Jane and KEMS:
Kwanza napenda niwape tu pongezi kwa kutoa maoni yenu, nadhani ni haki yenu. Suala la mgomo wa madaktari sijui kama kuna mtu yuko sawa anapenda wagome na watu wakose huduma au wafe, huyo atakuwa sawa na wewe Ezekiel ulofurahia ajali ya Selasini kwa sababu ni mwanasiasa tu au ni mpinzani. Nilikuandikia uombe radhi hujafanya hivo na wewe mtu mzima, ulikaa kimya. Mimi siungi mkono mgomo wa aina yoyote, ila napenda watu wapate haki, wasionewe na serikali.. Hilo ndo muhimu kwangu.. Maana lazima tukubali kuwa hapa serikali handling ya huu mgomo sio sawa. Nchi hii tunaweza walipa wafanyakazi wote wa umma vizuri tena kwa hela zetu wenyewe, kwa kodi zetu. Ni mipango tu.. Na hasa hasa tukiwabana wala rushwa, wapenda per diems, wale wanaojitajirisha kwa mali za umma.. Hilo ndio la kujadili.
Pili: Kwa wale wanao waombea ubaya wenzao sijui ubinadamu gani walio nao. Hawa vijana, hata wakifutiwa usajili, haitasaidia kitu, watakuja wengine, ni kama kuua mtu ukadhani umemaliza. Hata wale wanaopigana na Al Qaida, kwa kumuua Osama Bin Laden hawawezi kuumaliza ugaidi, maana hii ni imani.. haihitaji kiongozi. Hawa vijana wamejitoa kwa niaba ya vijana wengine, kwahiyo, na nitaeleza juu ya sheria hiyo hapo chini.. Kufuata sheria ni sawa, serikali haijakosea, lakini lengo ni nini hasa? Lakini jua kuwa serikali haiendeshiw kwa sehria tu, inaendeshwa na siasa pia.. maana wapiga kura ni sisi.. It is indeed legally right, but is it moral? Law doesnt have to be moral, but it has political costs. My question: is it politically expedient especially now?
Tatu: ni kweli kwamba sheria ifuatwe, hakuna mwenye ubishi juu ya hilo, sasa wewe unasema washitakiwae juu ya kusababisha mauaji bila kukusudia, ni sawa.. Lakini je, wagonjwa wanaoteseka na kufa kwa sababu ya kukosa dawa, ambulance, huduma za kawaida tu.. nao tuwafanyeje? tumshitaki nani?
Je wale traffic police wanaoruhusu gari mbovu, walevi, na hasa mabasi yaendayo kasi wananchi wanapoteza maisha tumshitaki nani kwa manslaughter? mifano iko mingi tu.
Tujaribu kutibu tatizo, tusikae na kuanza kudhani kuwa serikali haina uwezo, ikiamua inaweza, isiweze kwenye kushtaki tu.. Na hizi sio kesi kubwa, kwahiyo, mimi sishabikii ila nadhani ni vema serikali ikafanya kila iwezalo kuondoa kero za watumishi wake wakiwemo madaktari. Si haki kumlipa mtu mishahara wanayolipwa huku wakijua kuwa haiwatoshi, hawa nao ni watu, kuna wengi wao ni waadilifu, wale wasio na mianya ya rushwa.
Mchana mwema.
LR
Date: Wed, 11 Jul 2012 11:18:42 +0100
From: ekunyaranyara@yahoo.co.uk
Subject: Re: [wanabidii] Re: Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional Registration).
To: wanabidii@googlegroups.com
From: Jane Mwakalukwa <mwakalukwa@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, 11 July 2012, 0:10
Subject: [wanabidii] Re: Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional Registration).
Kila Fani au tasnia ina sheria na muongozo,msilaumu tu serikali kwa
hatua waliyoichukua ktk kufuata sheria iliyopo kupitia vyombo husika
na sheria kufuata mkondo wake.
Kwanza naweza kusema wamekuwa wavumilivu sana na wengine mkauita
UDHAIFU,ni uamuzi mgumu kwa serikali kuuchukuwa DHIDI ya watu
wake ,Lakini was the right thing to do........................,sas a
wafuate sheria kuomba tena hizo leseni nafikiri milango haijafungwa
kabisa.
Na hata wakiamua kwenda kufanya kazi nchi nyingine bado wataomba
leseni kwa kufuata sheria za nchi husika na hawa itabidi waombe
kufanya Intern ,kwani hawakumaliza intern sasa sijui wapi watakuajiri
hata hujamaliza Intern!
On Jul 11, 9:50 am, Jones Nyakwana <jonesn1...@yahoo.co.uk> wrote:
> Kazi kweli kweli, hili ni kaburi lingine la CCM
>
> --- On Wed, 11/7/12, Juma Mzuri <jumamz...@gmail.com> wrote:
>
> From: Juma Mzuri <jumamz...@gmail.com>
> Subject: [wanabidii] Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional Registration).
> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, 11 July, 2012, 7:15
>
> Baraza la Madaktari Tanganyika limepokea malalamiko kutoka kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwamba, baadhi ya Madaktari waliopata usajili wa muda ili kuwawezesha kufanya mafunzo kwa vitendo(Internship), waligoma kutoa huduma kwa wagonjwa kati ya tarehe 23 na 29 mwezi Juni 2012. Madaktari hao walipangiwa kutoa huduma kwa wagonjwa katika hospitali za Muhimbili, K.C.M.C, Rufaa Mbeya, Bugando, Amana, Temeke,St. Francis- Ifakara, Mwananyamala, Sekou Toure, Haydom naDodoma. Kufuatia mgomo huo, uongozi wa hospitali husika uliwaandikia barua iliyomtaka kila daktari aliyeshiriki kwenye mgomo kuripoti kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
>
> Katika hatua nyingine, Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii aliwasilisha malalamiko kwenye Baraza la Madaktari Tanganyika kwamba,Madaktari waliogoma walikataa kutoa huduma za kitaalamu, ikiwa ni wajibu wao, na kwamba kitendo hicho kilihatarisha maisha ya wagonjwa katika hospitali husika na pia ni kinyume na maadili ya taaluma ya udaktari.
>
> Kufuatia malalamiko hayo, Msajili wa Baraza la Madaktari Tanganyika,alimwandikia kila daktari aliyelalamikiwa Taarifa ya Kusudio la KufanyaUchunguzi (Preliminary Examination) dhidi yake, juu ya malalamiko yaliyowasilishwa na Katibu Mkuu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
>
> Baraza la Madaktari Tanganyika limebaini kuwa, kwa mujibu wa kifungu cha 15(2) cha Sheria ya Madaktari, Sura ya 152, Madaktari waliokuwa kwenye mgomo na ambao kwa sasa wameondolewa katika hospitali walizokuwa wakifanya mafunzo kwa vitendo, wamepoteza sifa za kupata usajili wa muda(Provisional Registration).
>
> Kwa kuzingatia masharti ya Sheria kuhusu kupata usajili wa muda, Baraza laMadaktari Tanganyika limeridhika kwamba madaktari wote ambao majina yao yameorodheshwa katika Taarifa hii, wamepoteza sifa na kwa sababu hiyo,usajili wao umesitishwa kuanzia tarehe 11 Julai, 2012. Madaktari wote wanaohusika wanatakiwa kurejesha hati za usajili wa muda kwenye Ofisi ya Msajili wa Madaktari kabla ya tarehe 17 Julai, 2012.
>
> S/NO
>
> JINA
>
> REG. NO.
>
> MUHIMBILI
>
> 1
>
> Dr. Dickson N. Sahini
>
> 363
>
> 2
>
> Dr. Elphas G. Mrita
>
> 4902
>
> 3
>
> Dr. Anastazia E. Komba
>
> 4973
>
> 4
>
> Dr. Anna Lwemunge
>
> 5086
>
> 5
>
> Dr. Mariam Amour
>
> 4974
>
> 6
>
> Dr. Jackline Matowo
>
> 5372
>
> 7
>
> Dr. Baya Kisiwa
>
> 4970
>
> 8
>
> Dr. Lilian B. Komba
>
> 4871
>
> 9
>
> Dr. Pavina Kazaura
>
> 5089
>
> 10
>
> Dr. Herifrid Kimambo
>
> 5377
>
> 11
>
> Dr. Kokuhabwa Mukurasi
>
> 5095
>
> 12
>
> Dr. Evance Godfrey
>
> 5059
>
> 13
>
> Dr. Emmanuel K. Luchagula
>
> 4874
>
> 14
>
> Dr. Florence Mtei
>
> 5094
>
> 15
>
> Dr. Alfonse Moyo
>
> 5097
>
> 16
>
> Dr. Alkwinus Kabwogi
>
> 4889
>
> 17
>
> Dr. Rebeca A. Kalikawe
>
> 4962
>
> 18
>
> Dr. Aida O. Salum
>
> 5368
>
> 19
>
> Dr. Aron Aron
>
> 5345
>
> 20
>
> Dr. Sabza Masoud
>
> 4956
>
> 21
>
> Dr. Ramadhani Kabota
>
> 4861
>
> 22
>
> Dr. Norbert Benjamin
>
> 23
>
> Dr. Victroia Paul
>
> 5084
>
> 24
>
> Dr. Godfery Chuwa
>
> 5097
>
> 25
>
> Dr. Goodluck Mrosso
>
> 356
>
> 26
>
> Dr. Luciana Albert
>
> 375
>
> 27
>
> Dr. Gendagenda Mkombozi
>
> 372
>
> 28
>
> Dr. Lucas Mselle
>
> 4919
>
> 29
>
> Dr. Edna Mwakyembe
>
> 365
>
> 30
>
> Dr. Haruna Rashid
>
> 552
>
> 31
>
> Dr. Sara Lumumanji
>
> 5006
>
> 32
>
> Dr. Paul Zacharia
>
> 4858
>
> 33
>
> Dr. Abza Saka
>
> 4981
>
> 34
>
> Dr. Baraka Maige
>
> 5361
>
> 35
>
> Dr. Wilhelmuss I. Mauka
>
> 4979
>
> 36
>
> Dr. Deogratius Mally
>
> 4960
>
> 37
>
> Dr. Ahmad Fadhil Kombo
>
> 4868
>
> 38
>
> Dr. Iman Bawazir
>
> 4799
>
> 39
>
> Dr. Frank Kagoro
>
> 5046
>
> 40
>
> Dr. Baraka Yessaya
>
> 5058
>
> 41
>
> Dr. Naki Kiroga
>
> 5347
>
> 42
>
> Dr. Bakari A. Gillal
>
> 4959
>
> 43
>
> Dr. Linda August
>
> 5343
>
> 44
>
> Dr. Shah Alkash
>
> 342
>
> 45
>
> Dr. Chihoma Mhaki
>
> 358
>
> 46
>
> Dr. Gloria Leo
>
> 337
>
> 47
>
> Dr. Mohamed M. Ally
>
> 48
>
> Dr. Ahmed Kombo
>
> 5389
>
> 49
>
> Dr. Steven Nandi
>
> 5030
>
> 50
>
> Dr. Moses J. Karashani
>
> 5040
>
> 51
>
> Dr. Innocent Mpuya
>
> 5371
>
> 52
>
> Dr. Octar Javett
>
> 5048
>
> 53
>
> Dr. Juma Mbugi
>
> 5018
>
> 54
>
> Dr. Neema Nalitolela
>
> 4966
>
> 55
>
> Dr. John Nkenda
>
> 4963
>
> 56
>
> Dr. Ngutuni Jackson
>
> 5005
>
> 57
>
> Dr. Malava F. Raphael
>
> 4982
>
> 58
>
> Dr. Masawa Nyamunjeku
>
> 5000
>
> 59
>
> Dr. Shubi Matovelo
>
> 4976
>
> 60
>
> Dr. Winnie Temu
>
> 4965
>
> 61
>
> Dr. Sarah Shiraz
>
> 5024
>
> 62
>
> Dr. Hafsa Hawesi
>
> 5369
>
> 63
>
> Dr. Anthony Kingilo
>
> 5330
>
> 64
>
> Dr. Elikanaar Urio
>
> 5336
>
> 65
>
> Dr. Zainabu Mkinde
>
> 5367
>
> 66
>
> Dr. Shau Hamdan
>
> 5071
>
> 67
>
> Dr. Cristogone Justine
>
> 4968
>
> 68
>
> Dr. Conrade Ngonyani
>
> 4865
>
> 69
>
> Dr. Deo B. Mwanakulya
>
> 4873
>
> 70
>
> Dr. Lucy Laurent
>
> 4872
>
> 71
>
> Dr. Khadija Juma
>
> 4969
>
> 72
>
> Dr. Valentino Koja
>
> 5338
>
> 73
>
> Dr. Aloyce F. Lengasia
>
> 4977
>
> 74
>
> Dr. Zyleen Kasamali
>
> 4888
>
> 75
>
> Dr. Mwajuma Mustapha
>
> 4971
>
> 76
>
> Dr. Mariam Hamad
>
> 4859
>
> 77
>
> Dr. Francis Mwimazi
>
> 4967
>
> 78
>
> Dr. Hassan Barnabas
>
> 5364
>
> 79
>
> Dr. Grace Mmasi
>
> 5045
>
> 80
>
> Dr. Mohamed Mzige
>
> 4860
>
> 81
>
> Dr. Elias Paschal
>
> 4961
>
> 82
>
> Dr. Farida Mtonga
>
> 5002
>
> 83
>
> Dr. Gabriel Mbwete
>
> 5337
>
> 84
>
> Dr. Magdalena Dennis
>
> 4910
>
> 85
>
> Dr. Ahmed Ahmed
>
> 4798
>
> 86
>
> Dr. Joseph Shaban
>
> 5408
>
> 87
>
> Dr. Prudence Premier
>
> 5409
>
> 88
>
> Dr. Malaja Ng'wigulu
>
> 5019
>
> 89
>
> Dr. Biswaro Malima
>
> 4975
>
> 90
>
> Dr. Isaac Mlay
>
> 5007
>
> 91
>
> Dr. Raymond Samwel
>
> 5017
>
> 92
>
> Dr. Michael Kiremeji
>
> 5376
>
> 93
>
> Dr. Viviene Mlawi
>
> 5000
>
> 94
>
> Dr. John Jananga
>
> 5380
>
> 95
>
> Dr. Said Ibrahim
>
> 5020
>
> 96
>
> Dr. Alphonce Simbila
>
> 5047
>
> 97
>
> Dr. Catherine Mlowe
>
> 5044
>
> 98
>
> Dr. Barbara Mwaipola
>
> 4964
>
> 99
>
> Dr. Joel J. James
>
> 5129
>
> 100
>
> Dr. Bright Sangiwa
>
> 5053
>
> 101
>
> Dr. Evance Alexander
>
> 4887
>
> 102
>
> Dr. Martha Nkya
>
> 5335
>
> 103
>
> Dr. Camilla Kinemo
>
> 5406
>
> KCMC
>
> 1
>
> Dr. Malkiadi P. Mbota
>
> 5208
>
> 2
>
> Dr. Wilfred j. Meza
>
> 4900
>
> 3
>
> Dr. Shomari O. Masenga
>
> 4983
>
> 4
>
> Dr. Jamila J. Shemweta
>
> 5009
>
> 5
>
> Dr. Godbless E. Massawe
>
> 5026
>
> 6
>
> Dr. Rahel T. Mwavika
>
> 4879
>
> 7
>
> Dr. Eliakimu P. Kapyolo
>
> 5032
>
> 8
>
> Dr. Godfrey N. Barabona
>
> 5051
>
> 9
>
> Dr. Aristides K. Raphael
>
> 4984
>
> 11
>
> Dr. Emmanuel M. Manyonyi
>
> 5077
>
> 12
>
> Dr. Herielly O. Msuya
>
> 5118
>
> 14
>
> Dr. Noel J. Makundi
>
> 5142
>
> 15
>
> Dr. Maxigama Y. Ndosi
>
> 5107
>
> 16
>
> Dr. Patrick A. Karua
>
> 5137
>
> 17
>
> Dr. George C. Mgalega
>
> 5155
>
> 18
>
> Dr. Juma Adinan Juma
>
> 5151
>
> 19
>
> Dr. Kenneth J. Mlay
>
> 5158
>
> 20
>
> Dr. Njengo B. Mbanga
>
> 5145
>
> 21
>
> Dr. Yesige A. Mutajwaa
>
> 5171
>
> 22
>
> Dr. Mbazi D. Shemwetta
>
> 5139
>
> 23
>
> Dr. Mwanaidi S. Mkwizu
>
> 5141
>
> 24
>
> Dr. Peter E. Ng'wamkai
>
> 5109
>
> 25
>
> Dr. Tumaini D. Ndibwire
>
> 5131
>
> 26
>
> Dr. Lucas D. Ngamtwa
>
> 5161
>
> 27
>
> Dr. Goodluck J. Ulomi
>
> 5143
>
> 28
>
> Dr. Juma M. Nahonyo
>
> 5150
>
> 29
>
> Dr. Emmanuel S. Masatu
>
> 4899
>
> 30
>
> Dr. Angela E. Pallangyo
>
> 5110
>
> 31
>
> Dr. Casto E. Mlay
>
> 5182
>
> 32
>
> Dr. Birjna A. Hirani
>
> 5152
>
> 33
>
> Dr. Anette J. Kessy
>
> 5178
>
> 34
>
> Dr. Ester P. Lazaro
>
> 5190
>
> 35
>
> Dr. Mugisha N. Nkoronko
>
> 5115
>
> 36
>
> Dr. Sofia A. Ottaru
>
> 5146
>
> 37
>
> Dr. Raya Y. Mussa
>
> 5132
>
> 38
>
> Dr. Regina Y. Msanga
>
> 5148
>
> 39
>
> Dr. Delfina R. Msanga
>
> 5147
>
> 40
>
> Dr. Allen G. Kangarawe
>
> 5138
>
> 41
>
> Dr. Sia C. Kiwia
>
> 5198
>
> 42
>
> Dr. Peter E. Kipiki
>
> 5144
>
> 43
>
> Dr. Avelina R. Kimaryo
>
> 5177
>
> 44
>
> Dr. Peter F. Mwandiga
>
> 5075
>
> 45
>
> Dr. Daimon B. Mwasamila,
>
> 5210
>
> 46
>
> Dr. Emmanuel D. Lema
>
> 5185
>
> 47
>
> Dr. Karungi J. Karoma
>
> 5130
>
> 48
>
> Dr. Fortunatus m. Ibreck
>
> 5199
>
> 49
>
> Dr. Sadiq S. Dawood
>
> 5121
>
> 50
>
> Dr. Witness M. Mchwampaka
>
> 5186
>
> 51
>
> Dr. Azza A. Naif
>
> 5111
>
> 52
>
> Dr. Malkiadi P. Mbota
>
> 5208
>
> 53
>
> Dr. Mariam T. Johari
>
> 5013
>
> 54
>
> Dr. Daniel M. Chochole
>
> 5162
>
> 55
>
> Dr. Oliver T. Masoy
>
> 5197
>
> 56
>
> Dr. Gerald C. Robi
>
> 4927
>
> 57
>
> Dr. Erasto S. Odindo
>
> 5229
>
> 58
>
> Dr. Kasirye J. Collins
>
> 5243
>
> 59
>
> Dr. George D. Dilunga
>
> 5239
>
> 60
>
> Dr. Emmanuel S. Maro
>
> 5240
>
> 61
>
> Dr. Irene R. Haule
>
> 5242
>
> 62
>
> Dr. Godfrey A. Kisuma
>
> 5246
>
> 63
>
> Dr. Frank M. Sudai
>
> 5231
>
> 64
>
> Dr. Annette A. Marandu
>
> 5196
>
> 65
>
> Dr. Joseph E. Soka
>
> 66
>
> Dr. Hans Mpimilwa
>
> MBEYA REFFERAL
>
> 1
>
> Dr. Msafiri Lewanga
>
> 5069
>
> 2
>
> Dr. Regan Rajuu
>
> 5224
>
> 3
>
> Dr. Alex Mwakyandile
>
> 5311
>
> 4
>
> Dr. Osmundi Dyegula
>
> 4954
>
> 5
>
> Dr. Ireene Kato
>
> 5012
>
> 6
>
> Dr. Lutaragula Masili
>
> 5067
>
> 7
>
> Dr. Nindwa Maduhu
>
> 5209
>
> 8
>
> Dr. Noel Dominic Swai
>
> 4952
>
> 9
>
> Dr. Masanja Erasto Kasoga
>
> 5100
>
> 10
>
> Dr. Mwanahamisi Japhary
>
> 4768
>
> 11
>
> Dr. Nuru Mwambola
>
> 5100
>
> 12
>
> Dr. Jane Maganga
>
> 5174
>
> 13
>
> Dr. Karim Mohamed
>
> 4767
>
> 14
>
> Dr. Joyce T. Massaro
>
> 5195
>
> 15
>
> Dr. Kanjanja A. Amas
>
> 5213
>
> 16
>
> Dr. Joseph Msemwa
>
> 5116
>
> 17
>
> Dr. Jonas Lulandara
>
> 4851
>
> 18
>
> Dr. Kulwa Itambula Joseph
>
> 5173
>
> 19
>
> Dr. Josephat Mapunda
>
> 4890
>
> 20
>
> Dr. Joseph Antony Legembo
>
> 5392
>
> 21
>
> Dr. Saili Mbukwa
>
> 5381
>
> 22
>
> Dr. Samwel Cherubini Mkumbe
>
> 5395
>
> 23
>
> Dr. Serephine J. Mrosso
>
> 4950
> ...
>
> read more »
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Jane
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote kwamba hakukuwa na njia ya Serikali kufanya isipokuwa kufuata taratibu zote zinzotakiwa kisheria ili jambo hili liweze kuisha. Watu wengine hapa wanataka hata mfano mtoto wako akikukosea adabu eti umuache tu hakuna kitu kama hicho katika kuendesha nchi.
Kama kuna mtu anafikiri uamuzi huo umemwonea bado kuna nafasi ya kukata rufaa kwenye Baraza lao hilo hilo au sehemu nyingine za vyombo vya sheria. Nawasihi muache vijana kuimbishwa wimbo ambao watunzi ni wengine na wala hamjui makusudi yao.
Pengine mimi nafikiri kwa sasa, Serikali ni wakati mwafaka pia kuangalia sheria zinasemaje kwa vyombo vya habari vilivyosaidia sana kuendeleza mgogoro huu na pia watu au vikundi vya kijamii vilivyoshadidia mgogoro huu. Nawao naomba waunganishwe katika kesi ya mauaji bila kukusudia ya watanzania ambao wamekosa huduma kwa kuwachochea madaktari kugoma. (Kimsingi walikuwa wakiwataka na kuwashawishi (wavunje sheria) waendelee kugoma tu ili watimiziwe haja zao hata baada ya mahakama kuamuru wasigome).
Hizi ndivyo ninavyofikiri kwa sasa kwa kuwa nimeumizwa sana na mgomo huu wa sasa kama ule wa kwanza ulivyoniumiza pia.
K.E.M.S.
From: Jane Mwakalukwa <mwakalukwa@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, 11 July 2012, 0:10
Subject: [wanabidii] Re: Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional Registration).
Kila Fani au tasnia ina sheria na muongozo,msilaumu tu serikali kwa
hatua waliyoichukua ktk kufuata sheria iliyopo kupitia vyombo husika
na sheria kufuata mkondo wake.
Kwanza naweza kusema wamekuwa wavumilivu sana na wengine mkauita
UDHAIFU,ni uamuzi mgumu kwa serikali kuuchukuwa DHIDI ya watu
wake ,Lakini was the right thing to do........................,sas a
wafuate sheria kuomba tena hizo leseni nafikiri milango haijafungwa
kabisa.
Na hata wakiamua kwenda kufanya kazi nchi nyingine bado wataomba
leseni kwa kufuata sheria za nchi husika na hawa itabidi waombe
kufanya Intern ,kwani hawakumaliza intern sasa sijui wapi watakuajiri
hata hujamaliza Intern!
On Jul 11, 9:50 am, Jones Nyakwana <jonesn1...@yahoo.co.uk> wrote:
> Kazi kweli kweli, hili ni kaburi lingine la CCM
>
> --- On Wed, 11/7/12, Juma Mzuri <jumamz...@gmail.com> wrote:
>
> From: Juma Mzuri <jumamz...@gmail.com>
> Subject: [wanabidii] Majina ya Madaktari waliokuwa wanafanya Internship waliopoteza Sifa za Kupata Usajili wa Muda (Provisional Registration).
> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, 11 July, 2012, 7:15
>
> Baraza la Madaktari Tanganyika limepokea malalamiko kutoka kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwamba, baadhi ya Madaktari waliopata usajili wa muda ili kuwawezesha kufanya mafunzo kwa vitendo(Internship), waligoma kutoa huduma kwa wagonjwa kati ya tarehe 23 na 29 mwezi Juni 2012. Madaktari hao walipangiwa kutoa huduma kwa wagonjwa katika hospitali za Muhimbili, K.C.M.C, Rufaa Mbeya, Bugando, Amana, Temeke,St. Francis- Ifakara, Mwananyamala, Sekou Toure, Haydom naDodoma. Kufuatia mgomo huo, uongozi wa hospitali husika uliwaandikia barua iliyomtaka kila daktari aliyeshiriki kwenye mgomo kuripoti kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
>
> Katika hatua nyingine, Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii aliwasilisha malalamiko kwenye Baraza la Madaktari Tanganyika kwamba,Madaktari waliogoma walikataa kutoa huduma za kitaalamu, ikiwa ni wajibu wao, na kwamba kitendo hicho kilihatarisha maisha ya wagonjwa katika hospitali husika na pia ni kinyume na maadili ya taaluma ya udaktari.
>
> Kufuatia malalamiko hayo, Msajili wa Baraza la Madaktari Tanganyika,alimwandikia kila daktari aliyelalamikiwa Taarifa ya Kusudio la KufanyaUchunguzi (Preliminary Examination) dhidi yake, juu ya malalamiko yaliyowasilishwa na Katibu Mkuu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
>
> Baraza la Madaktari Tanganyika limebaini kuwa, kwa mujibu wa kifungu cha 15(2) cha Sheria ya Madaktari, Sura ya 152, Madaktari waliokuwa kwenye mgomo na ambao kwa sasa wameondolewa katika hospitali walizokuwa wakifanya mafunzo kwa vitendo, wamepoteza sifa za kupata usajili wa muda(Provisional Registration).
>
> Kwa kuzingatia masharti ya Sheria kuhusu kupata usajili wa muda, Baraza laMadaktari Tanganyika limeridhika kwamba madaktari wote ambao majina yao yameorodheshwa katika Taarifa hii, wamepoteza sifa na kwa sababu hiyo,usajili wao umesitishwa kuanzia tarehe 11 Julai, 2012. Madaktari wote wanaohusika wanatakiwa kurejesha hati za usajili wa muda kwenye Ofisi ya Msajili wa Madaktari kabla ya tarehe 17 Julai, 2012.
>
> S/NO
>
> JINA
>
> REG. NO.
>
> MUHIMBILI
>
> 1
>
> Dr. Dickson N. Sahini
>
> 363
>
> 2
>
> Dr. Elphas G. Mrita
>
> 4902
>
> 3
>
> Dr. Anastazia E. Komba
>
> 4973
>
> 4
>
> Dr. Anna Lwemunge
>
> 5086
>
> 5
>
> Dr. Mariam Amour
>
> 4974
>
> 6
>
> Dr. Jackline Matowo
>
> 5372
>
> 7
>
> Dr. Baya Kisiwa
>
> 4970
>
> 8
>
> Dr. Lilian B. Komba
>
> 4871
>
> 9
>
> Dr. Pavina Kazaura
>
> 5089
>
> 10
>
> Dr. Herifrid Kimambo
>
> 5377
>
> 11
>
> Dr. Kokuhabwa Mukurasi
>
> 5095
>
> 12
>
> Dr. Evance Godfrey
>
> 5059
>
> 13
>
> Dr. Emmanuel K. Luchagula
>
> 4874
>
> 14
>
> Dr. Florence Mtei
>
> 5094
>
> 15
>
> Dr. Alfonse Moyo
>
> 5097
>
> 16
>
> Dr. Alkwinus Kabwogi
>
> 4889
>
> 17
>
> Dr. Rebeca A. Kalikawe
>
> 4962
>
> 18
>
> Dr. Aida O. Salum
>
> 5368
>
> 19
>
> Dr. Aron Aron
>
> 5345
>
> 20
>
> Dr. Sabza Masoud
>
> 4956
>
> 21
>
> Dr. Ramadhani Kabota
>
> 4861
>
> 22
>
> Dr. Norbert Benjamin
>
> 23
>
> Dr. Victroia Paul
>
> 5084
>
> 24
>
> Dr. Godfery Chuwa
>
> 5097
>
> 25
>
> Dr. Goodluck Mrosso
>
> 356
>
> 26
>
> Dr. Luciana Albert
>
> 375
>
> 27
>
> Dr. Gendagenda Mkombozi
>
> 372
>
> 28
>
> Dr. Lucas Mselle
>
> 4919
>
> 29
>
> Dr. Edna Mwakyembe
>
> 365
>
> 30
>
> Dr. Haruna Rashid
>
> 552
>
> 31
>
> Dr. Sara Lumumanji
>
> 5006
>
> 32
>
> Dr. Paul Zacharia
>
> 4858
>
> 33
>
> Dr. Abza Saka
>
> 4981
>
> 34
>
> Dr. Baraka Maige
>
> 5361
>
> 35
>
> Dr. Wilhelmuss I. Mauka
>
> 4979
>
> 36
>
> Dr. Deogratius Mally
>
> 4960
>
> 37
>
> Dr. Ahmad Fadhil Kombo
>
> 4868
>
> 38
>
> Dr. Iman Bawazir
>
> 4799
>
> 39
>
> Dr. Frank Kagoro
>
> 5046
>
> 40
>
> Dr. Baraka Yessaya
>
> 5058
>
> 41
>
> Dr. Naki Kiroga
>
> 5347
>
> 42
>
> Dr. Bakari A. Gillal
>
> 4959
>
> 43
>
> Dr. Linda August
>
> 5343
>
> 44
>
> Dr. Shah Alkash
>
> 342
>
> 45
>
> Dr. Chihoma Mhaki
>
> 358
>
> 46
>
> Dr. Gloria Leo
>
> 337
>
> 47
>
> Dr. Mohamed M. Ally
>
> 48
>
> Dr. Ahmed Kombo
>
> 5389
>
> 49
>
> Dr. Steven Nandi
>
> 5030
>
> 50
>
> Dr. Moses J. Karashani
>
> 5040
>
> 51
>
> Dr. Innocent Mpuya
>
> 5371
>
> 52
>
> Dr. Octar Javett
>
> 5048
>
> 53
>
> Dr. Juma Mbugi
>
> 5018
>
> 54
>
> Dr. Neema Nalitolela
>
> 4966
>
> 55
>
> Dr. John Nkenda
>
> 4963
>
> 56
>
> Dr. Ngutuni Jackson
>
> 5005
>
> 57
>
> Dr. Malava F. Raphael
>
> 4982
>
> 58
>
> Dr. Masawa Nyamunjeku
>
> 5000
>
> 59
>
> Dr. Shubi Matovelo
>
> 4976
>
> 60
>
> Dr. Winnie Temu
>
> 4965
>
> 61
>
> Dr. Sarah Shiraz
>
> 5024
>
> 62
>
> Dr. Hafsa Hawesi
>
> 5369
>
> 63
>
> Dr. Anthony Kingilo
>
> 5330
>
> 64
>
> Dr. Elikanaar Urio
>
> 5336
>
> 65
>
> Dr. Zainabu Mkinde
>
> 5367
>
> 66
>
> Dr. Shau Hamdan
>
> 5071
>
> 67
>
> Dr. Cristogone Justine
>
> 4968
>
> 68
>
> Dr. Conrade Ngonyani
>
> 4865
>
> 69
>
> Dr. Deo B. Mwanakulya
>
> 4873
>
> 70
>
> Dr. Lucy Laurent
>
> 4872
>
> 71
>
> Dr. Khadija Juma
>
> 4969
>
> 72
>
> Dr. Valentino Koja
>
> 5338
>
> 73
>
> Dr. Aloyce F. Lengasia
>
> 4977
>
> 74
>
> Dr. Zyleen Kasamali
>
> 4888
>
> 75
>
> Dr. Mwajuma Mustapha
>
> 4971
>
> 76
>
> Dr. Mariam Hamad
>
> 4859
>
> 77
>
> Dr. Francis Mwimazi
>
> 4967
>
> 78
>
> Dr. Hassan Barnabas
>
> 5364
>
> 79
>
> Dr. Grace Mmasi
>
> 5045
>
> 80
>
> Dr. Mohamed Mzige
>
> 4860
>
> 81
>
> Dr. Elias Paschal
>
> 4961
>
> 82
>
> Dr. Farida Mtonga
>
> 5002
>
> 83
>
> Dr. Gabriel Mbwete
>
> 5337
>
> 84
>
> Dr. Magdalena Dennis
>
> 4910
>
> 85
>
> Dr. Ahmed Ahmed
>
> 4798
>
> 86
>
> Dr. Joseph Shaban
>
> 5408
>
> 87
>
> Dr. Prudence Premier
>
> 5409
>
> 88
>
> Dr. Malaja Ng'wigulu
>
> 5019
>
> 89
>
> Dr. Biswaro Malima
>
> 4975
>
> 90
>
> Dr. Isaac Mlay
>
> 5007
>
> 91
>
> Dr. Raymond Samwel
>
> 5017
>
> 92
>
> Dr. Michael Kiremeji
>
> 5376
>
> 93
>
> Dr. Viviene Mlawi
>
> 5000
>
> 94
>
> Dr. John Jananga
>
> 5380
>
> 95
>
> Dr. Said Ibrahim
>
> 5020
>
> 96
>
> Dr. Alphonce Simbila
>
> 5047
>
> 97
>
> Dr. Catherine Mlowe
>
> 5044
>
> 98
>
> Dr. Barbara Mwaipola
>
> 4964
>
> 99
>
> Dr. Joel J. James
>
> 5129
>
> 100
>
> Dr. Bright Sangiwa
>
> 5053
>
> 101
>
> Dr. Evance Alexander
>
> 4887
>
> 102
>
> Dr. Martha Nkya
>
> 5335
>
> 103
>
> Dr. Camilla Kinemo
>
> 5406
>
> KCMC
>
> 1
>
> Dr. Malkiadi P. Mbota
>
> 5208
>
> 2
>
> Dr. Wilfred j. Meza
>
> 4900
>
> 3
>
> Dr. Shomari O. Masenga
>
> 4983
>
> 4
>
> Dr. Jamila J. Shemweta
>
> 5009
>
> 5
>
> Dr. Godbless E. Massawe
>
> 5026
>
> 6
>
> Dr. Rahel T. Mwavika
>
> 4879
>
> 7
>
> Dr. Eliakimu P. Kapyolo
>
> 5032
>
> 8
>
> Dr. Godfrey N. Barabona
>
> 5051
>
> 9
>
> Dr. Aristides K. Raphael
>
> 4984
>
> 11
>
> Dr. Emmanuel M. Manyonyi
>
> 5077
>
> 12
>
> Dr. Herielly O. Msuya
>
> 5118
>
> 14
>
> Dr. Noel J. Makundi
>
> 5142
>
> 15
>
> Dr. Maxigama Y. Ndosi
>
> 5107
>
> 16
>
> Dr. Patrick A. Karua
>
> 5137
>
> 17
>
> Dr. George C. Mgalega
>
> 5155
>
> 18
>
> Dr. Juma Adinan Juma
>
> 5151
>
> 19
>
> Dr. Kenneth J. Mlay
>
> 5158
>
> 20
>
> Dr. Njengo B. Mbanga
>
> 5145
>
> 21
>
> Dr. Yesige A. Mutajwaa
>
> 5171
>
> 22
>
> Dr. Mbazi D. Shemwetta
>
> 5139
>
> 23
>
> Dr. Mwanaidi S. Mkwizu
>
> 5141
>
> 24
>
> Dr. Peter E. Ng'wamkai
>
> 5109
>
> 25
>
> Dr. Tumaini D. Ndibwire
>
> 5131
>
> 26
>
> Dr. Lucas D. Ngamtwa
>
> 5161
>
> 27
>
> Dr. Goodluck J. Ulomi
>
> 5143
>
> 28
>
> Dr. Juma M. Nahonyo
>
> 5150
>
> 29
>
> Dr. Emmanuel S. Masatu
>
> 4899
>
> 30
>
> Dr. Angela E. Pallangyo
>
> 5110
>
> 31
>
> Dr. Casto E. Mlay
>
> 5182
>
> 32
>
> Dr. Birjna A. Hirani
>
> 5152
>
> 33
>
> Dr. Anette J. Kessy
>
> 5178
>
> 34
>
> Dr. Ester P. Lazaro
>
> 5190
>
> 35
>
> Dr. Mugisha N. Nkoronko
>
> 5115
>
> 36
>
> Dr. Sofia A. Ottaru
>
> 5146
>
> 37
>
> Dr. Raya Y. Mussa
>
> 5132
>
> 38
>
> Dr. Regina Y. Msanga
>
> 5148
>
> 39
>
> Dr. Delfina R. Msanga
>
> 5147
>
> 40
>
> Dr. Allen G. Kangarawe
>
> 5138
>
> 41
>
> Dr. Sia C. Kiwia
>
> 5198
>
> 42
>
> Dr. Peter E. Kipiki
>
> 5144
>
> 43
>
> Dr. Avelina R. Kimaryo
>
> 5177
>
> 44
>
> Dr. Peter F. Mwandiga
>
> 5075
>
> 45
>
> Dr. Daimon B. Mwasamila,
>
> 5210
>
> 46
>
> Dr. Emmanuel D. Lema
>
> 5185
>
> 47
>
> Dr. Karungi J. Karoma
>
> 5130
>
> 48
>
> Dr. Fortunatus m. Ibreck
>
> 5199
>
> 49
>
> Dr. Sadiq S. Dawood
>
> 5121
>
> 50
>
> Dr. Witness M. Mchwampaka
>
> 5186
>
> 51
>
> Dr. Azza A. Naif
>
> 5111
>
> 52
>
> Dr. Malkiadi P. Mbota
>
> 5208
>
> 53
>
> Dr. Mariam T. Johari
>
> 5013
>
> 54
>
> Dr. Daniel M. Chochole
>
> 5162
>
> 55
>
> Dr. Oliver T. Masoy
>
> 5197
>
> 56
>
> Dr. Gerald C. Robi
>
> 4927
>
> 57
>
> Dr. Erasto S. Odindo
>
> 5229
>
> 58
>
> Dr. Kasirye J. Collins
>
> 5243
>
> 59
>
> Dr. George D. Dilunga
>
> 5239
>
> 60
>
> Dr. Emmanuel S. Maro
>
> 5240
>
> 61
>
> Dr. Irene R. Haule
>
> 5242
>
> 62
>
> Dr. Godfrey A. Kisuma
>
> 5246
>
> 63
>
> Dr. Frank M. Sudai
>
> 5231
>
> 64
>
> Dr. Annette A. Marandu
>
> 5196
>
> 65
>
> Dr. Joseph E. Soka
>
> 66
>
> Dr. Hans Mpimilwa
>
> MBEYA REFFERAL
>
> 1
>
> Dr. Msafiri Lewanga
>
> 5069
>
> 2
>
> Dr. Regan Rajuu
>
> 5224
>
> 3
>
> Dr. Alex Mwakyandile
>
> 5311
>
> 4
>
> Dr. Osmundi Dyegula
>
> 4954
>
> 5
>
> Dr. Ireene Kato
>
> 5012
>
> 6
>
> Dr. Lutaragula Masili
>
> 5067
>
> 7
>
> Dr. Nindwa Maduhu
>
> 5209
>
> 8
>
> Dr. Noel Dominic Swai
>
> 4952
>
> 9
>
> Dr. Masanja Erasto Kasoga
>
> 5100
>
> 10
>
> Dr. Mwanahamisi Japhary
>
> 4768
>
> 11
>
> Dr. Nuru Mwambola
>
> 5100
>
> 12
>
> Dr. Jane Maganga
>
> 5174
>
> 13
>
> Dr. Karim Mohamed
>
> 4767
>
> 14
>
> Dr. Joyce T. Massaro
>
> 5195
>
> 15
>
> Dr. Kanjanja A. Amas
>
> 5213
>
> 16
>
> Dr. Joseph Msemwa
>
> 5116
>
> 17
>
> Dr. Jonas Lulandara
>
> 4851
>
> 18
>
> Dr. Kulwa Itambula Joseph
>
> 5173
>
> 19
>
> Dr. Josephat Mapunda
>
> 4890
>
> 20
>
> Dr. Joseph Antony Legembo
>
> 5392
>
> 21
>
> Dr. Saili Mbukwa
>
> 5381
>
> 22
>
> Dr. Samwel Cherubini Mkumbe
>
> 5395
>
> 23
>
> Dr. Serephine J. Mrosso
>
> 4950
> ...
>
> read more »
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment