Tuesday, 10 July 2012

Re: [wanabidii] WAFANYAKAZI TAZARA WANAISHIJE?

Ndg Philip ukiona hivyo sio kwamba wameingia polini bali wanatumia njia mbadala (aka kula ofisini kwako)  ili kujikimu. Bado tuna sadari ndefu ya ujamaa.

Masedon B Bagile
P O Box 1280 Dar es Salaam
Mobile: +255 718 31 41 58
+255 762 95 49 21

--- On Mon, 7/9/12, Philip Maziku <philipmaziku@gmail.com> wrote:

From: Philip Maziku <philipmaziku@gmail.com>
Subject: [wanabidii] WAFANYAKAZI TAZARA WANAISHIJE?
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, July 9, 2012, 11:38 PM

Fikiria mtu mshahara wa mwisho alipata mwezi March 2012!Siku zinaenda
hata fununu tu kwamba utatoka lini haijulikani.Hivi viongozi wa
Shirika hili wanalitakia mema?Ukiona watu hawalalamiki sana ujue watu
washaingia porini kujikimu!

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

No comments:

Post a Comment