Hawa watu wanadhani Watanzania wote bado wamelala, hawajui kuwa ni wachache tu ndo wamelala. Lakini hata hawa waliolala wameanza kuamshwa na walioamka, si wakati tena wa zama zile za wewe ufanye kazi, matumizi upangiwe. Sina hakika kama kweli hii mifuko inaendeshwa kiuanachama. Wanachama gani hao wasioshirikishwa katika maamuzi yanayohusu pesa yao? Inatia hasira sana. Kunawatu wanaofaidi na hii mifuko, si wanachama. Ndo maana waiweka mifuko hii kwenye mikataba(mikataba ya serikali), ili waendelee kufaidi. Vitega uchumi wanavyoweka kama majumba ni mali ya nani? Faida inayopatikana inakwenda wapi? Maswali mengi sana. Wanachama hawajashirikishwa, kama faida watagawanaje? Pesa yako ukiweka huko haina faida, zaidi sana mafao yako ni chini ya kiwango ulichoweka? Ajabu eeh. Inauma sana kwa kweli, sioni faida ya mifuko yetu hapa kwetu.
-----Original message-----
From: Ipyana Lwinga
Sent: 22/07/2012, 14:16
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] UFAFANUZI KUHUS FAO LA KUJITOA KATIKA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
Raymond,
Kiukweli hawajui kitu kuhusu ajira, na si ndio huyu alisema kuwa ajira
zimeongezeka? Hao si waliojiongezea siting allowance bungeni? Hao si
ndio wanaokopeshwa ma-vx, mafuta bure ya kutesea mitaani na club na
sehemu za starehe? Hao si ndo wanaokaa bungeni na kipiga meza tu na
kuunga mkono hoja hata kama ni ya kijinga? Hao si ndo wanaopenda
kuimba taarabu bungeni na kuacha kujadili mambo ya msingi yanayolihusu
taifa? Hao si ndo wanajiona kuwa ndo wenye pesa kuliko mtu mwingine
yeyote?
hawaweziona ile- burden tunayoipata sie tunaofanya kazi wa mikataba.
Na hata kupitisha kitu kama hicho bila kutushirikisha ni DHARAU sana,
mimi sikubali unipangie matumizi ya pesa yangu na wala kunipangia kuwa
siruhusiwi kuchukua hadi nitakapofikisha umri wa kustaafu! Hii ni
dharau kubwa.
Hapa bila kuingia barabarani, tutashikwa hadi sehemu zisizostahili
kabisa alafu tukichekelea tu.
Ipyana
--
Ipyana Lwinga
Shinyanga Mjini
Email: ipyanalwinga@gmail.com
Mob: +255 757 065577
Skype: ipyana.plwinga
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
No comments:
Post a Comment