Monday, 9 July 2012

RE: [wanabidii] Re: MADAKTARI WALIOGOMA WASHITAKIWE

Ninavyomfahamu Yona sio mtu wa kusema maneno anayosema kutoka rohoni.  Hii inawezekana kabisa ni kuchokoza mada na kupima joto la mgomo huu yaani nani alaumiwe na nani aheshimiwe.  Sio siri wala sio jambo ambalo halijawahi kutokea. Madaktari wamekuwa wanagoma na hii si mara yao ya kwanza na tuachane na viapo vya kazi kugoma ni haki ya msingi ya kila mtu hasa akiwa hatimiziwi haja yake. Na ni wajibu wa Serikali kukaa na waliogoma kutafuta suluhu.  Hii sio mara ya kwanza serikali kufanya hivyo . Na kugoma kunatokana hasa pale keki ya taifa inagaiwa bila kutumia haki. Na mahali ambapo haki haipo manunguniko ni lazima. Hivyo ninaamini penda isipende Serikali lazima itakaa na madaktari kutafuta suluhu angalau kwa muda.

Hili la kuwashtaki Madaktari sio suluhu na halitatua matatizo ya msingi ya shemu kubwa la pato la taifa kuliwa na wachache na weingine wanaumia.  Yaliyotokea kaskazini mwa Afrika na kwingineko hayakutokea kwa bahati mbaya. Hivyo ningetoa rai kwa Serikali na Watanzania tutafakari muktadha na hatima ya nchi yetu.

Herment A. Mrema 

From: kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] Re: MADAKTARI WALIOGOMA WASHITAKIWE
Date: Mon, 9 Jul 2012 18:49:41 +0000

Unajua Yona Maro, mimi nadhani kwa maoni kama ya kwako humu mtandaoni sishangai kuwepo watendaji ndani ya serikali waliodhani kuwa ukiisha pata amri ya mahakama kuitaka MAT watoae tamko la kusitisha  mgomo abao hawajawahi kuutangaza na halafu ukamteka na kutesa  huyu kijana jeuri sana kiongozi wa Jumuia ya Madakatari hasiye mwajiriwa wa seriakali, Dr Ulimboka, hadi aseme Chadema, na halafu kumuua. Basi jeuri ya kuendelea na mgomo itakuwa imetunguliwa na madakatri na wanaharakati  watafyata ( nani hasiogopa kunyofolewa kucha na meno bila ganzi bwana eti?). Baada ya hapo  wagonjwa watapewa huduma bila wasiwasi...hawa interns achana nao maana mwaka unaofuata tutakodisha madakatari kutoka nje hadi interns wa mwaka unaofuata ujao  na hao sasa watakuwa wamefyata kabisa kiasi hata wasipolipwa hivyo viposho vya ovyo watashukuru hadi mbiguni wajue...Hii ndiyo jeuri ya kutawala kwa nusu karne bila kuwa chama chenyewe kuangaika kujinasibu kama chama cha  kijamaa...Huo msitu wa Pande inabidi uongezwe upana rafiki yangu, maana akina Ulimboka wanazidi kuzalishwa na hasira zitokanazo na upotoshaji wa ukweli  na ubabe husio na tija hata kwa watawala wenyewe.  Kuhusu ili la madakatari, kazungumza na madakatari wengi iwezekanavyo Yona Maro na utagundua kuwa mwisho wa siku lazima  seriakali itabidi ikae chini na kukubaliana na madakatari na wauguzi na wafamasia na wanataaluma wengine wa sekta ya umma. Husitukane wakunga uzazi ungalipo na kuchokozana na madakatari na wauguzi ni uchuro!!!Hata kama unatibiwa sekta binafsi au nje husijiaminishe sana ndugu yangu. Kalagabao! Mimi najua sina muda mrefu wa kuishi anyway! Nawahurumia Wadanganyika vijana wanaoshabikia propaganda za chama dume wakati wao ni walala hoi!
Mwl. Lwaitama
 
Date: Fri, 6 Jul 2012 10:22:30 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Re: MADAKTARI WALIOGOMA WASHITAKIWE
From: oldmoshi@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Wanataka kuhakikishiwa security gani ? Mbona yule askari wa upelelezi walimpiga pale muhimbili tena asingeokolewa inawezekana leo angekuwa amekufa , wawalete mbele ya vyombo vya sheria wale waliomshambulia askari huyu na wale walioiba au kuharibu ile radio ya askari huyo , ndio maana nasema hili sio suala dogo kuna maeneo watu wameingia ambayo suluhu yake ni kwa watu kufikishwa kwenye vyombo vya sheria na sheria ichukuwe mkondo wake .

2012/7/6 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Kuna baadhi ya Madaktari na baadhi ya viongozi wa chama cha madaktari
wanatakiwa kupelekwa mbele ya vyombo vya sheria kwa tukio hili la
mgomo na kusababisha vifo kwa baadhi ya watu na wengine kupata madhara
mbalimbali kutokana na mgomo huo au kufanyike njia nyingine ya kuleta
maelewano lakini sio warudi kazini hivi hivi yaani wamalize mgomo hivi
hivi , hiyo hatutakubaliana nayo - Kama mnafikiri suala hili ni la
kupita endeleeni kufikiria hivyo hivyo ila tusilaumiane tu .

On Jul 6, 10:05 am, "Tony PT" <tony_u...@yahoo.co.uk> wrote:
> Lilian,
>
> Sijui kama ni tija kushitaki, lakini point yako ya nne ni sahihi. Muhimbili ina idadi kubwa ya wafanyakazi wanaohudumia mgonjwa mmoja (wauguzi/madaktari/interns/others). Wastani ambao ni mkubwa kuliko hospitali zote Afrika mashariki na huenda kwa africa nzima. Kusema wana wagonjwa wengi kuliko kawaida sio sahihi! Nitazichimba takwimu nizimwage hapa.
> Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.
>
>
>
>
>
>
>
> -----Original Message-----
> From: lilian ruga <lilian.r...@yahoo.com>
>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Thu, 5 Jul 2012 23:48:39
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] MADAKTARI WALIOGOMA WASHITAKIWE
>
> Kuwashitaki madaktari waliogoma kutaboresha huduma za afya? E.gKuongeza dawa kwenye hospitali na zahanati zetu?Kupunguza vifo vya kina mama na watoto?Kuongeza vifaa na vitendea kazi?Kuwapunguzia mzigo wa kutibu wagonjwa wengi madaktari ambao hawatashtakiwa?Kuongeza morali wa madaktari kutuhudumia?Tutafakari kwa kina haya na mengine mengi kwanza...
> --- On Wed, 7/4/12, ELISA MUHINGO <elisamuhi...@yahoo.com> wrote:
>
> From: ELISA MUHINGO <elisamuhi...@yahoo.com>
> Subject: Re: [wanabidii] MADAKTARI WALIOGOMA WASHITAKIWE
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wednesday, July 4, 2012, 6:46 AM
>
> Nafikiri serikali ni sehemu (sababu) ya mgomo. Inao wajibu wa kuhakikisha usalama wa madakrati. Sitegemei kinyume chake.
>
> --- On Wed, 7/4/12, Barnabas <drbmb...@gmail.com> wrote:
>
> From: Barnabas <drbmb...@gmail.com>
> Subject: Re: [wanabidii] MADAKTARI WALIOGOMA WASHITAKIWE
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wednesday, July 4, 2012, 6:37 AM
>
> Elisa umeongea vema, lakini nimesikia madokta wanahofia usalama wao, wameomba wahakikishiwe kuwa wapo salama ndio warudi salama ..ama sio hivyo.
>
> Halafu HK kama bado upo Cape Town niambie mkubwa.
>
> 2012/7/4 ELISA MUHINGO <elisamuhi...@yahoo.com>
>
> Ngoja nikusahihishe kidogo ndugu Pius. Sio kuwa walimu wanataka kugoma. Wamegoma zamani. Wanafunzi walioshinda kwenda sekondari huku hawajui kusoma wala kuandika majina yao. Mtihani wenyewe ulisimamiwa na polisi na usalama wa taifa unataka mgomo unaofananaje?
>
> --- On Wed, 7/4/12, martin pius <malagil...@yahoo.co.uk> wrote:
>
> From: martin pius <malagil...@yahoo.co.uk>
>
> Subject: [wanabidii] MADAKTARI WALIOGOMA WASHITAKIWE
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wednesday, July 4, 2012, 6:15 AM
>
> Ndugu Yona,
>
> Unadhani kuwashitaki ndo suluhisho la mgomo huo?!
>
> Ni wajibu wa nani kuhakikisha madaktari hao hawaandikii wagonjwa dawa ili wakazinunue kwenye maduka yao yalionje ya ofisi. Au unataka kuonesha udhaifu wa taasisi za umma zinazopaswa kuzuia hayo yasitokee.
>
> Mbona huongelei madai yao ya X-ray machines na Citi Scan ambayo ni sawa na TOYOTA Land Cruiser VX moja tu kati ya mamia wanazotembele viongozi wetu.
>
> Madaktari wamegoma, Waalimu wanataka kugoma, wakulima nao wanatafakari! Kila mwananchi anatafakari nini cha kufanya kwa nafasi yake na kibano cha maisha anachopata. Mahakama itabidi ziwe na kazi ya ziada kupokea mashitaka ya wote hawa.
>
> Yatupasa tutafakari kwa upana na kwa uhalisia.
>
> Martin
> --- On Wed, 4/7/12, Yona F Maro <oldmo...@gmail.com> wrote:
>
> From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
> Subject: [wanabidii] MADAKTARI WALIOGOMA WASHITAKIWE
> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, 4 July, 2012, 15:56
>
> Kumekuwepo na mgomo wa madaktari kwa siku kadhaa sasa ambao umeitishwa
> na chama cha madaktari kuishinikiza serikali ili iweze kutekeleza
> madai yao mbalimbali ambayo walikubaliana siku zilizopita .
>
> Mgomo huu umeendelea hata baada ya serikali kusema kwamba baadhi ya
> madai ya madaktari yameanza kutekelezwa na hata baada ya mahakama kuu
> kutoa amri kwa mgomo huo kusitishwa mara moja ili wananchi waendelea
> kupata huduma katika hospitali hizo .
>
> Katika baadhi ya hospitali uongozi umeamua kusimamisha baadhi ya
> madaktari na wasaidizi wao ili wale wanaopenda kufanya kazi wafanye
> bila shinikizo lolote kutoka popote .
>
> Kwa kuendeleza mgomo huu ina maana madaktari wanaenda kinyume na viapo
> vyao walivyoapa , wanavunja mikataba yao ya kazi na wananyima wengine
> haki zao za msingi za kuishi kama zilivyotamkwa katika azimio la umoja
> wa mataifa kuhusu haki za binadamu ambalo Tanzania ni mwanachama .
>
> Kwa kuwa
>  madaktari wenyewe kupitia chama chao wameamua kuvunja
> mikataba yao wenyewe na kuvunja haki za wengine kuendelea kuishi ni
> vizuri sasa waambiwe basi inatosha , wasimamishwe kazi na washitakiwe
> kwa makosa mengine dhidi ya binadamu .
>
> Inasikitisha sana kuona daktari anagoma kwa ajili ya mshahara mdogo
> huku mtu huyo huyo jioni anaonekana hosptali binafsi akitibu wagonjwa
> wake , inasikitisha pia kuona mtu wa afya akilalamika upungufu wa
> madawa huku akimwandikia mgonjwa dawa za kwenda kununua kwenye duka
> lake nje ya hospitali .
>
> Madaktari wa aina hii , madaktari maslahi hawatakiwi kuvumiliwa hata
> wale watu haswa baadhi ya makundi ya wanaharakati , viongozi wa dini
> na wanasiasa wanaoshabikia mgomo huu wa madaktari pia wapewe karipio .
>
> Wanaharakati , viongozi , watu binafsi wanaoshabikia mgomo huu
> wanauwezo wa kwenda hata nchi za nje kwa ajili ya matibabu kwa
> kuchagua hospitali na hata wengine wapo huko huko
>  kwahiyo haiwaumi
> hata mgomo ukiwa wa maisha .
>
> --
> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer
>  and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> Barnabas
>  "tunajua mnalindana, na kulindana huko sio bure..Mh Deo Filikunjombe, April 2012"
>
> --
> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
>
> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
>
> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
>
> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment