli amelitia taifa doa na Watanzania hapa Toronto
wamesikitishwa sana. Kwa hiyo ndugu zangu, kama kuna yoyote yuko tayari
kusaidia kwenye hili swali tuwasiliane niwape "RB Number" ili habari zozote
zifike panapohusika CBSA (Canadian Border Services Agency) hapa 6900
Airport Rd., Mississauga, Ontario, Canada, L4V 1E9. 
 
Ahsanteni sana na wikendi njema.
 
N.B.: Ndugu Maduhu anawafahamu na ana mawasiliano na watu wa kanisa
waliomushawishi yeye Maduhu na Mama Precious kufikia uamuzi huo(majina
nayahifadhi). 
 

Mabula Sabula

Thise-mail message is privileged, confidential and subject to copyright.
Any unauthorized use or disclosure is prohibited.

________________________________
From: julieth.mutabilwa@mnh.or.tz
To: mabsab@hotmail.com; tan_toronto@yahoogroups.com
CC: maduhu@gmail.com; frdamian@lycos.com; msafirimhehe@shaw.ca;
jkhalfan3@gmail.com; terijoan@hotmail.com; zmtubwi@yahoo.com;
ktracyca@hotmail.com; emwanri@gmail.com; vichwa@yahoo.com;
s.mwahu@yahoo.com; ramadhani@sympatico.ca; wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] KWELI BINADAMU SI WASTAARABU KABISA
Date: Fri, 20 Jul 2012 05:01:29 +0000


Bado nimeshikwa na mshangao jamani, Mungu wetu atafanya njia na
imenisikitisha binafsi na kunikatisha tamaa kabisa, Maduhu kama unasoma
mail hii sijui ni nani kakudanganya kufanya maamuzi hayo… yawezekana hata
msiba wala haupo ila Maduhu ujue kabisa mkeo atapatikana na atarudishwa
nyumbani tena kisheria na kushtakiwa pia, hivi mnachezea uhai w a motto na
kutothamini msaada ambao watu wamejitoa kwa hali na mali kukusaidia achilia
mbali Mr Mabula………..
 
Wapendwa tujifunze… nimeogopa sana kwani nami simpati mama Sophia ila
ninawasiwasi kwamba labda kapoteza simu au la ila nimekata tamaa ametia doa
kubwa san ahatutaaminika kabisa na baya kwa ubalozi, kaka Mabula nakuomba
sana toa taarifa kama ulivyosema hata police maana akipatwa na lolote
utakuwa msalaba wako, sasa tujifunze nini kwa hili tusisaidie basin a hili
ni kipawa na tunachohitaji ni thawabu na sio kutiana aibu kama hivi, nina
simu hapa ya Maduhu najaribu kumpigia simpati,
 
Ieleweke katika utafuta maisha usilogwe kutumia njia ya kukufuru kupata
maisha nje ya nchi, mama precious utajuta katika maisha yako na umebeba
dhambi kubwa sana ya kutumia upenyo wa kumhudumia motto Precious kutoroka,
na mie nina mtu huko ambaye anahusika 100% kwa masuala ya immigration na
ukimbizi nakuhakikishia hatapata hilo analotaka niayetu arudi nyumbani
kwanza then afanye mipango yake mingine,  Mabula naomba hao waliokuwa
wanakuja kumchukua na kmtembezanao wabanwe…. Lazima kuna aliiyemshawishi
hayo basi bora angemwacha motto malaika wa watu anaende kuishi kama
ombaomba kweli ??????
 
 
Mabula tunza documents zaote na nakuomba wasilisha hili kunapotakiwa,
nitakwenda kwenye ofisi za hii radio kujaribu kumpata maduhu, najua unasoma
email hii labda kama nawe utakimbia Tanzania, nampa taarifa pia balozi wetu
wa Canada kwa kukazia maana hatutaki aibu hii irudie kwa wengine…
tunahitaji kujenga na sio kubomoa, ametuharibia kabisa kweli nimekasirika
sana
Ila mungu aliye sirini atakusaidia Mabula na family nia yenu ni nzuri na
daima mungu atawazidishia,
 
 
Wanajamii ndio watanznaia tulivyo uaminifu zero kabisa………………..
 
 
 
JULIETH MULUNGI MUTABIILWA
MUHIMBILINATIONAL HOSPITAL,
P. O. BOX 65000,
DAR ES SALAAM
Tel: 2151367-9, Mob: 0754 279974, 0716 218 167
Email: julieth.mutabilwa@mnh.or.tz
            mulungim@yahoo.com
            juliethmuta@gmail.com

________________________________

From:Mabula Sabula [mailto:mabsab@hotmail.com]
Sent: 19 July 2012 21:27
To: tan_toronto@yahoogroups.com
Cc: maduhu@gmail.com; frdamian@lycos.com; msafirimhehe@shaw.ca; Joha
Halima; terijoan@hotmail.com; zmtubwi@yahoo.com; Tracy Kasayoga; Ernie
Mwanri; Wambura; salma mwahu; ramadhani@sympatico.ca; Wanabidii Tanzania;
Julieth Mutabilwa
Subject: Final Update - Beatrice Massawe na Mtoto Mgonjwa Precious Maduhu -
July 19, 2012
 
 
Ndugu Watanzania,
 
Za leo popote mlipo? Sisi salama. Sahamani sana kwa kuchelewesha kutoa
"final update" kuhusu mgeni wetu Mama Precious na "mjukuu wangu Precious"
hapo juu, ambaye alikuwa aondoke jana!
 
Kwanza kabisa napenda kumushukuru Mwenyezi Mungu na Watanzania wote hapa
Toronto kwa ushirikiano wenu mzuri ambao umefanikisha  zoezi la Mtoto
Precious Maduhu, mtoto wa  Jumanne Maduhu, Mtangazaji wa Morning Star
Radio, FM 105.3, Dar es Salaam.
 
Kama mnavyojua, Mtoto Precious na Mama yake Beatrice wamekuwa hapa kwa
matibabu ya mtoto tangu kama miezi mitatu sasa. Kwa ushirikiano mkubwa, wa
Watanzania wote, matibabu yamekwisha na yamefanikiwa vizuri na kupata
"dischrage " ya hospitali kurudi Tanzania. Walikuwa waondoke Toronto kurudi
Dar es Salaam July 28, 2012. Lakini safari ilibadilishwa ili waondoke jana,
July 18, 2012 na KLM kushukia KIA, ili Mama Precious ahudhurie msiba wa
Mama yake mzazi uliotokea Dar es Salaam Ijumaa iliyopita na mazishi Moshi.
 
Ndugu zangu, naandika na majonzi makubwa , Mama Precious na Mtoto
hawakuondoka jana. Siku ya Jumanne, July 17, 2012, kati saa sita na saa
saba mchana, Mama Precious alimtaarifu mke wangu anaenda kufua. Toka muda
huo hakurudi nyumbani pamoja na jitihada za kumupigia simu na meseji nyingi
kwamba kuna wageni wanamsubiri hapa nyumbani  kumupa pole lakini hakujibu
simu wala meseji. Na huo ndio ukawa mwisho wa kuonekana hapa nyumbani kwetu.
 
Ndugu zangu Watanzania, baada ya kujaribu kuwapigia wote ambao nilijua wako
karibu naye na ambao humchukua mara kwa mara kumutembeza, nao wakasema
hawajui na kwa siku hiyo hawakuwa naye. Mpaka  saa tatu usiku simu alikuwa
hapokei simu wala hajibu meseji, ndiyo nikaanza kuhangaika kumutafuta.
 
Jana Mungu akajalia tukapata taarifa kamili baada ya kuhangaika huko na
kule. Mama Precious kashawishiwa na watu (majina tunayo) na mume wake na
familia yake abaki hapa kinyume cha sheria kwa kuomba hifadhi ya ukimbizi
(Refugee Claim), July 5, 2012 kutoka Serikali ya Canada. Swali hili
litaanzwa kusikilizwa baada ya siku 30 huko Etobicoke, Ontario. Hiyo ndiyo
taarifa fupi ya hatma ya ya Mama Precious na Mtoto. Kwa kifupi niliumia na
kuhuzunika  kwamba kwa muda wote huo nimekaa na Mama Precious kama Mtoto
wangu , halafu ananizunguka. Nimesumbuka sana kubadilsha tiketi na mambo
mengine hospitali yakamilike ili aondoke jana kujumuika na familia  kwa 
msiba uliowapata, kumbe mwenzangu ananiona mimi mjinga; kwani Mumewe
Jumamme Madudu na familia yake yote Tanzania ilikuwa inajua. Hili
liliniumiza.
 
Kuna mizigo yake aliyoiacha nyumbani. Jana baada ya kupata uhakika na
kujaribu mara nyingi simu  yake bila mafanikio, tukaamue kwamba hataki
mawasiliano na sisi ya aina yoyote na kwamba alivyoviacha siyo vya muhimu
kwake. Pia nilimuambia mume wake kwamba Mama Precious kaacha mizigo na
naomba anijulishe maamuzi yake nifanye nini , naye kimya. Kwa hiyo maamuzi
niliyoyafanya  leo asubuhi kabla ya kwenda kazini nilipeleka kwenye
masanduku mbali mbali ya sadaka.
Kwa kifupi mimi nimemaliza. Namtakia kila la heri.
 
N.B. Hospitali watapeleka mawasiliano ya kufunga jalada kwa Baba Precious
kwa sababu hawana contact za Mama Precious. Kwa Watanzania ambao  maombi
yao yalikuwa kwenye "pipeline" nitawaandikia barua binafsi ya kuwaeleza
kwamba, huduma hii nimesimamisha mpaka uchunguzi na "hearing" zote
zimekamilika kuhusu Mama Precious. Ubalozi wa Canada Nairobi umejulishwa.
Nategemea ushikiano mzuri kati ya serikali ya Tanzania, Kenya na Canada
kulimaliza swali hili haraka ikizingatia sheria na haki za wote na kila
wakati, maslahi ya Mtoto wetu Precious yatakuwa mbele.
 
Nawatakia siku njema na ahsanteni tena.
 
Mungu atubariki sote.
 
 
Mabula Sabula
 
 
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

__._,_.___
Reply to sender | Reply to group | Reply via web post | Start a New Topic
Messages in this topic (1)
Recent Activity:
Visit Your Group

Switch to: Text-Only, Daily Digest • Unsubscribe • Terms of Use
.

__,_._,___

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




--------------------------------------------------------------------
mail2web LIVE – Free email based on Microsoft® Exchange technology -
http://link.mail2web.com/LIVE


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

No comments:

Post a Comment